NDOA YA H. BABA NA FLORA MVUNGI IMEJIBU.
Hatimaye ile ndoa iliyofungwa miezi michache iliyopita kati ya Super Star wa TAKEU Bongo Fleva H. Baba na mwigizaji maarufu nchini wa Bongo Movie mwanamama Flora Mvungi imejibu kwa wawili hao kupata...
View ArticleKIKOSI CHA WACHEZAJI NYOTA WA AIRTEL RISING STARS CHAPATIWA NJUMU ZA MPIRA...
Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde Akikabithi viatu vya kuchezea mpira kwa wachezaji watakaoshiriki miachuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria itakayoanza jumatatu wiki ijayo na kushirikisha...
View ArticleBATA LA BIRTHDAY YA DJ K-FLIP
Flash...Mwaaaaah...!!Tost...!!Wuuuuu...!!!Tishaaaa...!!Poz..Crazy hour...!!Per Moko..Haiwezekani.Show up...!!Frees..!Hands Up..!!You are not alone..
View ArticleMASANJA ALIVYOKANDAMIZA KWENYE MAZISHI YA KULOLA.
Emanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji akizungumza na kusanyiko lililojitokeza kwenye mazishi ya Askofu wa EAGT hayati Moses Kulola aliyefariki na kuzikwa kwenye eneo la wiwanja vya kanisa la EAGT...
View ArticleMSHINDI WA NYUMBA YA PILI AIRTEL YATOSHA APOKEA CHETI CHA USHINDI RASMI
Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmmbando (kushoto) akimkabidhi cheti Mshindi wa Nyumba wa Airtel Yatosha bi. Anna G.Lyimo mkazi (kulia) wa Dar Es Salaam akishuhudiwa na Meneja masoko wa Airtel...
View ArticleAUNGUZWA VIDOLE NA MAMA YAKE MKUBWA KISA KUDOKOA MBOGA.
HABARI KAMILI YAJA VUTA SUBRA.Blogger G. Sengo akiwa amembeba mtoto Winfrida Nicolaus aliyeunguzwa na mke wa baba yake mkubwa ambaye ni askari polisi, kwa madai ya kudokoa mboga.
View ArticleSEMINA YA KAMATA FURSA TWENDZETU KWA VIJANA YAFANYIKA MKOANI DODOMA
Msanii mahiri wa Kughani Mashairi kwa mtindo wa kisasa kabisa,Mrisho mpoto akizungumza mbele ya sehemu ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma na vitongoji vyake waliojitokeza mapema leo asubuhi kwenye semina ya...
View ArticleMH. LOWASSA AKUTANA NA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU MKOANI TABORA NA...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akiongozana na baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Tabora,wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ofisi za CCM...
View ArticleMAHASIMU WAWILI PAMBA NA TOTO KUUMANA CCM KIRUMBA HII LEO.
Pamba iliyojenga heshima ya soka la Mwanza, itarejea?NA ALBERT G. SENGO: MWANZALIGI Soka daraja la kwanza Tanzania bara inataraji kuanza rasmi kutimua vumbi LEO Jumamosi ya tarehe 14 sept 2013 kwa...
View ArticleMH. LOWASSA ASIMIKWA KUWA CHIFU WA UNYANYEMBE MKOANI TABORA.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akivishwa vazi maalum la Kichifu pamoja na kukabidhiwa Mkuki na Chifu Mkuu wa Kabila la Unyenyembe, Chifu Msagata Fundikira ikiwa ni...
View ArticlePAMBA YASHINDA 1-0 DHIDI YA TOTO LIGI DARAJA LA KWANZA
Pamba Sport Club.Toto Africans.PAMBA YASHINDA 1-0 DHIDI YA TOTO LIGI DARAJA LA KWANZANA. ALBERT G. SENGO: MWANZATimu ya soka ya Pamba ya jijini Mwanza imeanza vyema safari yake kuelekea ligi kuu mara...
View ArticleMH. LOWASSA AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA MSINGIYA KANISA LA AICT...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Wachungaji Mapambano Jacob na Charles Lugembe wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama...
View ArticleWADAU NIKO NJIANI MAMBO YOTE LEO LEO...
Niko eneo la daraja la mto Simiyu wilayani Meatu mkoa mpya wa Simiyu. Mto huu ambao kipindi cha masika hufurika maji hata kufika kimo cha mita chache kukaribia usawa wa daraja, ukifika majira haya ya...
View ArticleRPC MORO AIBARIKI ANATORY POOL CLUB
RPC wa Mkoa wa Morogoro,Faustine Shilogile akisalimiana na Mkurugenzi wa Anatory Pool club,Anatory Makasi alipotembelea ofisini kwake kutambulisha club yake kuwa ndio wanaopeperusha bendela ya mkoa...
View ArticleWARSHA KWA BLOGGERS TANZANIA KUTOKA TCRA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati wa Warsha ya siku mbili kwa...
View ArticleTIMU ZINAZOSHIRIKI MICHUANO YA VIJANA YA AIRTEL RISING STARS ZAWASILI...
Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars wakati wa ufunguzi wa michuano ya Airtel Rising Stars ya Afrika inayozinduliwa rasmi jana (jumatatu) Nchini Nigeria na kushirikisha timu kutoka katika nchi 17...
View ArticleHAPA NA PALE HADI KWA PETRO MZENJI...
Petro Mzenji na sevisi azitoazo pande za Lalago.Mwonekano wa mbele ya maduka ya kale eneo la Lalago ambapo mengi kwa sasa yamegeuzwa kuwa nyumba kwa wapangaji wengi wakitumia milango ya uwani.Bango la...
View ArticleKINANA: MAWAZIRI TATUENI KERO ZA WANANCHI MOJA KWA MOJA: AVUTIWA NA UIMARA WA...
Katibu Mkuu wa CCM (katikati ya umati) akipokelewa kwa maandamano na umati wa wakazi wa kijiji cha Mwasengela walioambatana na viongozi wao.Kwenye kona kuelekea mkutanoni.Katibu Mkuu wa CCM akipokelewa...
View ArticleAIRTEL YABORESHA KITENGO CHA USALAMA BARABARANI KWA KUKABIDHI MILIONI 40.
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, ASP Mohamed Mpinga (kushoto) akipokea hundi ya shilingi milioni 40 kutoka kwa Meneja uhusiano wa Airtel, Bw. Jackson Mmbando. Hundi hiyo ilitolewa na kampuni ya...
View Article