Mwandishi wa siku nyingi na aliyekuwa Mhariri Msanifu (Sub-Editor) wa magazeti ya UHURU/Mzalaendo, Dunia Mzobora, amefariki dunia jana alfajiri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikopelekwa usiku kwa matibabu baada ya kuugua ghafla shinikizo la damu.
R.I.P Dunia.
BOFYA HAPA CHINI KUSOMA ZAIDI.
http://lukwangule.blogspot.com/2013/11/mhariri-uhuru-afariki-dunia.html
R.I.P Dunia.
BOFYA HAPA CHINI KUSOMA ZAIDI.
http://lukwangule.blogspot.com/2013/11/mhariri-uhuru-afariki-dunia.html