ROSE MUHANDO ALIVYO WAKUNA WAKAZI WA TANGA
Mwimbaji mahiri wa nyimbo za kiroho a.k.a Injili,na anaetamba na wimbo mpya wa Facebook, Rose Muhando akiwa sambamba na skwadi lake zima wakilishambulia jukwaa vilivyo jioni ya jana ndani ya uwanja wa...
View ArticleWAFANYA BIASHARA MWANZA NAO WAGOMEA MASHINE ZA TRA
 Wafanya biashara wa maduka ya jijini Mwanza leo wagoma kufungua maduka yao wakigomea mashine za risit za EFD toka TRA na hii ndiyo hali ya baadhi ya maduka barabara yenye pilika pilika ya Nyerere...
View ArticleMSONDO NGOMA WAENDEREA KUITEKA TTC CHAN'GOMBE
Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakitoa burudani kwa mashabiki walioudhulia onesho lao lililofanyika TTC Chang'ombe jumamosi kutoka kushoto ni Eddo Sanga,Othumani Kambi , Shabani Dede na Hasani...
View ArticleKONYAGI WAFANIKISHA MASHINDANO YA KAWABWA CUP
Meneja wa masoko wa kampuni ya Konyagi Joseph Chibehe,(Kulia) akimkabidhi kepteni wa timu ya Mwambao Selemani Lugono baada ya timu hiyokuibuka washindi wapili katika ligi ya kawambwa cup iliyomalizika...
View ArticleDEATH ANNOUNCEMENT
Beloved father, grandparent and dear friend to many Samuel Kumalija Chagula, died peacefully aged 63 on Monday 23rd December at 6:20am in the Royal Free Hospital, Hampstead, London UK. Samuel touched...
View ArticleNGOMA ASILI KUUKARIBISHA MWAKA MPYA MWANZA.
Afisa Habari wa Taasisi ya Sayansi Jamii (TASAJA) Bituro Kazeri (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza hii leo.TAMASHA la Utamaduni wa ngoma za asili kufanyika kesho kwenye uwanja...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEUA IGP MPYA.
IGP Mpya Ernest Mangu ambaye kabla ya uteuzi alikuwa kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza. Naibu wa IGP Abdulrahman Kaniki (wa kwanza mbele upande wa kulia)
View ArticleELIMU, GHARAMA ZA KUBWA ZA KUNUNUA MASHINE CHANZO CHA MGOMO WAFANYABIASHARA...
Afisa habari wa Taasisi ya Sayansi Jamii (TASAJA) Bituro Kazeri akizungumzia sakata hilo mbele ya waandishi wa habari leo.Na Peter Fabian wa G.Sengo Blog.TAASISI ya Sayansi Jamii (TASAJA) mgomo si njia...
View ArticleYANAYOJIRI SASA NDANI YA MELI YA BURUDANI YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014...
Ni lile part la kukata na shoka linalofanyika ndani ya meli ya FB Chacha likiwa limepaki katika eneo la mwalo wa Kirumba jijini Mwanza nao watu wakitinga kwaajili ya kula bata usiku huu za kuukaribisha...
View ArticleBATA LA IJUMAA YA MWISHO KWA MWAKA 2013 NA SKYLIGHT BAND NDANI YA KIOTA CHA...
Waimbaji wa Skylight Band kutoka kushoto Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa ya mwisho kwa mwaka 2013 kabla ya kuelekea Mwanza kwa ajili ya show ya...
View ArticleIBADA YA KUFUNGA MWAKA YA KANISA LA SILOAM MWANZA ILIVYOFANA.
Mchungaji Neemia wa Kanisa la Siloam la jijini Mwanza akiongoza ibada ya kufunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014 iliyofanyika jana katika himaya ya muda ya kanisa hilo lililoko ukumbi wa...
View ArticleLILIVYOKUWA PART LA MELINI ...LITAENDELEA LEO NDANI YA GOLD CREST HOTEL.
Usiku wa saa 00:00 ilikuwa ni birthday ya Sony Massamba hivyo tuka pop shampaigne sanjari na kulipusha mafataki hewani kuukaribishamwaka mpya 2014, pichani meneja wa K Vant James Njuu (moja kati ya...
View ArticlePART TWO: SKYLIGHT BAND YAPAGAWISHA MKESHA WA MWAKA MPYA NDANI YA PANTONI FB...
Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE akizungumza na wakazi wa jiji la Mwanza waliojumuika na Skylight Band katika mkesha wa mwaka mpya ndani ya Pantoni FB CHACHA kwenye party la nguvu lililopewa jina la...
View Article