![]() |
Wananchi wa mji wa Njombe na vitongoji wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika mjini Njombe jana. |
![]() |
Wananchi wa mji wa Makmabako wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika jana. |
![]() |
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Makmabako, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana. |

![]() |
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu', akihutubia mkutano wa hadhara ikiwa ni mfululizo wa mikutano ya Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika mji wa Chamara mkoani Mbeya jana. |
![]() |
Kusanyiko la mkutano |