Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12435 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KATIKA UTATUZI WA MGOGORO WA ARDHI KATI YA KIWANDA CHA SARUJI CHA...

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikagua ramani wakati wa kutatua mgogoro wa Ardhi baina ya Kijiji cha Nanyala na kiwanda cha Saruji cha Mbeya, Waziri Lukuvi aliambatana...

View Article


KAMA ULIIKOSA SIKU YA KWANZA URITHI FESTIVAL MWANZA 2019

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MDHIBITI MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG)

Rais John Magufuli leo Novemba 3, 2019 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuchukua nafasi ya Prof Mussa Hassad ambaye muda wake unaisha kesho Novemba 4, 2019.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEH YANGA KUCHANA MIKEKA YA WARABU USIKU HUU

Kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho Barani Africa, wawakilishi wa Tanzania, Yanga SC, Leo Jumapili wapo dimba la Ugenini nchini Misri kukipiga na Pyramids FC katika mechi ya marudiano.Ikumbukwe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA URITHI FESTIVAL LAHITIMISHWA JIJINIMWANZA

Tamasha la Urithi wa Mtanzania (Urithi Festival 2019) limehitimishwa kitaifa jijini Mwanza Novemba 02, 2019 ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyewakilishwa na Waziri wa...

View Article


MONGELLA ASHIRIKI IBADA YA SHUKURANI NA KUMWOMBEA RAIS MAGUFULI

Maombi hayo yamefanyika JUMAPILI ya Novemba 03, 2019 katika ibada maalum ya kumpongeza Dkt. Mutash baada ya kusimikwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la EAGT Kiloleli.Viongozi mbalimbali wa Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Afya afungua warsha ya wadau wa Utafiti Kanda ya Ziwa

 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akifungua warsha ya siku mbili kwa wadau wa utafiti/ watoa huduma za afya Kanda ya Ziwa.Warsha hiyo yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RORYA WAMKOSHA Dkt. Gwajima, AWAPA TANO

 Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Dkt.Dorothy Gwajima, akitoa maelekezo kwa Halmashuri zingine nchini kwenda kujifunza na kuiga mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ilivyofanya vizuri kwenye fedha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKONGWE ASHAMBULIWA KWA FIMBO HADI KUFA.

Na Amiri kilagalila-NjombeJeshi la polisi mkoani Njombe limethibitisha kuuwawa kwa mzee Issa Pila(80) ambaye alishambuliwa kwa fimbo na wanafunzi wa shule ya msingi Uganga iliyopo tarafa ya Bulongwa...

View Article


d

View Article

e

View Article

MZIGO MPYA WA KOFFI OLOMIDE - 1 Dollar ( Clip Officiel)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IBADA YA MAULID YASHUSHA SALA NZITO KUMUOMBEA RAIS MAGUFULI MARA BAADA YA...

Video:-

View Article


BREAKING NEWS:- HARMONIZE AACHIA VIDEO YA UNO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA 18 WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI ZA AFRIKA 29 NA NCHI 5 ZA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMLAKA YA MAJI ARUSHA YATAKIWA KUPELEKA MAJI NAMANGA

Naibu katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony (mbele) akikagua chanzo cha maji cha mradi wa Longido katika Mto Simba uliopo wilayani Siha mkoani Kilimanjaro ili kutazama uwezekano wa kutoa maji...

View Article

SAMATA AWEKA HISTORIA NYINGINE UEFA KWA KUFUNGA NYUMBANI KWA LIVERPOOL

HISTORIA imeonekana Leo Kwa MBWANA ALLY SAMATTA ndani Ya Anflied. Amekuwa Mchezaji wa kwanza kutoka TANZANIA Hlf kufunga GOAL katka uwanja wa LIVERPOOL

View Article


UJENZI WA CHELEZO KWAAJILI YA MELI MPYA ZIWA VICTORIA WAWASISIMUA MA-SHEIKH -...

Wakati zoezi la kuandaa uso wa kazi tayari kwa kuanza ujenzi wa Chelezo kitakachotumika kujengea Meli mpya katika Ziwa Victoria likiendelea kwa kasi katika eneo la Bandari ya Mwanza Kusini, Ma-Sheikh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA NA KATIBU MKUU CCM BASHIRU ALLY WATIMIZA AHADI ZAO MWANZA

"Mhe. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dr. Bashiru Ally alifana ziara mkoani petu na alipita ofisi za BAKWATA za mkoa zilizopo kata ya Mbugani akakuta ujenzi wa msikiti unaendelea naye akaahidi kutoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NDEGE LA LUFTHANSA LAFUTA SAFARI ZA NDEGE1,300 KWA SABABU YA MGOMO.

Shirika la Ndege la Ujerumani Lufthansa limefuta karibu safari 1,300 hapo kesho na Ijumaa kwa sababu ya mgomo uliopangwa na chama kinachowawakilisha wahudumu wa ndege nchini Ujerumani.Chama cha UFO...

View Article
Browsing all 12435 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>