KATIBU WA CCM MTATURU WASALITI WA CCM WASISHIRIKI VIKAO NA WAFUKUZWE
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Miraj Mtaturu (wa pili kutoka kuchoto) akisalimiana na Kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ukerewe, Ally Mambile (wa kwanza kushoto) baada ya kuwasili kuanza ziara ya...
View ArticleDONDOO KWA ALIYOSEMA WARIOBA KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 ITV LEO.
Dk 45 ITV with Warioba"Bungeni wanalalamika fedha chafu... Kipindi cha Uchaguzi wanakuja na fedha nyingi tu, hivi hizi fedha zote ni safi?" Ukipata uongozi kwa kutumia fedha, kuchafuana, huwezi kupata...
View ArticleBONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA AWASILI KUMKABILI MUDY MATUMLA IJUMAA
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius...
View ArticleWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI WALIOKUWA WANAKAA CHINI WAPATIWA MADAWATI
VICTOR MASANGU, KISARAWE PWANI WANAFUNZI wa shule ya msingi mafizi iliyopo Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani waliokuwa wanakabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya kukaa chini kwa muda mrefu kutokana na...
View ArticlePICHA YA LEO.
Tumekwisha sikia mashauri mbalimbali yakirindima toka pande na pande yakihusu kesi tofauti tofauti za watu kushitakiwa kuwatendea sivyo wanyama hata ndege, iwe ni katika jinsi ya kuwafuga,...
View ArticleWACHOMA NYAMA DAR WAPEWA MAFUNZO.
Wachoma Nyama Dar wapewa mafunzo.Na Mwandishi Wetu.ZAIDI ya wachoma Nyama na wamiliki wa Bar 143 wa Temeke, Ilala na Kinondoni jijini Dar es Salaam wamepewa mafunzo ya uchomaji nyama ikiwa ni sehemu ya...
View ArticleAMBASADA LU YOUQING NA MHE .MASELE WAZUNGUMZA JUU YA MKUTANO WA JUKWAA LA...
Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Youqing (kulia) akiwa na Naibu waziri Ofisi ya makamu wa rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele ambao wamekutana leo kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa viongozi...
View ArticleSTARS YATUA MWANZA TAYARI KUIKABILI MALAWI KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI WA...
NA ALBERT G. SENGO: MWANZATimu ya soka ya Tanzania Taifa Stars tayari imewasili jijini Mwanza kwa mchezo wake wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya Malawi.Stars imetinga jijini humo ikiwa na...
View ArticleBONZ FT JUX - MY ANGEL
Kutoka Rock City 'Mwanza' Hip hop artist anayekwenda kwa jina la Bonz anamshirikisha mkali wa R&B nchini Jux kupika mpini unaoitwa My Angel.Mapishi yakifanyika katika studio za Am Records jijini...
View ArticleKILUVYA UNITED ‘WABISHI WA PWANI’ WAKWEA LIGI DARAJA LA KWANZA
Na Victor Masangu, Dar es Salaam, Tanzania TIMU ya soka ya Kiluvya united yenye maskani yake ya kujidai Kiluvya kwa Komba Mkoa wa Pwani imeweza kutawazwa mabingwa wapya wa kivumbi cha ligi daraja la...
View ArticleBASATA YAMKABIDHI BENDERA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC
Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Nsao Shalua (kushoto), akikabidhi bendera ya taifa kwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi kwa ajili ya...
View ArticleFM ACADEMIA 'WAZEE WA GWASUMA KUWASHA MTO WILAYANI HAI KATIKA UZINDUZI WA...
Na Woinde Shizza,ArushaBendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma wanatarajiwa kuwasha moto ndani ya ukumbi mpya wa kisasa ujulikanao kwa jina la Flomena uliopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro usiku...
View ArticleNYUMBANI KWA MSEKWA NI FULL UTALII
Nyumbani kwa Spika mstaafu wa bunge la Tanzania wa Serikali ya awamu ya tatu Mhe. Pius Msekwa anayeishi wilayani Ukerewe, pamepambwa na maadhari ya kiasili, huku michoro na sanamu za wanyama mbalimbali...
View ArticleFAINALI YA SAFARI NYAMA CHOMA KUPIGWA DAR.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Toleo la LeoSAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015“DAR ONE”.Dar es Salaam, Jumanne24 Machi2015: Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia...
View ArticleASKARI WAWILI WATIWA MBARONI SIMIYU: NI KWA KUKUTWA NA NOTI BANDIA 192
SIMIYU:Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linawashikilia askari wawili wa Jeshi la Magereza na Polisi kwa kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).Akizungumza na...
View ArticleTASWA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO 'SUPER D' AKIWEMO NDANI
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa...
View ArticleMADHEHEBU YA KIKATORIKI YAASWA KUTOWAGAWA WATANZANIA KWA MISINGI YA KIDINI.
NA PETER FABIAN, NANSIO.WANANCHI na waumini wa madhehebu ya Kikristo mkoani Mwanza wametakiwa kutafakari kwa umakini waraka wa maaskofu na wachungaji unaosambazwa katika makanisa na matamko ya viongozi...
View ArticleJEMBE FM MWANZA YAPEWA LESENI.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi leseni kwa redio ya Jembe FM ya jijini Mwanza kwenye ofisi za makao makuu ya...
View ArticleTAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI...
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo...
View ArticleWAKAZI ZAIDI 48,100 WAKOSA MAJI SAFI NA SALAMA KWA UZEMBE WA HALMASHAURI...
NA PETER FABIAN, NANSIO.HALMASHAURIimeshindwa kunua luku ya umeme kwa ajiri ya kuendeshwea mtambo wa kusukuma maji safi na salama na kusababisha wananchina wakazi wa mji wa Nansio wilayani Ukerewe...
View Article