Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARNABA AONGOZA KWA KAZI NZURI MWAKA 2015

Barnaba ameingia katika list ya wasanii wakubwa  walioshiriki katika kazi za wasanii wengine na ndiye msanii anayeongoza kusaidia wasanii wanaochipukia katika muziki wa Bongo Fleva kwa mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MARIAN BAGAMOYO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Pengo,  kwa pamoja wakikata utepe kuzindua Chuo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA (Mb) KWENYE MKUTANO WAKUTANGAZA NIA YA...

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ahutubia wananchi kwenye Mkutano wa hadhara, wakati akitangaza nia yake ya kuwania Urais wa Awamu wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI ZA WALIOTANGAZA NIA

Safari hii kuna changamoto ya kutosha, angalia haya na utauona ukweli mbele ya safari,- Kuna wanaojitangaza sasa ili kujiandaa kwa miaka ijayo,kuna wanaoamini sasa ni muda wao kuongoza,kuna waoona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

18 KUPATIKANA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 MCHUJO WAANZA RASMI...

Muwakilishi wa Mgeni Rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa TBS Joseph Masikitiko  katika Hafla ya maamuzi ya fomu za shindano la mamashujaa wa Chakula Bi. Stella E. Mrosso wa kwanza kushoto, wa pili kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE

 Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Heri ya Kuzaliwa mwanakijiji Josephat Lukaza..Feliz cumplea単os Josephat Lukaza

Mwanakijiji Josephat LukazaTunapenda Kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kufikisha Miaka kadhaa ya kuzaliwa kwako na ukiwa sehemu ya wanakijiji wa digitali hapa duniani.Tunachukua nafasi hii kumuomba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA MJUMBE WA HALIMASHAURI KUU CCM VYUO VIKUU YALIVYOKUWA JIJINI MWANZA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIYO KAMATI KUU (CC) YA CCM ITAKAYOPITISHA MAJINA MATANO YA WAGOMBEA...

Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Dr. Ally Mohamed Shein 3. Phillip...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA UTT-PID CHINI YA WIZARA YA FEDHA YAPANUA BARABARA ENEO LA MRADI WA...

 Muonekano wa viwanja vya Mabano vilivyopimwa na Taasisi ya UTT-PID kwa ushirikiano na Halmashauri vilivyopo Manispaa ya Lindi.Baada ya kupima na kufanikiwa kuuza viwanja zaidi ya 2,500 katika fukwe za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA MKE WA MBUNGE AKIMKABIDHI NAHODHA WA TIMU YA VINYOZI FC BAADA YA...

Mke wa mbunge wa jimbo la Kibaha mjini mama Selina Koka wa katikati akimkabidhi zawadi ya  kitita cha shilingi laki tatu naodha wa timu ya soka ya Vinyozi FC Kaiko Kantimbo wa kulia baada ya kuibuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBIO ZA URAIS: LEO NI ZAMU YA PROFESA MUHONGO

Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake...

View Article

MAKONGORO: NAOMBA KIBALI NIIOKOE CCM DHIDI YA RUSHWA

CHANZO: GAZETI LA MWANANCHIMTOTO wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Charles Makongoro, ametangaza nia ya kuwania urais, akisema anaomba kibali kuisaidia CCM iache rushwa, kuparaganyika na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU WA CCM MKOA WA MWANZA ATINGA VISIWA VYA ZIWA VICTORIA

 KATIBU wa CCM Mkoa wa Mwanza akiwa safarini kuelekea visiwa vya Kwelu, Ilugwa na kisha Ukara kufanya mikutano yahadhara na wananchi wa maeneo ya huko, Ilugwa na Kwelu havijawahi kufikiwa na kiongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ZIARANI FINLAND

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyoRais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuangano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Kiondo, wakati alipofika na ujumbe wake Ofisini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA MUHONGO: "MWENYE UWEZO WA KUIKWAMUA TANZANIA NI MIMI"

Profesa Muhongo: Mwenye uwezo wa kuikwamua Tanzania ni mimi*Atangaza nia kwa kutoa takwimu za umasikini na utajiri*Asema viwanda, gesi, umeme utaipaisha TanzaniaNA MWANDISHI WETU, MUSOMAWAZIRI wa...

View Article


DR. KAMANI: "UTAWALA BORA HAIMAANISHI KUWA LEGELEGE"

DR. KAMANI: "TUNAHITAJI SERIKALI YENYE NGUVU ILI KUSHINDANA NA KASI YA MAENDELEO DUNIANI" Asema hayo wakati akitangaza nia kugombea Urais kupitia CCMDR. KAMANI: "UTAWALA BORA HAIMAANISHI KUWA LEGELEGE"...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIYO SUPRISE KWA FAMILIA YA WAYNE ROONEY.

A surprise meeting for Wayne Rooney and family in the waters around the BahamasBest of social mediaWayne Rooney huwa ana utaratibu wake wa kutundika mitandaoni picha za kumbukumbu alizopiga akiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA(TANAPA) KUPITIA UJIRANI MWEMA WAKABIDHI MRADI WA...

Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro,Leonidas Gama akikaribishwa na Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA)Erastus Rufungulo katika makabidhiano ya mradi wa maji wa ujirani Mwema uliotolewa...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>