Mvua zinazoendelea jijini Dar es salaam zimezua kero kwa baadhi ya vyombo vya usafiri hii ni kutokana na baadhi ya barabara za jiji hili la kwanza kwa ukubwa kuliko yote nchini, lenye viwanda vingi na linaloongoza kwa makusanyo ya kodi nchini kuharibika kutokana na kutojengwa kwa kiwango cha lami kama inavyoonekana.
Basi hili linafanya safari zake KAWE - MBAGALA limeshindwa kuendelea na safari kutokana na kunasa kwenye korongo katikati ya maji, hali inayosababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Basi hili linafanya safari zake KAWE - MBAGALA limeshindwa kuendelea na safari kutokana na kunasa kwenye korongo katikati ya maji, hali inayosababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
![]() |
Abiria wote wametimka kusaka usafiri mwingine. Kazi Kweli kweli... PICHA NA JIMMY JAMM. |