MASELE MALEKELA: "NITAHAKIKISHA SANAA YA UIGIZAJI MWANZA INASIMAMA NA...
NITAHAKIKISHA SANAA YA UIGIZAJI MWANZA INASIMAMA NA KUPENDWA NA WADAU WOTE.Msanii Mkali wa Sanaa ya uigizaji kutoka Rocky City Mwanza Masele Malekela amesema kuwa atahakikisha sanaa ya uigizaji Mwanza...
View ArticleMOROGORO WALIVYO SHIRIKI OPERESHENI M4C.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele akiwahutubia wananchi wa Kata ya Tungi mjini Morogoro jana, katika mkutano wa hadhaa wa Operesheni M4C Pamoj Daima, ambao pia ulihutubia na Mwenyekiti...
View ArticleLG YAZINDUA TV AINA YA OLED AMBAYO NIYA KWANZA KWA UBORA DUNIANI
Na mwandishi Wetu, Dar es Salaam.LG imezindua TV ya kwanza ulimwenguni aina ya OLED ambayo ndiyo imeingia katika soko ya nchini Tanzania, TV aina ya OLED inayojikunja ni mwanzo wa burudani ndani ya...
View ArticleVYAMA VYA NGUMI ZA KULIPWA KUUNGANA.
VYAMA VYA NGUMI ZA KULIPWA VYAUNGANAVYAMA vya ngumi za kulipwa nchini vimekubali kuungana na wenzao TPBO kushiriki mkutano wa mapromota wa ngumi na mabondia wote wa Tanzania. Mkutano huo unaotarajiwa...
View ArticleKERO: NANI MWENYE TENDA HII MWANZA?
Nazungumzia kampuni yenye dhamana ya kusafisha mitaro ya maeneo ya Kirumba jijini Mwanza, muhusika yapata wiki ya pili sasa tunaenda ya tatu ametoa mchanga, takataka na tope zilizokuwa kwenye mifereji...
View ArticleMABOMU YAFURUMUSHWA KWENYE MSIBA WA ALIYEKUWA SHEIKH WA MKOANI MARA KUWAZUIA...
NA. Mwandishi wetuMusoma.POLISI mkoani Mara wamelazimika kutumia mabomu kuwatawanya wafuasi wanaotajwa kuwa niwa Chama cha maendeleo na demokrasia nchini CHADEMA waliokuwa wakimfanyia fujo aliyekuwa...
View ArticleJIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS SASA..!!
Kuwa wa kwanza kupata Breaking News za wasanii, watu maarufu na zingine kutoka Magazeti Pendwa ya IJUMAA WIKIENDA, UWAZI, RISASI, AMANI, IJUMAA na CHAMPIONI moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi...
View ArticleMING'ARO YA SKYLIGHT BAND HUANZIA IJUMAA.
Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 (katikati) kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar ambapo...
View ArticleWASHINDI WA AIRTEL ‘MIMI NI BINGWA’ WAREJEA TOKA OLD TRAFFORD
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto) akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na washindi wa tiketi wa promosheni ya Airtel ya Mimi...
View ArticleKINANA, MANGULA WAWASILI MBEYA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM.
Makamu Mwenyekiti wa CCM,Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37...
View ArticleMTANGAZAJI WA EATV KEN KIDAGO AFARIKI DUNIA.
NEWS:MTANGAZAJI WA TELEVISHENI YA EAST AFRICA(EATV),KEN KIDAGO AFARIKI DUNIAMtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha East Africa aliyekuwa akifanya kipindi cha 5 sports, Ken Kidago amefariki...
View ArticleZIARA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DR.TITUS KAMANI YABAINI...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dr. Titus Kamani(kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Samaki kituo cha Mwanza (TAFIRI) Dr. Robert Kayanda wakitazama jinsi hatua mbalimbali za utafiti...
View ArticleCOLLEGE RED PARTY KUPIGWA SIKU YA VALENTINE SENGEREMA.
UWE UNAPITA NCHI KAVU.....ANGANI AU ZIWANI ILA KITUO CHA MWISHO NI SENGEREMAAAAAAAAAHAYA SENGEREMA HII INAWAHUSU SANAAAAAAAAA SIKU YA VALENTINE...KUTAKUWA NA MAMBO KIBAOOOO MAZEEE NA KAMA HAITOSHI...
View ArticlePICHA ZA UTALII KISESA.
Juu ya kisiki.Soma lebo.Biashara ya nanga.Ujembe toka kwa wahenga.Chakula kikuu kwa wakazi wa kanda ya ziwa ni ugali na ugali unao lika hapa ni ule wa mahindi uliochanganywa na muhogo unaitwa...
View ArticleMRADI WA TIBU HOMA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA WAADHIMISHWA JIJINI MWANZA.
Mradi wa Tibu homa halmashauri ya jiji la Mwanza umeadhimishwa rasmi siku ya Ijumaa katika viwanja vya kituo cha mabasi Igoma wilayani Nyamagana ambapo samamba na mkutano wa utoaji elimu pia wazazi...
View ArticleLILIVYOKUWA CHEREKO LA HARUSI YA TECHNICAL MANAGER WA CLOUDS MEDIA.
Katika pozi Bwana harusi Jackson Joseph na Bi. Silla Jackson. Lets us dance.Bi. Monica wa Clouds Media akizungumza jambo kwaniaba ya wafanyakazi wa Kampuni.Nabii Yasp Paul Bendera akiwakabidhi maharusi...
View ArticlePAN AFRICA ENTERPRISES LTD YAKABIDHI MAGODORO KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO...
Mkurugenzi wa Home Shopping Centre Gharib Said Mohammed (GSM) kushoto akitembea na Mku wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meki Sadiq katika daraja lilosababisha watu wa kutoka Dar kwenda Dodoma kusimama kwa...
View ArticleDJ MAFUVU ALAMBA SHAVU KUKISANUKISHA NDANI YA FULLMOON PARTY VALENTINE MWANZA.
Kuelekea siku ya wapendanao duniani Valentine's day (14 february) tayari maandalizi mbalimbali yamekwishaanza jijini Mwanza, nia na madhumuni ni kuisababisha siku hiyo maarufu sana duniani kuwa ya...
View Article