$ 0 0 Wakazi wengi wa eneo hili ni wakulima na wafugaji.. nazo wachuuzi wa pembejeo wameziona Fursa.Pancha...Pilika pilika za mashineni....Kibanda cha muuza nguo za mitumba aka pamba, lakini leo hayupo kaenda kuchukua mzigo.Mwenyekiti yupo?