K-FAN ft. BARAKAH DA PRINCE - MTOTO MTOTO (Official video HD)
KUTOKA Mwanza Tanzania Watch-Mtoto motto by K-Fan featuring Barakah da Prince,Audio produced by Lollipop K-records and video directed by Hypa Ibadah One Love fx
View ArticleRC PWANI AWASHUKIA WATUMISHI WA UMMA NA WATENDAJI WA SERIKALI KWA KUENDEKEZA...
NA VICTOR MASANGU, MKURANGAĀ MKUU wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo amewataka watumishi umma pamoja na watendaji wa halmashauriĀ Ā kuachana na tabia ya kuwa na itikadi ya vyama vya siasa ambayo...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA OFA YA INTELNET BURE TANZANIA
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano MallyaĀ akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeniĀ kabambe ya Airtel inayotoa ofa ya intaneti bure ijulikanayo kama āNaĀ Like...
View ArticleJEMBEKA CAMPUS NIGHT
Jembeka Campus Night iliyofanyika mwishoni mwa wiki ilihusisha pia shindano la mavazi sambamba na kumtambua nani mkali katika muonekano.Ā Ubunifu dizaini.Kitenge.Wow.Suti..Fashonista.Masai.Majaji kutoka...
View ArticleSKYLIGHT BAND INAKUKARIBISHA LEO THAI VILLAGE KABLA YA KUELEKEA JIJINI ARUSHA...
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Meneja wa...
View ArticleMH. LOWASSA KATIKA IBADA YA IJUMAA KUU LEO
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwa ameungana na Waumini wengine katika Ibada ya Ijumaa Kuu ya Pasaka iliyofanyika kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
View ArticleJEMBE FM YAPANIA KUWA SEHEMU YA UCHANGIAJI KATIKA UKUAJI WA MAENDELEO YA JIJI...
Mkurugenzi wa Mtedaji wa Jembe ni Jembe ambaye ni mmiliki wa Jembe FM Radio, Dr. Sebastian Ndege, kwa mara ya kwanza hii leo amezungumza na wakazi wa mkoa wa Mwanza kupitia masafa mapya ya 93.7 Jembe...
View ArticlePADRI AUDAX KAASA AONGOZA IBADA KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH DAR ES SALAAM
Ā Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp KardinaliĀ Pengo, akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu katika Ā Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam,Ā Katikati...
View ArticleWAANDAMANA DHIDI YA AL-SHABAAB GARISSA.
Maandamano Garissa.Wananchi wa mji wa Garissa nchini Kenya wamefanya maandamano kupinga vitendo vya kundi la Al Shabaab, lililoshambulia chuo kimoja kikuu mjini humo na kuwaua watu 147 wengi wao wakiwa...
View ArticleNGUMI KUFANYIKA MKWAKWANI TANGA MEI 2
Na Mwandishi WetuBondia Alen Kamote wa Tanga atapanda uringoni mei 2 katika uwanja wa mkwakwani tanga kukabiliana na Emilio Norfat katika mpambano wa raundi 12 mbali na mpambano uho siku hiyo pia...
View ArticleMVUA YASABABISHA KUAHIRISHWA KWA MECHI YA KAGERA Vs SIMBA DIMBA LA CCM KAMBARAGE
Ā NA ALBERT G SENGO: SHINYANGAKufuatia mvua kubwa kunyesha kwa takribani siku mbili mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara baina ya Kagera Sugar dhidi ya Simba Sports Club uliokuwa uchezwe kwenye dimba...
View ArticleMCHEZO WA STAND UNTD DHIDI YA MTIBWA SUGAR WAVUNJIKA DKK YA 37 STAND...
Mwenyekiti wa Chama cha soka mkoa wa Shinyanga Benesta Lugola akizungumza kuhusu kuahirishwa kwa mchezo wa leo kati ya Stand United na Mtibwa Sugar kufuatia mvua kubwa kunyesha mjini Shinyanga na...
View ArticleWAZIRI MHE. BERNARD MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE PAMOJA SERIKALI
Ā Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...
View ArticleYAMOTO BAND WATINGA RADIO KASIBANTE 88.5 FM BUKOBA TAYARI KWA SHOW YAO
Na Faustine Ruta, BukobaKundi zima la Yamoto Band punde walitinga Katika Kituo cha Radio Kasibante 88.5 Bukoba kuongea moja kwa moja na Wakaazi wa Bukoba juu ya Shoo ya yao inayotarajiwa kufanyika...
View ArticleSTAND UNITED YATAFUNA MIWA YA SHAMBA LA MANUNGU NA UPANDE WA PILI SIMBA YAUA
Leo asubuhi mchezo wa kiporo uliozikutanisha timu za Stand United dhidi ya Mtibwa Sugar bao lililofungwa jana na Haruna Chanongo kabla ya mchezo kuvunjika na kuahirishwa kutokana na mvua iliyonyesha...
View ArticleWATANZANIA WATAKIWA KUWASAIDIA WATU WASIOJIWEZA KATIKA JAMII
Ā Waziri Membe akizungumaza wakati wa ziara yake kituoni hapo. Kulia ni Mama Dorcas Membe. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda akifuatiwa na Padri Timoth Maganga wa Kanisa...
View Article"BUSARA YA MADIBA NI FUNZO KWA WANAHARAKATI NA WANASIASA WETU"
"BUSARA YA MADIBA NI FUNZO KWA WANAHARAKATI NA WANASIASA WETU".Historia haina uchoyo na mawazo kwa kila mwanadamu aliyejitosa kutengeneza historia.NELSON MANDELA ni miongoni mwa wanahistoria waliowahi...
View ArticleTUJIFUNZE KIDOGO: "SOMO LA VIRUS PART ONE
VIRUS ZA KOMPYUTA NA ATHARI ZAKE.VIRUSI NINI?Ni programu haramu yenye uwezo wa kujisambaa ndani ya kompyuta na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya kazi mle.Ikisambaa inaathiri...
View Article