KITENDAWILI CHA NANI ZAIDI KATI YA WATANI WA JADI WAHAYA NA WAJALUO...
BOFYA PLAY KUJUA MPANGO MZIMA.
View ArticleMUDY MATUMLA MCHINA KUPAMBANA LEO IJUMAA DIAMOND JUBILEE
Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee.Bondia Wang...
View ArticlePICHA ZA HAPA NA PALE TOKA MAJINI ZIWA VICTORIA MWANZA
Rock City... Melikebu.Soko kuu la biashara la kimataifa Mwaloni Kirumba Mwanza.Bandari ya Mwaloni kwa Kitano.Kutoka majini hadi eneo la kitongoji cha Nela na Isamilo kwa mbaaaali.Usafirishaji wa bia...
View ArticleMTATURU AWASHUKIA VIONGOZI WA CCM NA WATENDAJI WA SERIKALI . MTATURU...
Miraji Mtaturu.NA PETER FABIAN, SENGEREMA.VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wametakiwa kuacha ubinafsi, rushwa na makundi, ndani ya Chama ili wananchi waendelee...
View ArticleUVCCM YAMCHARUKIA WAZIRI NYALANDU
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM Bw. Sixtus Mapunda akiongea na waandishi wa Habari(Hawapo pichani) wakati wa kutoa tamko juu ya msimamo wa Umoja huo wa kumtaka Waziri wa Mali asili na Utalii Bw....
View ArticleWANANCHI ARUMERU WAVAMIA SHAMBA LA MWEKEZAJI LA KARAMU ESTATE.
Baaadhi ya mabango yaliyokutwa katika Karamu lililopo kijiji cha Nndatu wilayani Arumeru baada ya wananchi kuvamia shamaba hilo usiku wa manane na kuamua kuotesha migomba.Mbunge wa Jimbo la Arumeru...
View ArticleWALIMU WANAKWENDA KUJISAIDIA VICHAKANI KUTOKANA NA KUTOKUWA NA VYOO VYAO...
VICTOR MASANGU, KISARAWE PWANIWALIMU wa shule ya msingi Mafizi iliyopo Wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani wapo hatarini kupoteza maisha kutoka na vyoo walivyokuwa wanavitumia kutitia vyote kutokana na...
View ArticleTAIFA STARS TAYARI KUIKABILI MALAWI KESHO DIMBA LA CCM KIRUMBA MWANZA
Wakiongea na vyombo vya habari hii leo jijini Mwanza, kutoka kushoto ni Daktari wa timu ya Taifa ya Tanzania Dr. Billy Haonga, Afisa Habari wa TFF Baraka Kizuguto, Kocha msaidizi wa Stars Salum...
View ArticleFULL TIME: TAIFA STARS 1 vs 1 MALAWI, MBWAN ALLY SAMATTA AIOKOA STARS CCM...
Pongezi kwa Samatta Ally Mbwana.SIKILIZA TAARIFA TOKA UWANJANITaswira Viongozi na Timu zote mbili wakati wa dakika chache kumbuka Kiongozi wa mpira Aliyekuwayetangulia mbele ya haki kocha wa zamani wa...
View ArticleRAIS WA ZIMBABWE ROBERT MUGABE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA KIMATAIFA WA VIONGOZI...
Rais wa Zimbabwe Mhe. Robert Mugabe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) alipowasili katika ukumbi wa (Tanzania Convention Centre) uliopo ndani ya hoteli ya kitalii ya Ngurdoto Mt. Lodge...
View ArticleAIRTEL YAKARABATI DARASA SHULE YA MSINGI USHINDI
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), akizungumza kabla ya kukabidhi Darasa la Chekechea lililokarabatiwa kwa udhamini wa Wafanyakazi wa Airtel, kama sehemu ya huduma kwa...
View ArticleTUME YA MIPANGO YAPONGEZWA KWA UFANISI
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo akihutubia wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, ambapo alionesha kuridhishwa na viongozi na wafanyakazi wa Ofisi hiyo kwa...
View ArticleJENGO LAPOROMOKA MWANZA NA KUFUKIA WAJENGAJI WAKE
Hapa ndipo ilipotokea ajali, ni kando ya ghorofa hiyo ndefu wakiwa wanaanza ujenzi wa ghorofa nyingine ukuta ukaanguka na kuwaponda wafanyakazi waliokuwa wakihusika na kujenga msingi wa ghorofa jipya...
View ArticleKATIBU WA CCM MKOA WA MWANZA, MTATURU ALILIA UCHELEWESHAJI WA FEDHA ZA UJENZI...
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu (kushoto) akipata maelezo ya mradi wa maji safi wa Sengerema katika chanzo kilichopo Kijiji cha Nyamazugo kutoka kwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya...
View ArticleZAMA HIZI USISHANGAE KULA NYAMA TAMU TBL WANAFANYA YAO.
Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Kilwa Road jijini Dar es Salaam, Lucas Mgaya (wapilikushoto) akimkabidhi kikombe mchoma nyama mkuu wa Bar Chamanzi, Shaban Seif mara baada ya kuibuka mabingwa katika...
View ArticleMKANDARASI ACHELEWESHA MRADI WA MAJI SAFI JIMBO LA BUCHOSA WA BILIONI 1.6...
NA PETERFABIAN, BUCHOSA (SENGEREMA).NAIBU Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba na KATIBU wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu, wamempa muda wa wiki tatu, Mkandarasi anayetekeleza mradi wa...
View ArticleWATEJA WA SELCOM KUJINYAKULIA TSH 100,000 KILA SIKU
Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya uzinduzi wa promosheni ya 'Shinda na Selcom' inayomwezesha mtumiaji wa...
View Article