LOWASSA AUKARIBISHA MWAKA 2014 AKIWA KIJIJINI KWAKE NGARASHI,MONDULI.
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza katika tafrija aliyoiandaa kwa wananchi wake na wageni mbalimbali ya kuukaribisha mwaka mpya 2014,iliyofanyika jana...
View ArticleLIGI KUU ENGLAND MAN U CHALI.
Ligi kuu ya England inazidi kupamba moto, huku Arsenal wakiendelea kukalia kiti cha uongozi, baada ya kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Cardiff City.Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger,...
View ArticleTAZAMA PICHA JINSI LIONEL MESSI ALIVYOPANDA MLIMA KILIMANJARO
Messi ni mmoja kati ya masuper star waliepanda mlima Kilimanjaro, mlima mrefu katika bara la Africa mlima unaopatikana katika ardhi ya Tanzania. Mlima kilamanjaro ni moja ya vivutio vinavyoliletea...
View ArticleMWANZA YATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MCHUNGAJI DAUDI ISAYA ONYANGO ALIYEFARIKI...
Wachungaji wa makanisa mbalimbali ya AICT Kanda ya Ziwa wakiwa katika ibada maalum ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mchungaji Daudi Isaya Onyango aliyefariki kwa ajali akiwa safarini...
View ArticleKWANEEMA FM RADIO YATOA TUZO KWA WAFANYAKAZI WALIOFANYA VIZURI 2013.
Hapa Mkurugenzi wa Kwaneema Fm ya jijini Mwanza, akitoa maelezo juu ya Ufanisi wa kazi kwa wafanyakazi kwa msimu wa Mwaka 2013-2014.Hapa ni Meneja wa kituo hicho Marium Juma, akitoa maelezo juu ya...
View ArticleJUST UBUNIFU WA BODA BODA.
Sasa ni full kipupwe kama uko kwenye 'kibajaj'. Chekshia kideo.
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (MAINSTREAM & SOCIAL MEDIA), MAAMUZI YA KAMATI...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa (kushoto) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed wakati wa Kikao cha Kamati Kuu...
View ArticleX-LUSIVE PARTY YA JEMBE NA WANA MWANZA.
Pop za champagne kama kawa.Kwa birthday ya Jembe.Some word from Skylight Entertainment CEO.Dance la Skylight.Pipo yu No.Location.Share.Nice one.Some good music that holds the attention and interest of...
View ArticleDIAMOND FEAT DAVIDO - NUMBER ONE REMIX
Ni chance yako nyingine kushuhudia ngoma kali levo nyingine tena toka kwa wakali wawili Diamond Platnum wa Tanzania na Davido toka nchini Nigeria.
View ArticleHALI TETE KWA AFYA YA RAIS MUGABE.
Picha ya Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, iliyopigwa mjini Harare mwezi August 2013.An insider from Zimbabwe's ruling government has posted information suggesting that longtime president of the African...
View ArticleBreaking: PICHA ZA MWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE ALIYE PIGWA NA KUTUPWA DAR...
MWENYEKITI wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke Joseph Yona amepigwa na watu wasiojulikana na kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio kwenye Magorofa ya Wasomali Kawe Dar es...
View ArticleWAKAZI WA MWANZA WABURUDIKA NA SKYLIGHT BAND NDANI YA GOLD CREST HOTEL.
Muonekano wa Stage mpya ya Skylight Band ndani ya Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza tarehe 1/1/2014 kwenyeSuper model Neema Mbuya akiwa na chupa za Zappa , huku Skylight Band ilitoa Free shots za...
View ArticleBODI YA BARABARA MWANZA YAMUONYA MENEJA WA TAMESA KWA KUDHARAU MAAZIMIO YA...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo (Mwenyekiti) akiendesha Kikao cha Bodi ya Barabara kinachoendelea katika Ukumbi wa BOT mkoani Mwanza, kulia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza (RAS)...
View ArticleZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE, MAHAKAMA YAZUIA KAMATI KUU YA CDM...
Siku ya leo macho na masikio ya watanzania hasa wafuasi na wapenzi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini (CHADEMA) yalielekezwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, pale ambapo Jaji...
View ArticleSAFARI YA BONGE NA MIAKA 14 YA CLOUDS FM YAFANA JIJINI MWANZA.
Pichani Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mkolani (mtu wa watu) Mhe. Stanslaus Mabula (katikati) akiwa na Afisa Habari wa Jiji la Mwanza Joseph Mlinzi (kushoto)...
View ArticleMBC TRAINING CALENDER, 2014
Give your business a performance boost with Mikono Business Consult 2014 training programmes.Contact us today on 0717 109 362 or info@mikono.biz for more details.
View ArticleBONGE AFANYA ZIARA CITY RADIO MWANZA.
Ripota wa Clouds Fm kipindi cha Power Breakfast Bonge (kulia) akifanya mahojiano na watangazaji wa City Fm ya jijini Mwanza juu ya safari yake iliyopachikwa jina la Burudani Barabarani ambayo...
View Article