MKUU WA MKOA WA MWANZA AWASHANGAA WANAOPINGA PENDEKEZO LA UWANJA WA NDEGE WA...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utalii Jijini Mwanza ambapo yanaanza rasmi leo kwa ufunguzi na kumalizika tarehe 27/09/2013...
View ArticleZAIDI YA WAHAMIAJI HARAMU 12,000 WATIWA MBARONI KATIKA OPARESHENI KIMBUNGA.
KAMANDA SIRO ASEMA MKOA WA KAGERA UNAONGOZA KWA IDADI YA WAHAMIAJI HARAMU HAPA NCHINI.Wahamiaji haramu zaidi ya Elfu kumi na mbili (12,000) wamekamatwa katika Oparesheni ya kuwaondoa wahamiaji haramu...
View ArticleDKT. SENGODO MVUNGI AFARIKI DUNIA.
Habari zilizotufikia jioni hii zinasema kwamba Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dkt. Sengodo Mvungi(Pichani) amefariki katika hospitali ya MillPark huko Afrika ya kusini alikokuwa akipata...
View ArticleBAJETI YA SERIKALI YA MWAKA 2014 IPUNGUZE VIFO VYA WAJAWAZITO.
ZAIDI ya Wanawake 8,700 hufariki duni kila mwaka nchini Tanzania kutokana na matatizo ya ujauzito na hasa wakati wa kujifungua. Takwimu hizi zinaonesha takribani wanawake 24 hupoteza maisha kila siku...
View ArticleMAAFALI YA 6 CHUO KIKUU CHA BUGANDO KUFANYIKA TAREHE 16 NOV 2013.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba ya Afya cha Bugando CUHAS) Prof. Jackob Mtabaji (kulia) akiwa na Naibu Makamu Mkuu wa Taaluma Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba ya Afya cha Bugando (CUHAS)...
View ArticleSCIENCE OF GETTING RICH - THE SCIENCE OF GETTING RICH HOW TO USE THE SECRET
An intensive and insightful training course on Project Management by Mikono Business Consult from 26th to 30th November 2013. For more details call +255717109362 or email info@mikono.biz
View ArticleJK AUPONGEZA MGODI WA MUWEKEZAJI MZAWA NA MZALENDO KWA KUENDESHA SHUGHULI...
Rais JK akihutubia wafanyakazi na wananchi kwenye mgodi wa Muwekezaji mzawa na mzalendo Baraka anayemiliki kampuni ya Baraka Gold Mine iliyoko mkoani Geita.Rais Jakaya mrisho Kikwete akipata picha ya...
View ArticleAROBAINI YA MARIAM G. MHANDO KUFANYIKA JUMAMOSI HII.
Omar George Mhando wa Muheza Tanga anawatangazia arobaini ya mdogo wake marehemu Mariam George Mhando itakayofanyika Muheza mkoani Tanga, siku ya tarehe 16/11/2013 (Jumamosi).Marehemu Mariam aliye...
View ArticleAJALI YA HIVI PUNDE YASABABISHA DEREVA WA BODABODA KUPOTEZA MGUU
TWAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ZA KUTISHA.Dereva wa pikipiki ya abiria maarufu kama bodaboda jina halijafahamika mpaka sasa (kwani hawezi kuongea) amepata ajali mbaya na kuvunjika kabisa mguu wake wa...
View ArticleSASA UNAWEZA KUEPUKA MATUMIZI MAKUBWA YA MKAA NA KUNI.
Mchuuzi na wateja wake akiuza jiko la kisasa linalotumia vipande vitatu tu vya kuni ndogo, unawasha kisha moto ukiwaka unavitoa nawe unaendelea na mapishi au uchemshaji maji. kwa ndani kwenye kuta za...
View ArticleTSC YAOMBA WADHAMINI KUSAPOTI TANZANIA KUELEKEA KOMBE LA DUNIA LA WATOTO...
Kocha Slyvester Mash. Aritaf Mansoor aka Dogo. NA ALBERT G. SENGO.MWANZA.Mazoezi kwa timu ya Taifa ya Tanzania kwa watoto...
View ArticleSALHA ISRAEL ATEMBELEA KAMBI YA TANZANIA TOP MODEL 2013
Mrembo Salha Israel atembelea kambi ya washiriki wa sindano la Tanzania Top model iliopo katika hoteli ya Jb Belmont iliyopo maeneo ya posta kwa lengo la kuwapa mbinu mbalimbali za kufanya vizuri...
View ArticleWAKAZI WA MWANZA SASA KUTOKA PASIANSI HADI NYEGEZI KWA KUTUMIA KIVUKO CHA...
BILIONI 1 KUKAMILISHA UJENZI WA DARAJA LA MABATINI NA UJENZI WA NJIA NNE BARABARA YA UWANJA WANDEGE WAJA.WAKALA wa Barabara Mkoa wa Mwanza (TANROAD) kutumia iasi cha shilingi bilioni 1.3 kukamilisha...
View ArticleCALL FOR PROPOSAL FOR TAFSUS
Tanzania Financial Services for Underserved Settlements (TAFSUS) .Tanzania Financial Services for Underserved Settlements (TAFSUS) is a Local Finance Facility which provides credit enhancement to...
View ArticleILIVYOKUWA SAFARI YA MWISHO YA DKT. MVUNGI
Picha ya Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi enzi za uhai wake.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza wakati wa kutoka salamu za rambi rambi katika shughuli...
View ArticleYASSIN ABDALLAH AJITOKA KATIKA TUZO BAADA YA KUKOSEKANA KWA JINA LA SUPER D
YASSIN ABDALLAH MWAIPAYA -USTAADH RAIS TPBO TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI NA MICHEZO. YAH;- KUJIONDOA KUWANIA TUZO ZA BOXING AWARDNinayo heshima kwenu...
View ArticleBIRTHDAY PART ILIYOVUNJA REKODI KUWA NA MAHUDHURIO MAKUBWA KULIKO ZOTE NCHINI...
Ni Birthday party ya mfanyabiashara mdogo Edward aliyetimiza umri wa miaka 27 akiwa ameketi na mama yake mzazi kwenye meza kuu. Sherehe hii ilihudhuriwa na watu 500 wakiwa waalikwa ambao walikuwa na...
View ArticleKIPINDI MAALUM TOKA SWAHILI TV MAZISHI YA BI. MARTHA SHANI NCHINI TANZANIA
Tunawaletea kipindi maalum cha Mazishi ya mpendwa na kipenzi chetu Bi. Martha Shani aliyefariki ghafla nchini Marekani na kuja Kuzikwa nyumbani Tanzania. Katika Kipindi hiki utaona matukio mbalimbali...
View Article