Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA WASANII 260 WAJITOKEZA KUWANIA NAFASI KUTUMBUIZA JUKWAA LA JEMBEKA...

Kuelekea Show ya Uzinduzi wa Jembe Fm Radio ya Jijini Mwanza unaotarajia kufanyika May 23 mwaka huu katika Uwanja wa CCM Kirumba, zaidi ya Wasanii 260 ambao wanafanya style tofauti tofauti za muziki...

View Article


SAFARI ZA RAIS KIKWETE ZAOKOA ZAIDI YA DOLA LAKI MOJA ZA KIMAREKANI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO

 Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe mwelimishaji wa Chama cha Mapinduzi  (CCM) na Mwenyekiti wa Wzazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAAGIZA RC, MULONGO, AMSHUGHULIKIE ALIYEKULA FEDHA ZA WANANCHI WA MTAA WA...

Katibu wa Mkoa wa Chama hicho, Miraji Mtaturu katika moja ya mikutano yake. NA PETER FABIAN, MWANZA.CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, kimemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU MGANGA MKUU MWANZA (RMO) ATAKA SHIRIKA LA ICAP TANZANIA KUDHIBITI...

Meneja Mradi wa Shirika la ICAP Tanzania Mkoa wa Mwanza, Aziz Itaki, akitoa mada kwenye warsha ya siku moja ya jana jijini Mwanza, kwa wadau wa baadhi ya Taasisi za serikali na kutoka makundi maalumu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEMBEKA FESTIVAL TUKIO LINALOSUBIRIWA KWA HAMU NA WAKAZI WA MWANZA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONDIA ADAM NGANGE WA CHANIKA AMSAMBALATISHA IDDI PIALALI WA BAGAMOYO

 Mabondia Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam kushoto  na Iddi Pialali wa Bagamoyo Mkoa wa Pwani wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE KWIMBA AMLIPUA DIWANI KUTOFANYA VIKAO VYA MAENDELEO KWENYE KATA

Mbunge wa Jimbo la Kwimba, Shanif Mansoor, akipampu maji safi kwenye moja ya kisima alichofadhili katika Kijiji cha Mwankurwe kilichogharimu kiasi cha shilingi milioni nne na kumaliza kero ya muda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA NCHINI CHINA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya China 'Expo Central China 2015',...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NKURUNZIZA AWATIMUA MAWAZIRI WAKE WATATU.

HISANI YA BBC SWAHILI.Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.Mawaziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SELCOM YAWEZESHA MALIPO YA PANGO YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) KWA NJIA...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akimuonyesha mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika katika...

View Article

TIMU YA TANITA VETERAN YAIBUKA NA UBINGWA MICHUANO YA KOMBO LA KOKA CUP KIBAHA

NA VICTOR MASANGU, KIBAHA TIMU ya soka ya Veterani imeweza kuibuka na ubingwa baada ya kuichapa timu ya Phat fam fc kwa mabao 2-1 katika mchezo wa fainali wa michuano ya kombe la Koka Cup kwenye uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAENDELEO

  Diwani wa Soko la Tazara Vetenary Zahoro Maganga akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipotembelea maeneo yaliyoharibiwa  na mvua akiongozana na  viongozi wa Wakala wa Serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI MWANZA KUMUAGA KAMANDA VALENTINO KWA BONANZA LA SOKA

Aboubakari Zebo.NA: ALBERT G. SENGO: MWANZAIli kuhakikisha kuwa fursa zilizopo katika Michezo nchini zinatumika vyema Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limeandaa Bonanza la Soka lenye lengo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBEYA WEZESHWA.

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Deodatus Kinawilo akimkabidhi sehemu ya mashine ya kutobolea vyuma mmoja wa wajasiliamali, Adili Kayuni katika program ya Safari lager wenyeshwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA YA KUWAOMBEA WALIOPOTEZA MAISHA AJALI YA MV BUKOBA KUFANYIKA KESHO...

MISA ya kuwaombea watu waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya Mv Bukoba iliyotokea mnamo tarehe 21 Mei 1996 na kuua mamia ya watu na mali zao inatarajiwa kufanyika kesho alhamisi ya tarehe 21 Mei...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPINDUPINDU TISHIO KAMBI YA WAKIMBIZI WA BURUNDI NYARUGUSU, OXFAM YATOA...

 Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma  Wakimbizi kutoka Burundi wakisubiri huduma mbalimbali za kijamii Mmoja wa wakimbizi akiwa anapata matibabu Hapa watoto wa wakimbizi wakijipikia Chakula ,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOWA MADAWATI 270 KWA SEKONDARI ZA...

 Baadhi ya madawati 270 yaliyonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa Shule za Sekondari zilizopo Jimboni kwake ambapo madawati 100 yalikwisha chukuliwa kupelekea jumla ya madawati 300 yenye jumla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEMBEKA FESTIVAL NI JUMAMOSI HII UMEJIANDAAJE!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEGATRADE INVESTMENT LTD YA JIJINI ARUSHA YAWABEBA KILIMANJRO FC INAYOSHORIKI...

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya jijini A rusha ,kanda ya Kaskazini ,Edmund Rutaraka akikabidhi hundi ya kiasi cha sh Mil ,1.5 kwa mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>