MAMA SAMIA SULUHU ALIPOTINGA DODOMA
Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika...
View ArticleBENDERA NA KADI ZA CHADEMA ZACHOMWA JIJINI MWANZA.
Baadhi ya vijana wanao muunga mkono Dr. Slaa mkoani Mwanza waandamana na huku wakichoma bendera za CHADEMA na kuchana kadi za chama hicho.Baadhi ya vijana wanao muunga mkono Dr. Slaa mkoani Mwanza...
View ArticleMZEE KHALFANI NGASA / BABA MZAZI WA MRISHO NGASA HUYU HAPA NDANI YA SPORTS...
**SPORTS RIPOTI** Kama kawaida yake siku za Jumatano na Alhamisi hukukutanisha na Jukwaa la Wakongwe PART One jana katika hiyo PART ONE nimeongea na baba wa mchezaji wa Dar es salaa Yanga Africans...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. AFUNGUA KONGAMANO LA AFRIKA KUHUSU MAKUBALIANO YA RASIMU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa...
View ArticleMWANAFUNZI WILAYANI KISARAWE MKOA WA PWA AMTOROKA MUMEO BAADA YA KUOZESHWA NA...
VICTOR MASANGU, PWANI UKATILI KWA WATOTOWAZAZI na walezi hapa nchini wametakiwa kuachana na mila zilizopitwa na wakati kwa kuwaozesha watoto wao mapema hususan wa kike  wakiwa katika umri mdogo na...
View ArticleLOWASSA ALIPOTINGA MKOANI KIGOMA.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akitembelea kuelekea kwenye Helkopta anayoitumia kwa...
View ArticleMASHEIKH 6 RAIA WA TANZANIA WALIOKUWA WAKISHIKILIWA NCHINI CONGO WAREJEA NCHINI.
Masheikh 6 raia wa Tanzania waliokuwa wakishikiliwa nchini Congo wawasili nchini huku wakieleza kilicho wasibu.
View ArticleMANSOOR SHANIF HIRANI AIMARISHA KIKOSI CHAKE KUELEKEA
Uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM jimbo la Kwimba umefanyika leo na hapa mgombea wa nafasi ya Ubunge kupitia chama hicho Mansoor Shanif Hiran akizungumza na Wajumbe, mabalozi, wenyeviti wa...
View ArticleUZINDUZI WA KAVASHA CLUB NA KITABU CHA JIFUNZE LINGALA MTUNZI TCHIMANGA ASSOSSA
Uzinduzi wa Dar Kavasha Club pamoja na uzinduzi wa kitabu cha kujifunza Kilingala utafanyika leo tarehe 05-Sep-2015 kuanzia saa 12 jioni katika ukumbi wa MRC Mikocheni, ukumbi ulio nyuma ya Shopperz...
View ArticleSITOKUWA TAYARI KUTOA MATUMAINI HEWA KWA WANANCHI AMBAYO HAYATEKELEZEKI-DKT...
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ifakara wilayani Kilombero kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati wake utakuwa wa...
View ArticleACACIA YAIDHAMINI STEND UNITED KWA KITITA CHA BILLIONI MOJA
Mwenyekiti wa stand united Amani Vicent (kushoto) akibadilishana mkataba wa udhamini wa timu hiyo na Makamu wa rais wa ACACIA anaeshugulikia masuala ya Kampuni, Deo Mwanyika mara baada ya kutiliana...
View ArticleAFCON 2017- KUNDI LA TAIFA STARS: EGYPT MOTO, YASHUSHA KISAGO UGENINI!
Jana Egypt waliitandika Chad 5-1 katika Mechi ya Kundi G la AFCON 2017 ambalo pia wamo Tanzania na Nigeria iliyochezwa huko Stade Omnisports Idriss Mahamat Ouya Mjini N'Djamena Nchini Chad. Bao za...
View ArticleUKOSEFU WA UMEME KUKUMBA MIKOA YA GRIDI.
CHANZO/HABARI LEOBAADAya kufika kwa gesi asilia jijini Dar es Salaam ikitokea Mtwara, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), itaingiza...
View ArticleJK NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAUTEKA MJI WA MOROGORO KWA MKUTANO WA...
 Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa...
View ArticleKIOTA KIPYA CHA BIASHARA MTANDAONI - MAVAZI STORE
Kampuni ya ConnectMoja Technologies Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz)  ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni. Kwa Mujibu wa...
View ArticleFM ACADEMIA WADONDOSHA SHOW YA NGUVU JIJINI MBEYA CHINI YA UDHAMINI YA...
Wanamuziki wa Bendi ya Fm Academia 'Wazee wa Ngwasuma' wakitoa burudani kwa mashabiki wao siku ya uzinduzi wa Hotel ya Mfikemo Sae jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.Picha Elvis Kimambo...
View Article