Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12435

IBADA YA KUFUNGA MWAKA YA KANISA LA SILOAM MWANZA ILIVYOFANA.

$
0
0
Mchungaji Neemia wa Kanisa la Siloam la jijini Mwanza akiongoza ibada ya kufunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014 iliyofanyika jana katika himaya ya muda ya kanisa hilo lililoko ukumbi wa Vijana Social Kirumba. 
Waumini wa kanisa la Siloam wakiwa katika hali ya utulivu ibadani.
"Mwambie na jirani yako kuwa usipo samehe hata Mungu hato kusamehe"
Mchungaji Neemiah akiendelea kuwalisha waumini neno la Mungu katika ibada ya kuufunga mwaka 2013 na kuukaribisha 2014 Mwanza.
Injiri ikiendelea kuzama ndani ya mioyo ya waumini wa kanisa hilo lenye utamaduni wa kuvaa mavazi meupe.
Wengi wamehudhuria ibada hii iliyokuwa na mafundisho yenye kujenga watu kiimani na kiroho.
Ibada ikiendelea.
Mchungaji Neemiah akiendelea kuwalisha neno.
Ni rafiki aliyelikiri jina la Yesu.
"Ukitaka kuishi katika nchi nzuri basisamehe walio kukosea....kusamehe uleta upendo na moyo wa kutosamehe huleta kisasi" Moja kati ya neno lililosikika hapa .
Sauti za vijana wa kwaya hii zilisisimua wengi.
Ni wakati wa kupakwa mafuta.
Mafuta ya baraka kuukaribisha mwaka 2014 uwe wa amani na mafanikio.
Eimen.....
Wakubwa na wadogo wamejitokeza hapa.
Kwaya.
Baraka na neema zitawale maisha yako ewe mtazamaji na mfuatiliaji wa mtandao huu na afanikiwe  katika mwaka 2014 na kuendelea.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12435

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>