KONGAMANO LA KWANZA LA WANAWAKE WAFANYABIASHARA SOKONI TANZANIA LAFANYIKA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika Equality for  Growth (EfG), JaneMagigita akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo Dar es salaam leo.Ofisa Programu Dawati...
View ArticlePSPF WAKABIDHI MSAADA KWA WANANCHI WA JIMBO LA CHUMBUNI ZANZIBAR
 Ofisa wa Mfuko wa Pensheni PSPF Tawi la Zanzibar Hazina Konde akimkabidhi msaada wa Magogoro Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ame Perera kwa ajili ya Wananchi waliopata maafa ya mvua na...
View ArticleMH SITTA APEWA CHEO CHA MWIZUKULU MKULU WA UNYANYEMBE!
Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira akimtambikia Mh Samuel Sitta ambaye ni binamu yake.Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira leo hii asubuhi alimpa cheo cha Mwizukulu mkulu Mh Samuel...
View ArticleJEH UMESHAMPATA RAIS WAKO?
KESHO Jumatano ya tarehe 4/06/2015 majira ya saa 10:00 asubuhi, ni siku ya kipekee kwa vijana kupata mwakilishi wao katika kinyang'anyiro cha kutangaza nia ya kugombea Urais kupitia CCM ambapo katika...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEONIDAS GAMA AKABIDHIWA MRADI WA UJENZI WA...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Rombo mara baada ya kuwasili katika shule ya sekondari Olele iliyopo kata ya Olele kwa ajili ya kukabidhi Mradi wa...
View ArticleHUYU HAPA NGELEJA: HOTUBA YAKE YAJIBU MASWALI MENGI YA WANANCHI
PUNDE PICHA NA VIDEO ZATINGA HAPA Mbio Za Uraisi Mbunge wa Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi...
View ArticleTANAPA BEGA KWA BEGA NA SERIKALI ILI KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI
Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana...
View ArticleMSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM ULIPOTINGA WILAYANI KAHAMA JANA USIKU TAYARI...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na kamati ya Ulinzi na Usalama usiku huu ndani ya wilaya Kahama mkoani Shinyanga tayari kwa mapumziko,ambapo kesho...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAENDELEA KUUNGURUMA NDANI YA KIOTA KIPYA CHA LUKAS PUB MASAKI,...
Ilikuwa noma sana siku ya Ijumaa iliyopita maana ilikuwa sio ya kupitwa basi mchuke na ndugu, jamaa au rafiki yako leo uje kuona vitu vitamu kutoka kwenye Bendi ya SkylightMeneja wa Skylight Band Aneth...
View ArticleMBILINYI NA MUNDI KUZITWANGA KESHO UWANJA WA NDANI WA TAIFA
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana misuli na Said Mundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpaqmbano wao wa kesho jumamosi utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI,...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja Vya...
View ArticleRITA YAZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA
 Ofisa Uhusiano wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Jafarri Malema (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa gazeti la Jambo Leo (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu shughuli...
View ArticleREDD'S ORIGINAL SASA KATIKA MWONEKANO MPYA.
Meneja wa Makao Makuu ya Kiwanda cha Bia Tanzania(TBL), Calvin Martin na Meneja wa Kinywaji cha Redd’s Original, Victoria Kimaro wakionyecha muonekano mpya wa kinywaji cha Redd’s Original wakati wa...
View ArticleWANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA...
 Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII,MOHAMED MGIMWA AFUNGUA MAONESHO YA...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Moshi Club kwa ajili ya kufungua rasmi maonesho ya kimatifa ya Kitalii...
View ArticleGULIO LA KITEKNOLOJIA.
Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Gulio la Airtel na Huawei Smartphone lililofanyika Mlimani City wikiendi hii. Gulio linalomuwezesha...
View ArticleWAZIRI MEMBE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS - LINDI LEO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati akitangaza nia...
View ArticleWASAKA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUMEPAMBAZUKA.
Mashabiki wa timu ya Stand Unated wakiwazihaki wenzao wa Halisi FC baada ya kuwafunga kwa kubeba jeneza na msalaba wake.Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Wakili Elias Nawera...
View Article