Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA MPYA YA MTANDAO MWISHO CHUMBE..?

Logo ya Zanzibar Diaspora Association (ZADIA)Na Muandishi wetu swahilivilla BlogWanadiaspora wameelezea wasiwasi wao kuwa sheria mpya ya Makosa Ya Mtandao iliyoanza kufanya kazi tarehe mosi mwezi huu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya  Mkoa wa Morogoro Dkt. Ritha Lyamuya alipokwenda kuwapa pole majeruhi walioumia katika msongamano mkubwa uliotokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFARA WA JAMES MBATIA WAISIMAISHA VUNJO

Msafara wa Pikipiki ukimsindikiza mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia chama cha NCCR-Mageuzi na UKAWA ,James Mbatia wakati wa kwenda kufanya uzinduzi wa Kampeni katika jimbo jilo.Msululu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA KAMPENI UBUNGE NYAMAGANA NA ILEMELA

Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu akiwahutubia wananchi wa Kata ya Mabatini Jimbo la Nyamagana wakati wa kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya CCM, Stanslaus Mabula na Diwani wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI MSICHAGUE RAIS, WABUNGE NA MADIWANI KWA USHABIKI

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Dialo (kulia) akiwaomba wananchi wamchague Angelina Mabula mgombea Ubunge kwa Jimbo la Ilemela ifikapo Oktoba 25 mwaka huu kwenye mkutano wa uzinduzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZOEZI LA KUGAWA CHAKULA LAENDELEA KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU...

Wakimbizi kutoka nchini Burundi  walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linalo...

View Article

MKUU WA MKOA WA PWANI AWATAKA VIJANA WALIOMALIZA MAFUNZOYA JKT KUWA WAZALENDO...

NA VICTOR MASANGU, PWANI   DATE 8 RC NA JKTMKUU wa Mkoa wa Pwani  Injinia Evarist Ndikilo amewataka vijana hapa nchini waliomaliza mafunzo ya jeshi la kujenga Taifa (JKT) kuhakikisha hawatendi mambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULIVYOKUWA UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI CCM JIMBO LA KWIMBA.

Video ya tukio kwa ufupi.Mkuu wa Watemi wa kijiji cha Hungumalwa akimvisha mavazi ya kitemi mgombea ubunge wa Jimbo la Kwimba Mansoor Shanif wakati wa uzinduzi wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHANGO WAKO UNAHITAJIKA KUWANUSURU WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU.

TANGAZO.Jumuiya ya Maendeleo ya Watoto Yatima (JUMAC) Kwa kushirikiana na Chama Cha Albinism (TAS) Mkoa wa Mwanza  imeandaa Chakula cha hisani  ili kukusanya fedha na vifaa vya kukamilisha ujenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YANG'ARA KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI

Katibu Mkuu wa Wizara ya viwanda na Biashara Uledi Abbas Musa ( Kushoto) akimkabithi kikombe Afisa masoko na biashara wa Airtel , Emmanuel Raphael mara baada ya kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAUTI SOL WAACHIA NGOMA YAO MPYA 'ISABELLA'

BOFYA PLAY KUISIKILIZA TRACK.The award-winning Kenyan group - Sauti Sol – release ISABELLA, the sixth single off Sauti Sol’s upcoming third album: LIVE AND DIE IN AFRIKA, set for release in 2015. The...

View Article

ZOEZI LA KUWASAJILI WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA KATIKA KAMBI YA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NITABORESHA MASLAHI YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA-MAGUFULI

Msafara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ukiwasilia katika mkutano wa hadhara wa kampeni,Korogwe vijijini.MGOMBEA urais kwa teketi ya CCM, Dk.John Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA, DUNI WAHUDHULIA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CHAMA ZA CUF, ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, Nassor Mazrui, wakati...

View Article

ILIVYOKUWA SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 10 ya MICHUZI BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCCR-MAGEUZI WAZINDUA KAMPENI JIMBO LA MWANGA KUMNADI MSUYA

Baadhi ya wananchi katika kata ya Kifula ,jimbo la Mwanga wakifuatilia uzinduzi wa mkutano wa kampeni wa chama cha NCCR-Mageuzi.Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YAUA MMOJA MKOANI KAGERA + MTOTO ANG'ATWA NA PUNDA KWA IMANI ZA...

Na Emmanuel MlelekwaKAHAMAMtu mmoja mwendesha pikipiki  maarufu kama bodaboda mwenyeji wa wilaya ya Ngara Mkoani Kagera amefariki dunia muda mfupi baada ya kufikishwa katika Hospitali ya wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUKWAA LA WAKONGWE JEMBE FM LIMEZUNGUMZA NA REFA ALIYEKUWA AKICHEZESHA MECHI...

Leo ndani ya Jukwaa la Wakongwe utaisikia PART TWO ya mazungumzo baada ya jana (Jumatano) PART One iliyosikika nikizungumza na mwamuzi wa zamani wa soka la hapa Tz Said Almasi 'Bin Dhahabu' ambaye moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEAM YA WASANII WA MABADILIKO WALETA MAFURIKO MTWARA

Msanii Walter Chilambo akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUKWAA LA SANAA LAFANA, SALMA MOSHI AWALIPIA WASANII BIMA YA AFYA

Meza Kuu, anayezungumza ni Abbu Omari mwanamuziki aishiye Japan.Baadhi ya wasanii wakimsikiliza Salma MoshiMwandishi maarufu Khadija Khalili (mwenye daftari) akifuatilia maadaMwenyekiti wa CHAMRUMBA...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>