Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

NGOMA IKIGEUKA HIVI SIKU MOJA JE UTAUNGANA NA WATAKAO NUNA?

$
0
0
SIASA za leo zimekuwa kizunguzungu, watu wanabadilika kama kinyonga, wale wale walio kuwa mstari wa mbele kutia hamasa ya jambo fulani leo, mara kesho wanageuka na kudai kunukuliwa vibaya kwa yale ya jana waliyozungumza, na wale walio kuwa wakinyooshea vidole wengine mithili ya kuwasuta sitoshongaa kesho wakawa na mlengo mwingine tena, Teh..teh...(kicheko)

Nimeifuma picha hii mtandaoni. Kiufupi imetengenezwa lakini aliye tengeneza yawezekana ana maono (huwezi jua). 'TAFAKARI'

Swali ni kwamba:- ngoma ikigeuka na kuwa hivi siku moja Je! utaunganana watakaonuna? 
Jibu kimya kimya au kwa kupaza sauti. (samahani lakini)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>