MBEYA WAANZA RASMI FAINALI ZA SAFARI POOL TAIFA
Baadhi ya wachezaji wanaoshiriki mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa wa Mbeya wakiwa kwenye maandamano kuingia ukumbini wakati wa ufunguzi wa fainali hizo zinazofanyika Airport Pub mkoani...
View ArticleSAMSUNG YALETA UHAKIKA NA MFUMO WA “E-WARRANTY”.
Meneja wa mauzo na usambazaji wa kampuni ya Samsung , Silvester Manyara, Bakari Maggid toka bodi ya michezo ya kubahatisha na meneja mwakilishi wa Samsung nchini Kishor Kumar wakiwa wameshika baaadhi...
View ArticleJAKAYA AZINDUA KITUO CHA AFYA LUGEYE WILAYANI MAGU - APATA MAPOKEZI YA NGUVU
Rais Jakaya Kikwete akishuka kwenye helkopta ya jeshi la polisi kufanya ziara yake wilayani Magu ambapo alipata mapokezi ya kutosha wilayani humo kuanzia kata hii ya Lugeye..Rais Kikwete akiwa na...
View ArticleSERENGETI FIESTA 2013 JIJI LA MBEYA USPIME
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za muziki huo,Neylee akiimba kwa hisi jukwaani huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kwa shangwe ndani ya uwanja...
View ArticleSUMATRA YASITISHA SAFARI ZIWA VICTORIA KWA ABIRIA WASIO NA VITAMBULISHO.
SUMATRA YASITISHA SAFARI ZIWA VICTORIA KWA ABIRIA WASIO NA VITAMBULISHO.Mamlaka ya Uthibiti Usafiri wa nchi kavu na Majini SUMATRA, imewataka abiria na wananchi wote wanaotumia vyombo vya usafiri wa...
View ArticleOFISI MPYA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU KUZIPIGA BAO OFISI ZA JIJI LA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Magu na Ukumbi wa Mikutano. Ofisi hizo za kisasa kulingana na michoro yake zitazidi uzuri na...
View ArticleKAMATA FURSA TWENZETU MKOANI IRINGA
sehemu ya meza kuu. Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya ASAS,Salim Abri akizungumza na wakazi wa mji wa Iringa na vitongoji vyake waliojitokeza kwenye semina ya kamata fursa twenzetu,ASAS amejitolea...
View ArticleWANAOKWENDA NIGERIA AIRTEL RISING STARS WATAJWA
Wanokwenda Nigeria Airtel Rising Stars watajwa Dar es Salaam, Jumapili 8 Septemba 2013… Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza kikosi cha wachezaji 32 wanaosafiri kwenda Lagos,...
View ArticleHUJAGUNDUA TU NAMNA YA KUTALII?
Naikaribisha asubuhi na kitu cha kitumbua na chai ya rangi motooo...Mining'inio na jicho lionavyo toka dukani.Ze - Ujumbe....Kupita kiasi.....Wakiibuka wale jamaa zetu wa njaro za usiku tutasema...
View ArticleJ.A HOTEL YAZINDULIWA RASMI KATIKATI YA JIJI LA MIAMBA.
Ni muonekano wa J. A Hotel majira ya jioni.Mgeni rasmi wa ufunguzi wa J. A Hotel, Justus Molai (wa pili toka kulia) ambaye alikuwa Mkurugenzi wa halmashauri ya Urambo mkoani Tabora, akikata utepe...
View ArticleAIRTEL YAENDELEA KUUNGA MKONO DHAMIRA ZA KAMPENI YA USALAMA BARABARANI
Airtel yaendelea kuunga mkono dhamira za kampeni ya usalama barabarani* Mwaka huu yadhamini tena uchapishaji wa stika za usalala barabarani pamoja na wiki ya usalama barabarani.Kampuni ya...
View ArticleNI MWAKA MMOJA SASA TANGU KUUAWA KWA MWANGOSI NA MASWALI BADO HAYAJAPATA MAJIBU.
NA MWANDISHI WETU.Mwaka mmoja baada ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha luninga cha Channel ten Daudi Mwangosi serikali imelaumiwa kwa kutofanya juhudi za kutosha kuchukua hatua...
View ArticleMADIWANI HALMASHAURI YA KARIUA WATEMBELEA TBL MWANZA
Madiwani na Wataalamu wa Halmasahauri mpya ya Kariua toka mkoa wa Tabora wakiongozwa na Mwenyekiti wao John Kadutu, mwishoni mwa wiki walitembelea Kampuni ya Bia Tanzania iliyopo Ilemela jijini Mwanza,...
View ArticlePOOL SAFARI TAIFA MKOA WA IRINGA BINGWA APATIKANA
Afisa ushirika wa mkoa wa Iringa, John Kiteve wa (wa pili kulia) akimkabidhi kikombe nahodha wa klabu ya Garden, Said amaohamed, mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashingano ya Safari...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY DJ- CALVIN
Dj-K'flip Calvin MichaelDj-K'flip Calvin Michael (kulia) akiwa na Baraka jana katika kum-wish Happy day ya kuzaliwa DJ Calvin ambaye mara zote utakutana naye pale Club Fusion... Bata la jana (10...
View ArticleKUTANA NA SAMAKI ANAYE TUMIKA KAMA DAWA KANDA YA ZIWA
Dkt. Ngwatya mganga wa jadi na miti shamba aliyerithishwa tangu mwaka 1984 akiwa na umri wa miaka 25-30, mkononi akiwa ameshika samaki wa dawa aitwaye 'Shilonge'. Licha ya Ziwa Victoria kutumika kama...
View ArticleENZI HIZO...
Kama ulikosa kuangalia Dira ya dunia usiku wa leo, basi funga kazi ilikuwa ni mambo ya simulizi za mapigo ya kale juu mpaka chini... duh nimesahau hadi mwondoko wa kudundika...aaaah 'Charziiiii'Picha...
View ArticleSHIWATA YAKABIDHI NYUMBA ZA WANACHAMA WAO KWA AJILI YA MAKAZI
Mchezaji na Kepteni wa zamani wa Timu ya Taifa Stars, Jella Mtagwa (kushoto) akipokea cheti cha nyumba aliyokabidhiwa na SHIWATA na eneo la robo ekari ambalo anatarajia kujenga nyumba kubwaMwanachama...
View Article