Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIKIENDI HII NJOO MWANZA.

Sun set at the area...jicho langu toka jiji la Mwanza twaita Rock City.Yatch Club Mwanza.....Jicho toka Yatch Club kuelekea ziwa Victoria.Ni safari za kitalii.Zaidi ya Utalii hapa...Je unataka kupiga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIVYOKUWA MAZISHI YA GABRIEL ANDERSON MUNISSI HII LEO.

Marehemu Gabriel Anderson Munissi aliyefariki dunia tarehe 19 Nov 2013 amezikwa leo Nkokashi Masama wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro ambapo ndugu jamaa na marafiki aliofanya kazi nao enzi za uhai wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA WATOTO 137 NA AKINAMAMA 19 HUFARIKI DUNIA KILA SIKU

Meneja Mradi wa 'Wajibika Mama Aishi', David Lyamuya akiwasilisha mada katika semina ya wahariri na waandishi wa habari iliyofanyika Regency Hotel jijini Dar es Salaam.Washiriki wa semina pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA USAMBAZAJI WA FILAMU YA DJ MARKETING AND PROMOSHEN YATOA MSAADA

Msemaji wa Kampuni ya usambazaji wa Filamu ya DJ Marketing and Promoshen, Seraphine Baraka kulia akigawa sabuni za Twiga Soup ambayo nayo inasambazwa na kampuni hiyo kwa watoto wanaoishi katika...

View Article

"SITOKI CHADEMA" ASEMA ZITTO KABWE.

SITOKI CHADEMANITASIMAMA DAIMA MBELE YA DEMOKRASIANINAPOZUSHIWA NAUMIA MIMI NI BINADAMUUSAMBAZAJI WA RIPOTI YA SIRI KUHUSU ZITTO KABWE  KUSHAWISHI WAGOMBEA WA CHADEMA KUJITOA KWENYE UCHAGUZI 2010POSHO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA KIGOMA KASKAZINI WAANDAMANA WATAKA VYEO VYOTE VYA ZITTO VIREJESHWE...

Siku mbili mara baada ya Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe kutangazwa kuvuliwa nyadhifa alizokuwa nazo katika uongozi wa juu chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. LOWASSA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATA YA...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiburudika kwa kucheza muziki sambamba na wakina Mama wakazi wa Kata ya Saranga,Kimara jijini Dar es Salaam,Mwishoni mwa wiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SANITAS HOSPITAL NOW ACCEPTS NHIF HEALTH INSURANCE.

SANITAS Hospital now accepts NHIF health insurance.Call us today: 022 270 1410, 0688 863 035, Email: info@sanitasmedics.com

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE AKATWA MKONO MARA BAADA YA KUHOJI HATMA YA MAZAO YALIYOUZWA NA MUMEWE.

 Mtandao wa kupinga Ukatili wa kijinsia (MKUKI) kanda ya ziwa leo unazindua harakati za siku 16 za kupinga Ukatili wa kijinsia Kanda ya ziwa, Shughuli ikifanyika katika viwanja vya Mabatini kuanzia saa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJE KIDUCHU NA NDANI KIMTINDO.

Hatua kutoka nje kidogo ya mji wa Kisesa barabara kuu ielekeayo Musoma.Kisesa Center.Igoma Ng'ombe.Barafu kwaajili ya mitumbwi ya wavuvi ziwani.Bonde la kuingia Buzuruga Bus stand.Eneo la kiunga cha...

View Article

MSIMAMO WA LIGI KUU YA EPL

English Premier LeagueStandings#TeamGPWDLGFGAGDPTS1Arsenal12912241014282Liverpool12732241311243Chelsea12732211011244Man City12714341222225Southampton126421578226Man...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAASA VIJANA KUJITUMA KUFANYA KAZI KATIKA WARSHA YA FURSA...

  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wadau mbali mbali walioshiriki kwenye Warsha ya Kamata Fursa Twenzetu,iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.Mh. Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIJUE JENGO HISTORIA LA CHAMA CHA KUPIGANIA UHURU AFRIKA MASHARIKI NA KATI.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EVANS BUKUKU'S COMEDY CLUB END OF YEAR SPECIAL

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"DaaaaaH....! KERO..."

 Mvua zinazoendelea jijini Dar es salaam zimezua kero kwa baadhi ya vyombo vya usafiri hii ni kutokana na  baadhi ya barabara za jiji hili la kwanza kwa ukubwa kuliko yote nchini,  lenye viwanda vingi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SELCOM, VODACOM NA OIL COM WAUNGANA KURAHISISHA UNUNUZI WA MAFUTA KWA NJIA YA...

Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto akitoa lisiti kwa mteja  wa mafuta wa kituo cha Oil Com Bw,Peter Ibrahimu wakati wa uzinduzi wa ununuaji wa mafuta kwa njia ya mtandao wengine wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMII YATAKIWA KUTUMIA NAFASI ZILIZOPO KUPAMBANA NA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

 Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Ernest Mangu Ameitaka jamii na kila mtu kutumia nafasi alonayo kuzuia ukatili wa kijinsia ili kuboresha afya ya jamii.Mangu ameyasema hayo katika uzinduzi wa siku 16...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BURIANI MSANIFU WA UHURU DUNIA MZOBORA.

Mwandishi wa siku nyingi na aliyekuwa Mhariri Msanifu (Sub-Editor) wa magazeti ya UHURU/Mzalaendo, Dunia Mzobora, amefariki dunia jana alfajiri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikopelekwa usiku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INTRODUCING FAHARI HUDUMA FROM CRDB BANK

   Mpendwa Mteja,Furahia huduma za benki popote uendapo ndani ya Tanzania. Mtembelee wakala wa FahariHuduma alie karibu yako na uweze kufanya miamala yako ya kibenki kwa haraka na wepesi. Kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANAYOJIRI KITUO CHA MISSION BARABARA YA MAKONGORO

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>