ALIYETANGAZWA KUKIHAMA CHAMA CHA MAPINDUZI WAKATI WA UJIO WA LOWASSA, APEWA...
 MARA baada ya Cha cha mapinduzi CCM kuzinduliwa kampeni zake za uchaguzi kitaifa ndani ya jiji la Dar es salaam viwanja vya Jangwani, mbio za kampeni sasa zinaendelea kwenye mikoa mbalimbali hapa...
View ArticleFIRST NATIONAL BANK (FNB) YAFUNGUA TAWI MBEZI BEACH JIJINI DAR
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam huku akiambatana na Balozi wa Heshima wa...
View ArticleMGODI WA BUZWAGI WAZINDUA LIGI YA MAHUSIANO-KAHAMA
Baadhi ya Maafisa kutoka Mgodi wa Buzwagi wakifatilia mashindano hayo wakati wa ufunguzi, kutoka kushoto ni Bwana, Jamal Rwambol, (Security Operations Section Leader),George Mkanza-(Sustainability...
View ArticleCHAGUA TIGO PESA.
 Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi katika uzinduzi wa kampeni ya  Chagua Tigo Pesa,...
View ArticleVIJANA MTWARA WAENDELEA KUWEZESHWA KUPITIA Airtel FURSA
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kushoto), akimkabidhi kijana Prisca George Chilumba, msaada wa vifaa mbali mbali vya saluni ya wanawake kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa...
View ArticleALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, LAWRENCE MASHA ASWEKWA NDANI.
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kutoa lugha ya matusi kwa maofisa wa polisi hapo...
View ArticleCCM MWANZA WAZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI UCHAGUZI MKUU KIMKOA.
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Mwanza leo Agost 26, 2015 Kimezindua Rasmi harakati zake za Kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Octoba 25 kwa ajili ya Kuwapata Viongozi katika nafasi za...
View ArticleMLIPUKO WA JENERETA WASABABISHA MALORI YA MAFUTA KUWAKA MOTO JIJINI MWANZA.
PICHA NA HABARI HIVI PUNDE.....VUTA SUBRA
View ArticleMAGUFULI ALIVYOITIKISA WILAYA YA MOMBA,TUNDUMA NA ILEJE JANA
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi...
View ArticleZAHARA MUHIDIN MICHUZI KURA HAZIKUTOSHA DHIDI YA IRENE UWOYA TABORA.
Zahara Muhidin Michuzi akiwa nje ya ukumbi wa uchaguzi leo mapema.Leo hii mchana binti ya mpiga picha na blogger maarufu nchini anayeambatana na rais Kikwete katika ziara zake, Muhidin Issa Michuzi Bi...
View ArticleSUPPORT YAKO KAKA INAHITAJIKA. ILIZINDULIWA JANA 26.08.2015. BINAGI MEDIA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Binagi Media Group George Marwa Binagi-GB Pazzo akionyesha Kitambulisho chake cha Kupigia Kura ikiwa ni katika Uzinduzi wa Kampeni yake ya KUHAMASISHA WATANZANIA WOTE...
View ArticleRUVU JKT ILIVYOWAKILISHA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUONYESHA...
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwasili Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Kikosi namba 832 Ruvu JKT mkoani Pwani jana kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za uzalishaji mali. Kikosi hicho...
View ArticleMAADHIMISHO YA WIKI NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA TEMEKE JIJI DAR ES...
Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya A&T Brothers Co. Ltd Abdulmalik Mollel akuzungumza na wananchi juu ya Kuzuia kabisa mwendo kasi kwa magari makubwa barabara ya kutoka bandarini...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE CCM JIMBO LA NYAMAGANA AANIKA VIPAUMBELE VYAKE KWA WANANCHI .
MGOMBEAÂ nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Nyamagana wa Chama Cha Chamapinduzi (CCM), Stanslaus Mabula, ameweka wazi viapaumbele vyake kwa wananchi wa jimbo hilo ili wamuchague Octoba 25 mwaka huu.Mabula...
View ArticleUZINDUZI WA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA RORYA NA LAMECK AIRO.
Amekuwa kiongozi wa kwanza kusimikwa uchifu kimila na hii ni ishara ya kukubalika, wananchi wa jimbo la Rorya walipata wakati mgumu kumshawishi tena kurejea na kuwatumikia. Pichani wazee wa kimila toka...
View ArticleKISA CHA REGINALD MENGI KUSAHAU KOTI JUKWAA KUU CHASIMULIWA NA MCHEZAJI WA...
**SPORTS RIPOTI** Usiku wa jana (jumatano) ndani ya Jukwaa la Wakongwe PART One Juma Amir, akisimulia mchezo wa Taifa Stars ulio sababisha mfadhili wao enzi hizo Reginald Mengi kusahau koti lake...
View ArticlePICHA ZA LOWASSA AKIHUTUBIA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA JIJINI DAR
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwasalimia baadhi ya...
View ArticleALLIANCE, MARSH MABINGWA AIRTEL RISING STARS MZA
Nahodha wa timu ya Alliance Academy Ally Hamisi (kushoto) akikabidhiwa kombe na Mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA)Bw. Jackson Songora baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa wa...
View Article