Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WILAYANI KAHAMA WAMEASWA KULIMA ZAO LA ARIZETI

WAKULIMA wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameaswa kulima  mazao yanayovumilia ukame mfano zao la Arizeti katika kipindi hiki cha mabadiliko ya hali ya hewa kilimo ambacho kitakachowasaidia kujikwamua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA YALAANI MAUWAJI YALIYOFANYWA NA MFANYABIASHARA. J4.

Na: Afisa habari- Mwanza.Serikali mkoani Mwanza imelaani mauwaji yaliyofanywa na mfanyabiashara maarufu jijini humo Jumanne Mahende(J4) hivi karibuni katika eneo la Nyakato Sokoni katika Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU MOJA KABLA YA EID EL FITRI MZIGO WA LEO NDANI YA JEMBE BEACH

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWETU HOUSE 2015 MSIMU WA PILI YATUA JIJINI MWANZA KUSAKA VIPAJI KWA...

Team ya Kwetu House 2015 Msimu wa Pili wakiwa Studio za Jembe FM 93.7 Mwanza Mara Baada ya Mahojiano kuhusiana na KWETU HOUSE 2015 Kwa Jiji la MwanzaMsimu wa pili wa Kwetu House  - “kwetu house, kipaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EDD MUBARAK TO ALL MY MUSLIM FRIENDS AND FAMILY.

Salamu salaam toka GSENGO BLOG kwenda kwa wadau wote ndani na nje ya nchi.EID Mubarak tusherehekee kwa amani.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DADA ANTU MANDOZA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUM,VIJANA -...

Mgombea Ubunge Viti Maalum Vijana Bukoba Bi. Antu Mandoza(Kulia) akirejesha Fomu ya Kuomba Ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge wa Viti maalum Vijana Bukoba katika ofisi za umoja huo Mjini Bukoba, ahaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATNUMZ KUINOGESHA MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia waumini wa dini ya Kisslamu wakati wa swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA MAGUFULI YAVUNJA REKODI YA CCM MWANZA.

Dkt John Pombe Magufuli akiwasili jijini Mwanza na makaribisho ya wana CCM wakiongonzwa na Mwenyekiti wa mkoa Anthony Dialo (kushoto mwenye mbele mwenye shati la kijani)Msafara ukitoka Airport...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS : MV KIGAMBONI LAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI.

Wananchi wakilitazama  Mv. Kigamboni baada ya  kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari  baada ya kutaka kushusha Abiria na magari upande wa Kigamboni Baada ya kupakia Abiria na magari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE KRANTZ MWANTEPELE

Leo tarehe 19 July ni siku ya kuzaliwa Mwanalibeneke la blogu  Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurungezi Mtendaji wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA pia Mkurungezi Mtendaji wa KAJO ITECH kwa  niaba ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AWAPA RAHA WANA WA AFRIKA MASHARIKI TUZO ZA MTV MAMA 2015.

Diamond Platnumz amechukua Tuzo ya Best Live Act ambayo ilikua ikishindaniwa na wasanii wengine wa Nigeria Mr Flour, Mikasa, Big Nuz na Too fan.Diamond Platnumz amechukua Tuzo ya Best Live Act ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE ,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA...

  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHATI YA WASHINDI WA 2015 KATIKA MTV Africa Music Awards

Stars of the African and international music industry went out in force last night in KwaZulu-Natal for the fifth uplifting edition of the MTV Africa Music Awards. MAMA 2015 brought the continent...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA WA AFRIKA KUSINI WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA...

Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufunguro akimpokea muigizaji maarufu wa filamu wa nchini Afrka Kusini,Jacky Devnarain maarufu kama Rajesh Kumar ,jina alilotumia katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJAMBAZI WALIOTEKA KITUO CHA POLISI STAKI SHARI WATIWA MBARONI NA WATATU...

Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akionyesha baadhi ya bunduki zilizoporwa katika kituo cha polisi cha sitaki shari leo. Baadhi ya Bunduki zilizo porwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS KILIMANJARO AMBASSADOR YATOA MSAADA KWA FAMILIA ZA VIJIJI VYA RAU NA ULU

 Mkurugenzi wa Shindano la Miss KiliamnjaroAmbassador,Jackline Chuwa akikabidhi msaada wa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwaudhamini wa kampuni ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO WILAYANI ARUMERU ARUSHA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha , Fidelis Lumato akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika kijiji cha Nduruma, wilayani Arumeru Mkoani Arusha ,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NASSARI ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA KIVUKO KWA AKINAMAMA BIASHARA YA NDIZI NA...

Wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa wauzaji wa Ndizi.Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA UMMA WAASWA KUWA WAADILIFU

Kaimu Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Jasper Mero (Mbele) akiingia katika ukumbi wa Kings way kufungua mafunzo ya awali (Induction course) kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live