Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12426

BONDIA FRANSICI MIYEYUSHO AJIFUA KWA AJILI YA KUMTWANGA DAVID CHALANGA WA KENYA DESEMBA 31

$
0
0

Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde kwa mpangilio na Doi Miyeyusho wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika GYM ya lazima ukae iliyopo kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake wa kimataifa wa kufunga mwaka na David Chalanga wa Kenya mpambano utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Msasani klabu 


Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde kwa mpangilio na Doi Miyeyusho wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika GYM ya lazima ukae iliyopo kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake wa kimataifa wa kufunga mwaka na David Chalanga wa Kenya mpambano utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Msasani klabu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12426

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>