HAPPY BIRTHDAY NANCY KIMORI
HII leo familia ya Mr and Mrs Emmanuel Kimori ya jijini Mwanza inasherehekea maadhimisho ya binti yao kutimiza miaka mitano (5) ya kuzaliwa. Kwa niaba ya wadau wote wa blogu hii sanjari na marafiki wa...
View ArticleMWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM MKOA WA MWANZA ALIYEUWAWA KUZIKWA SIKU YA ALHAMISI
Marehemu Clement Mabina.MAZISHI ya aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Diwani wa Kata ya Kisesa wilayani Magu Clement Mabina, aliyeuawa kikatili na kundi la wananchi, yanatarajiwa kufanyika Alhamisi....
View ArticleREMMY WILLIAMS ATUA NCHINI.
MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Will akiwasili nchini akitokea Italy.MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Will (kushoto ) akiwasili nchini akitokea Italy kulia ni meneja wake nchini Italy Wactor...
View ArticleMAASKOFU ,WACHUNGANJI WABARIKI TAMASHA LA KRISMASI LA MUZIKI WA INJILI CCM...
Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Mwanza Alexanda Mwakisumbwa (katikati) akizungumza kwenye mkutano huo. wengine katika picha ni Mwenyekiti msaidizi Zenobius Isaya ambaye pia ni...
View ArticleTANZANIA DISTILLERIES LIMITED(TDL) YAZINDUA PROMOSHENI YASHINDANO LA KUMSAKA...
Meneja wa kinywaji cha Amarula kutoka Kampuni ya Konyagi Tanzania, Diana Baliagati, akizungumza na waandishi wa habaari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa promosheni ya kinywaji hicho Mlimani City...
View ArticleBONDIA FRANSICI MIYEYUSHO AJIFUA KWA AJILI YA KUMTWANGA DAVID CHALANGA WA...
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde kwa mpangilio na Doi Miyeyusho wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika GYM ya lazima ukae iliyopo kinondoni Dar es salaam...
View Article"KAMONGO TAMU SINDA NYAMA"
Shekshia hawa watatu wenye uzito wa 'haja' hata wakabebwa kwa toroli (wheelbarrow).Tukutane pale kwa kona hivi kwa mama..... tupige mzigo kwa ugali wa mtama au pengine muhogo.
View ArticleHUYU HAPA MWANDISHI WA HABARI MUONJAJI BORA WA BIA MWANZA 2013-2014.
Meneja wa Bia Tawi la Mwanza (TBL) Richmond Rymond akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa shindano la wanahabari la Beer Tasting Competition (Muonjaji Bora wa Bia) Willy Mlinda, katika hafla fupi...
View ArticleMAGUFULI, WASIRA NA NDIKILO WAONGOZA MAELFU KATIKA SAFARI YA MWISHO YA...
Waziri wa ujenzi John Pombe Magufuli akitoa salamu za rambirambi kwenye ibada ya mazishi ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza na Diwani wa kata ya Kisesa hadi mauti yalipomkuta Marehemu...
View ArticlePICHA ZA HAPA NA PALE KISESA
Wakazi wengi wa eneo hili ni wakulima na wafugaji.. nazo wachuuzi wa pembejeo wameziona Fursa.Pancha...Pilika pilika za mashineni....Kibanda cha muuza nguo za mitumba aka pamba, lakini leo hayupo...
View ArticleMAWAZIRI WANNE WANG'OKA.
CHANZO: MWANANCHI.Dar es Salaam / Dodoma. Ripoti ya Kamati ya Maliasili, Ardhi na Mazingira iliyowasilishwa jana asubuhi bungeni mjini Dodoma, imewang’oa madarakani mawaziri wanne ambao wizara zao...
View ArticleMAMA REGINA LOWASSA ASHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA PAMOJA NA WATOTO WENYE...
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu katika Kituo cha Huduma ya Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha kilichopo...
View ArticleBASI LA ALLYS LAFYEKA 9 LAJERUHI 15, NALO BUNDA BASI LAUA MWENDESHA BAISKELI.
Daladala iliyogongwa na basi la Ally's.WATU kumi wamekufa, wanane kati yao papo hapo na wengine 16 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha mabasi ya kampuni ya Bunda na Ally, mkoani...
View ArticleSahel Traing Co.Ltd YAKABIHI MZANI KWA AJILI YA MABONDIA
Mkurugenzi wa Sahel Traing Co.Ltd, Ally hazam kushoto akimkabidhi mzani wa kupimia uzito mabondia kwa Yassin Abdalla 'Ostadhi' mzani huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane umetolewa na...
View ArticleMH. LOWASSA ASHIRIKI TAMASHA LA WAENDESHA BODABODA JIJINI DAR LEO
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki za kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam...
View Article