"Nawatakia jumapili njema wadau wote wa libeneke hili (G Sengo blog). Kuna mengi mazuri yanakuja kwa siku za usoni kupitia hapa, nia na madhumuni ni kuwapa watizamaji, wasomaji fursa zaidi ya kupata habari sambamba na huduma mbalimbali kwa kiwango kilichobora zaidi... hope mmenisoma..""Nanaitwa Zephania Mandia. Mshirika nambari moko wa G. SENGO Blog"