KAMA UNA KIATU KIKALI BASI ZUKA JUMAMOSI HII KWENYE PARTY HILI PANDE ZA MWANZA .
Upate mpango mzima kwa kubofya PLAY.
View ArticleCLOUDS 14 YATEMBELEA UJENZI WA SOKO LA KISASA LA MWANZA.
Msimamizi mkuu wa mradi wa Ujenzi wa soko la Kisasa la Mwanza Commercial Complex, Injinia Zuma (katikati) akiwa na Bonge wa Clouds fm (kulia) na Afisa Habari wa Jiji la Mwanza Joseph Mlinzi (kushoto)...
View ArticleKIONGOZI WA UPINZANI NCHINI UGANDA, BESIGYE AKAMATWA AKITOROKA MJINI KAMPALA.
KAMPALA - Police arrested opposition politicians Dr. Kizza Besigye and embattled Kampala Lord Mayor, Erias Lukwago in Kampala on Thursday as they tried to hold a meeting.The two men, who found...
View ArticleOXFAM YAWEKEZA MAISHA PLUS MSHINDI ZAIDI YA MILIONI 25 KUSHINDANIWA: MWANZA...
Mmoja wa wakurugenzi wa Maisha Plus Tv Kaka Bonda (wa kwanza kushoto) amesema kuwa mwaka uu kampuni yake imeamua kuetengeneza fomu na kuzigawa bure bila malipoTanzania nzima ambapo kwa washiriki wa...
View ArticleMADIWANI WA JIJI LA MWANZA WAMGOMEA MKURUGENZI WAO:BAJETI IMEJAA...
Na PETER FABIANG.SENGO BLOG.MADIWANI wa Jiji la Mwanza leo wamegomea kujadili Rasimu ya Bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa jiji la Mwanza, kwa madai kuwa haijakidhi na ina...
View ArticleMH. LOWASSA AKAGUA MIRADI YA MAJI JIMBONI KWAKE MONDULI.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akiongozana na wadau mbali mbali wa maendeleo wakati ziara yake ya kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa bwawa la maji...
View ArticleBURUDANI YA SKYLIGHT BAND IJUMAA YA KWANZA KWA MWAKA 2014 NDANI YA KIOTA CHA...
Digna Mbepera akiwaimbia kwa hisia mashabiki wa Skylight Band Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2014 ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa na Mary Lucos pamoja na Winnie.Meneja...
View ArticleBUSHIRI KAUBANIKA AFUNGA NDOA NA MWATABU TAMARAWE
Bwana Bushiri Kaubanika akiwa na nyuso ya furaha baada ya kufunga pingu za maisha na Mwatabu Tamarawe arusi iliyofungwa Gongolamboto mwisho wa lami na kufuatiwa na tafrilija iliyofanyika Kigogo Dampo...
View ArticleARIEL SHARON AFARIKI DUNIA.
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon, amefariki dunia.Bwana Sharon ambaye amekuwa kwenye umahututi kwa miaka nane.Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kuugua ugonjwa wa...
View ArticleSHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR ZAFANA.
Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia wananchi wa Zanzibar wakati akiingia kwenye uwanja wa Amani na gari la wazi kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleKESHO NI MAPUMZIKO YA KITAIFA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ally Mohammed Shein kwa makubaliano na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete wametangaza kesho (jumatatu 13jan2014)...
View ArticleNGOMA IKIGEUKA HIVI SIKU MOJA JE UTAUNGANA NA WATAKAO NUNA?
SIASA za leo zimekuwa kizunguzungu, watu wanabadilika kama kinyonga, wale wale walio kuwa mstari wa mbele kutia hamasa ya jambo fulani leo, mara kesho wanageuka na kudai kunukuliwa vibaya kwa yale ya...
View ArticleHAPA NA PALE LEO MAPUMZIKONI.
Dereva hana sikukuu.Kesho ni maulid.Viashiria kuelekea maulid.Kwa mujibu wa tangazo ilililotolewa na Baraza Kuu la Waisalam Tanzania, BAKWATA limetangaza kuwa leo usiku yatafanyika maulid ya...
View ArticleSUPER STAR WA BONGO MOVIE JB AONGOZA ZOEZI LA UTOAJI FOMU ZA SHINDANO LA MAMA...
Mwigizaji wa filamu za Bongo Jacob Steven aka JB aka Dj Ben, akiwakabidhi akinamama waliofika katika viwanja vya Buhongwa jijini Mwanza kuchukuwa fomu za ushiriki wa shindano la Mama shujaa wa chakula...
View ArticleCRISTIANO RONALDO ASHINDA TUZO YA BALLON d'Or 2013.
Hatimaye Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa ndiye mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2013, baada ya kuwaketisha chini Leo Messi na Frank Ribery katika mbio za kunyakua tuzo hiyo adimu ulimwenguni, katika...
View ArticleWANANCHI UKONGA WAGOMEA FIDIA KIDUCHU BOMBA LA GESI
Mwenyekiti wa Kamati ya kufatilia malalamiko ya wananchi wa mji mpya relini Bw. Omari Msusa kushoto akihojiwa na vyombo vya habari kuhusu fidia wanayotakiwa kulipwa huku Mbunge wa Jimbo la Ukonga Dar...
View ArticleRAIS KIKWETE MGENI RASMI KONGAMANO LA WASANII IJUMAA
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Twalib 'Teacher' (kushoto) MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa kongamano la umoja na mshikamano linalofanyika Januari 17 (Ijumaa) kwenye viwanja vya hoteli ya...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY ZAINABU WA SUPER D'
LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MTOTO ZAINABU MHAMILA 'IKOTA' SUPER D AMBAPO ANATIMIZA MIAKA 11 TANGU KUZALIWA KWAKE, PICHANI AKIWA NA BABA YAKE MZAZI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AMBAYE NI KOCHA WA...
View Article