Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

JAMAL MALINZI AWAFINYA SIKIO WANASOKA ALLIANCE: MPIRA USIWAFANYE KUACHA MASOMO.

$
0
0
Pamoja na kumalizika kwa Ziara ya kwanza ya Rais wa TFF Jamal Malinzi aliyoifanya hivi karibuni (mwanzoni mwa mwezi january 2014) akiwa nje ya makao makuu yake tangu alipo chaguliwa kuchukuwa wadhifa huo, masuala mengi yaliyojiri kwenye ziara hiyo ulipata kuyasikia kwa kina kupitia Sports Xtra, lakini jeh! wajua ni kipi Malinzi aliteta na wanasoka na vijana wanaojifunza uamuzi wa soka ndani ya Academy hiyo?
Humo ndani kawataja Vicent Company, Nasri na wengine .... 
CHEKSHIA MZIGO HUU WA SAUTI YAKE MWENYEWE.....BOFYA PLAY.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>