TANZANIA YAANZA VIBAYA MASHINDANO YA KIMATAIFA ARS
Name of some of the Tanzanian players: Haziz Hashin (keeper), Ramadhan Lida, Petro Joseph, Rothan Mkanwa, Thomas Chindeka, George Emmanuel, Salum Hamisi, Omary Hamisi, Optatus Yustin, Athanas Mdam and...
View ArticleMTUNISHA MISULI WA KIKE ASIYEKUWA NA MIKONO AWASHANGAZA WATIZAMAJI
Barbie Thomas (katikati) alipoteza mikono yake yote akiwa na umri wa miaka 2. Binti huyo alikuwa akicheza nje kwenye maskani yao huko Texas nchini Marekani na kukwea kwenye transformer, akanaswa na...
View ArticleAIRTEL YASHIRIKIANA NA TRA KUWAWEZESHA WATEJA KULIPIA ADA ZA LESENI ZA MAGARI.
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Malipo ya Kodi na Elimu TRA Mrs.Diana Masalla (wa pili kushoto) akifatiwa na Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, ASP Mohamed Mpinga na Mkurugenzi wa kitengo cha...
View ArticleKWA HALI HII ZAO LA PAMBA LITAZIDI KUPOROMOKA KILA KUKICHA.
Meneja wa kiwanda cha Bilchand Oil Mill, Mohamed Gupta akifafanua uchafuzi unaofanywa na baadhi ya wanunuzi na wakulima kwa kuchang’anya pamba, maji, mchanga na mbegu kwa lengo la kuongeza uzito.Ziara...
View Article"MURrrA! LEO NDIYO FIESTA MUSOMA bHaNA"
"Twenzetu Musoma....!" Ni Young Killer na Stamina."Twenzetu Musoma" Hapa ni Nick Wapili."Twenzetu Musoma" Our bus...!!!"Twenzetu" Jukwaa liko tayari kwaajili ya makamuzi ya leo Serengeti Fiesta 2013...
View ArticleAirtel, Puma, Be Forward, Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, na Baraza...
Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akikabithi Tshirt zitakazotumika katika wiki ya nenda kwa usalama kwa mwaka huu kwa Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, ASP Mohamed Mpinga ambapo...
View ArticleTANZANIA YAINGIZA TIMU MBILI ROBO FAINALI AIRTEL RISING STARS
The Tanzanian Team before their first match between Ghana. They lost 2-1 at the Onikan Stadium, Lagos.Tanzania yaingiza timu mbili robo fainali Airtel Rising StarsLagos , Septemba 2o , 2013... Timu...
View ArticleMWANAMKE ANUSURIKA KUUAWA KWA KUIBA MTOTO MUSOMA
Hii imetokea mchana wa leo hapa musoma, mwanamke huyu kanusurika kuuawa na wananchi wenye hasira baada ya kudaiwa kuiba mtoto wa siku moja. PICHA kwa hisani ya Shommi BindaMtoto aliyenusurika kuibiwa....
View ArticleKINANA AMPA RUNGU MPINA KUWABANA MAWAZIRI.
Kutoka kushoto ni Katibu Mwenezi wa Siasa CCM Nape Mnauye (mwenye kamera), Katibu Mkuu CCM Abdarahiman Kinana na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina (anaye hutubia mkutano wa ziara ya Katibu huyo wa...
View ArticleSERENGETI FIESTA 2013 MUSOMA NI NOWMA SANA
Toka Wanaume halisi DoroThe Crew....Msami, Hamza na James Njuu.The shabikiz...Msanii mwingine anaefanya vyema hivi sasa katika anga ya muziki wa Bongofleva,Rich Mavoko akiwaimbisha mashabiki wake usiku...
View ArticleAKUDO IMPACT WATANGAZA UTALII NDANI YA RAFIKI CONCERT GEITA WAKISHEREHEKEA...
Mwimbaji wa Bendi ya Akudo Impact Tarsis Masela (kulia) akimtambulisha mpiga gitaa la bass wa bendi hiyo katika Rafiki Concert iliyofanyika usiku wa kuamkia leo mjini Geita ikiwa na lengo la kutangaza...
View ArticleMAUAJI YA KUTISHA MKOANI MWANZA, BABA, MAMA NA MTOTO WAUAWAWA KINYAMA BILA...
Katika eneo la tukio la mauaji hayo mlango wa nyumba ulikuwa umefungwa kwa nje, na mara baada ya kufunguliwa maiti ya baba wa familia hiyo Jonus Elias (44) ilikuwa sebuleni huku ikiwa imechinjwa, nako...
View ArticleADAMU NGANGE AMTWANGA KWA K,O ISSA MATUMLA
Bondia Adamu Ngange kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Issa Matumla wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa Kilimahewa uliopo Chanika Kigogo Fresh Ngange...
View ArticleNCHIMBI AZINDUA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI JIJINI MWANZA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Emmanuel Nchimbi akihutubia wananchi wa mkoa wa Mwanza walio hudhuria Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani inayofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM...
View ArticleTOP LAND KINONDONI MABINGWA SAFARI POOL 2013.
Naibu Waziri wa Utamaduni,Vijana na Michezo, Amos Makala(wa tatu kulia) akimkabidhi kikombe nahodha wa klabu ya Topland ya mkoa wa kimichezo wa Kinondoni,Omari Akida mara baada ya kuibuka mabi ngwa...
View ArticleTANZANIA MABINGWA WASICHANA MASHINDANO YA KIMATAIFA AIRTEL RISING STARS
Mkurugenzi mkuu wa Airtel Nigeria Segun Ognsanya Katikati akiwakabithi captain wa timu ya wasichana Tanzania na kocha wa timu ya wasichana Rogacian Kaijage zawadi za ushindi mara baada ya kuibuka...
View ArticleILIVYOKUWA SEMINA YA KAMATA FURSA TWENZETU MKOANI SHINYANGA JUMAPILI.
Mbuge wa Jimbo la Shinyanga mjini na Naibu Wa Nishati na Madini,Mh Steven Masele akizungumza na sehemu ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa...
View ArticleHATIMAYE SAKATA LA UGAIDI KENYA LAMALIZIKA.
Select a Channel to Watch TV LiveWatch KTN Live Watch NTV Live Watch Kiss TV Live Watch KBC Live Watch QTV Live Watch K24 Live Watch Kass TV LiveRipoti zinasema kuwa watu 69 wamefariki katika...
View Article