![]() |
Kwa wale wanao 'peruzi na kudadisi' kisha wanasepa bila kununua magazeti hapa wamekomeshwaje...!? |
![]() |
Magazeti yakawa yanamdodea sana jamaa na kila siku akiyarudisha kwa wakalawake, kuona hivyo ndipo alipokuja na mbinu hii ya kuweka wavu, kwamba gazeti unalitizama kwa mbaaaaaali kama kuku bandani. |
![]() |
Na imekuwa suluhu jamaa sasa anafanya biashara. |