MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU, NCHINI CHINA,...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili kwenye Ukumbi Maalum kwa watu wa China. 'Peoples...
View ArticleBALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA...
Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza. Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na...
View ArticleKAMPUNI YA BONITE BOTTLERS YAMWAGA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOSHI...
Meneja mwajiri wa kampuni ya Bonite Bottlers ,Joyce Sengoda akiwasalimia wananchi katika vijiji vya Mikocheni ,Kilungu na Chemchem vilivyofikwa na mafuriko hivi karibuni wakati uongozi wa kampuni hiyo...
View ArticleUBOVU WA BARABARA WAWAKOSESHA RAHA WATALII WA NDANI KATIKA HIFADHI YA TAIFA...
Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara .Baadhi ya watalii...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAREJESHA RATIBA YAKE YA BURUDANI KILA IJUMAA, SASA NI KIOTA...
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani).Ashura Kitenge mwenye sauti ya kumtoa nyoka panoni akiimba kwa hisia kali huku akisindikizwa...
View ArticleUMISETA JIJINI MWANZA.
HOTUBA YA KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MWANZA WAKATI WA KUFUNGUA MASHINDANO YA NGAZI YA MKOA YA MICHEZO YA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA (UMISSETA) NSUMBA SEKONDARI TAREHE 23 MEI, 2015Awali ya yote...
View ArticleSTORY NA PICHA ZA MBUNGE WA JIMBO LA KIBAHA AKIKABIDHI ZAWADI KWA MABINGWA WA...
Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka kushoto akimkabidhi kitata cha shilingi laki tatu naodha wa timu ya Kongowe FC Frank Hashimu mara baada ya kutawazwa bingwa katika michuano ya koka cup...
View ArticleMANDHARI MWANANA YAWAVUTIA WATALII WA NDANI HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA...
Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa katika gari kuelekea kilele cha Shira katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro.Kundi la Pili la watalii wa ndani wakiwa katika eneo la uwanda wa Shira mara baada ya kufika...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA- MWANZA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIATAARIFA KWA UMMAKUHUSU KAMPENI YA UGAWAJI WA DAWA ZA KUKINGA NA KUTIBU MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE KATIKA MKOA WA MWANZANdugu Wananchi,Magonjwa yaliyokuwa...
View Article“YENU BAA” YAIBUKA KIDEDEA SHINDANO LA FANYAKWELI KIWANJANI
Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Ubaoni kinachorushwa na redio Efm Bw. Seth Katende, (Kulia) akimzawadia Alex Minja (katikati) zawadi ya Tisheti kurudisha shukrani kwa wapenzi wa bia ya Tusker...
View ArticleKIPINDI CHA MBONI SHOW CHAAZIMISHA MIAKA MITATU KWA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA...
Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi Mkuu wa Idara ya Uzazi na Magonjwa ya Akina mama wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dokta Mathew Kallaga (aliyepokea kwa niaba ya uongozi) vifaa...
View ArticleTANESCO PWANI YAWANASA WEZI WA UMEME WASABABISHA HASARA YA SHILINGI MILIONI 12
NA VICTOR MASANGU, PWANI SHIRIKA la ugavi wa umeme Tanesco Mkoa wa Pwani limepata hasara ya kiasi cha shilingi zaidi ya milioni 12 kutokana na baadhi ya wateja wake nane kuhujumu miundombinu yake...
View ArticleMJUMBE WA HALMASHAURI KUU CHADEMA ,JAFARY MICHAEL AFUNGUA MATAWI MAPYA MOSHI
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema na meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi katika kata ya Longuo mjini Moshi.Ofisi mpya ya Chama cha Demokrasia na...
View ArticleWAJASILIAMALI 10 KANDA YA ZIWA WAWEZESHWA NA SAFARI LAGER.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Baraka Konisaga(wa pili kushoto) akimkabidhi mjasiliamali Jenereta wakati wa hafla ya kukabidhi Ruzuku kwa wajasiliamali 10 wa Kanda ziwa katika Programu...
View ArticlePICHA ZA AWALI TAMASHA KUBWA LA BURUDANI 'JEMBEKA FESTIVAL 2015 OYOMBA...
Mmoja wa wasanii washindani wa Mkali Jembeka akionesha ufundi wake katika hip hop kwenye fainali ndani ya Tamasha kubwa la burudani 'JEMBEKA FESTIVAL' lililozinduliwa Jumamosi ya tarehe 23/05/2015...
View ArticleUZINDUZI WA MAJI YA DASANI KATIKA MUONEKANO MPYA
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka akitoa taarifa ya uzinduzi wa Dasani mwonekano mpya mbele ya wanahabari na wananchi waliofurika katika viwanja vya nje ya lango kuu la kampuni...
View Article