Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12438

JEH YANGA KUCHANA MIKEKA YA WARABU USIKU HUU

$
0
0

Kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho Barani Africa, wawakilishi wa Tanzania, Yanga SC, Leo Jumapili wapo dimba la Ugenini nchini Misri kukipiga na Pyramids FC katika mechi ya marudiano.

Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba, jijini Mwanza klabu ya Pyramids FC iliibuka na ushindi wa bao 2-1.

Mechi hiyo inatarajia kuanza saa tatu kamili ( 3:00) usiku huu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12438


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>