UCHAGUZI TOTO NI DANADANA TENA.
NA ALBERT G. SENGO: MWANZAIkiwa zimesalia siku mbili tu kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Toto Africans ya jijini Mwanza, hatimaye leo tena ikiwa ni mara ya tatu sasa, Club hiyo imetangaza kuuahirisha...
View ArticleMAHAKAMA NKASI YAAMURU MUME KUJENGA NYUMBA YA MTALAKA WAKE.
Maria Tarafa (wa kwanza kushoto) akiwa na watoto wake wanne aliozaa na Ndebile Kazuri akiwa amekaa kwenye kifusi cha sehemu ya nyumba anayokaa, mumewe ameibomoa nyumba hiyo ili kumfukuza eneo...
View ArticleYANGA YAKABIDHI KADI 9 TAWI LA MWANANYAMALA
Mlezi wa tawi la Yanga la Green Stone lililoko Mwananyamala , Yusuf Mwandeni akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa tawi hilo, Michael Machellah wakati wa hafla fupi ya kukabidhi kadi kwa wanachama wapya...
View ArticlePICHA ZA MATUKIO YA M4C MKOANI NJOMBE.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Cadema), Dk. Willibrod Slaa akimnadi mgombea udiwani katika Kata ya Njombe Mjini kupitia chama hicho, Agrey Mtamba, wakati wa mkutano wa hadhara wa...
View ArticleWASHINDI WA AIRTEL 'MIMI NI BINGWA' WAKWEA PIPA KWENDA OLD TRAFFORD.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson Mmbando akiwakabidhi tiketi za ndege baadhi ya washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel tayari kwa...
View ArticleMAKONGORO NA RAFIKI ZAKE WASHEREHEKEA MWAKA MPYA KWENYE KITUO CHA KULEA WAZEE.
Juma Makongoro ambaye Mkuu wa Doria za Uvuvi Kanda ya Mwanza akimkumbatia mama mmoja kati ya wazee wa Kituo cha kulelea wazee cha Kalwande kilichopo Usagara Bukumbi wilayani Misungwi mkoani Mwanza...
View ArticleKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA JIJINI...
Na Peter FabianMWANZA. KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mbaraka Abduwakili amewataka wajumbe wa Baraza kuu la Taifa Idara ya Uhamiaji nchini kujikita zaidi kujadili utendaji kazi wa...
View ArticleMZEE DUDE WA FUTUHI AFARIKI DUNIA.
Msanii wa tasnia ya uchekeshaji toka kundi la FUTUHI linalo rusha kazi zake kupitia Star TV, Mzee Dude amefariki dunia leo mida ya saa 11 jioni akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando ya...
View ArticleMPIGA TUMBA MAHIRI NACHINI MCD AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA TAREHE 28...
Mpiga tumba mahiri katika muziki wa dansi nchini Soud Mohamed ambaye pia alikuwa akifahamika kwa jina la MCD, ambaye pia alipata umaarufuna kujijengea jina akiwa Bendi ya Twanga Pepeta kisha baadaye...
View ArticleMWANAUME AFUMANIWA AKILA URODA NA KUKU, KISUMU.
Mwanamume mmoja mwenye umri wa makamo ametiwa mbaroni na maafisa wa polisi mjini kisumu baada ya kudaiwa kushiriki kitendo kisicho cha kawaida na kuku. Inadaiwa mwanamume huyo amekuwa na mazoea ya...
View ArticleUAP GROUP YAELEZEA MIPANGO YAKE KWA KAMPUNI YA BIMA YA CENTURY NCHINI TANZANIA
Kamishina wa Bima nchini Tanzania, Israel Kamuzora (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya makampuni ya kibiashara iliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya UAP Century Tanzania...
View ArticleJAMAL MALINZI AWAFINYA SIKIO WANASOKA ALLIANCE: MPIRA USIWAFANYE KUACHA MASOMO.
Pamoja na kumalizika kwa Ziara ya kwanza ya Rais wa TFF Jamal Malinzi aliyoifanya hivi karibuni (mwanzoni mwa mwezi january 2014) akiwa nje ya makao makuu yake tangu alipo chaguliwa kuchukuwa wadhifa...
View ArticleYALIVYOKUWA MAZISHI YA MSANII WA KUNDI LA UIGIZAJI KOMEDI LA FUTUHI MZEE DUDE...
Dua ya kuuombea kheri mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa luninga la FUTUHI marehemu Omary Majuto al maarufu kwa jina la Mzee Dude ilifanyika majira ya saa 9:00 nyumbani kwake...
View ArticleBREAKING NEWS: SHEIKH MKUU WA MKOA WA MARA OTHMAN MAGEE AFARIKI DUNIA.
Taarifa tulizozipata hivi punde toka chanzo chetu makini zinasema kuwa aliyekuwa Sheikh mkuu wa mkoa wa Mara Othman Magee,amefariki dunia usiku huu akiwa katika matibabu hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
View ArticleDROO KUBWA YA MILIONI 50/= YA 'MIMI NI BINGWA' YAKARIBIA.
Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akizungumza na mmoja wa washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa aliyepatikana katika droo ya kumi ya promosheni hiyo iliyochezeshwa jana katika ofisi...
View ArticleKAMPUNI YA REX ENERGY YATAMBULISHA TEKNOLOJIA MPYA YA KUHIFADHI NA KUSAMBAZA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kusambaza vifaa vya umeme wa jua (solar) ya Rex Energy Bw Francis Kibhisa akizungumza na Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),kuhusiana na uzinduzi na...
View Article