Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12416 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAPA AFANYA ZIARA FUPI YA GHAFLA KUIMARISHA UTENDAJI OFISI ZA CCM MKOA MWANZA

Rais Mtaafu Mhe. Benjamin William Mkapa akisaini kitabu cha wageni ofisi za CCM mkoa wa Mwanza ambapo alifanya ziara ya kuimarisha Chama kiutendaji kwa kazi za ndani.Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza akitoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA TABORA WACHANGAMKIA MCHEZO WA POOL

Mchezaji wa timu ya Texas pool klab ya Mkoa wa Tabora Salum Kazuga akijitayarisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya klabu yao iliyofanyika mkoani hapo jana. Mchezaji wa timu ya Texas pool klab ya Mkoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA MUSOMA MJINI PAMOJA NA MEYA WASHIRIKI MAZISHI YA HUPHREY SIMON...

Padre akiongoza ibada kumuombea marehemu Humphrey Simon iliyofanyika jana nyumbani kwao Makoko Musoma mjini. Mbunge wa Musoma mjini Mhe. Vicent Nyerere (katikati mwenye suti nyeusi) alihudhuria ibada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MAMA YAKE MZAZI PROF JAY WAAGWA NYUMBANI KWAO MBEZI MWISHO,KUZIKWA...

Picha zote kwa hisani ya Blogu ya Jiachie.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VICENT NYERERE ASHANGAA BEI YA PAMBA INASHUKA ILE HALI NGUO ZA COTTON...

Msimu mpya wa zao la Pamba umezinduliwa nayo bei iliyopendekezwa na kupitishwa ni shilingi 700/= toka shilingi 640/= ya mwaka jana. Hata hivyo bei hiyo mpya bado inalalamikiwa na wakulima kuwa ni ndogo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YAITESA CCM UCHAGUZI WA UDIWANI ARUSHA YAIPIGA 4 BILA.

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU)wakiimarisha ulinzi kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kaloleni wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata hiyo uliofanyika jana.Picha na Filbert...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAPA AKUSANYA SHILINGI MILIONI 400 KUCHANGIA UJENZI WA MAKTABA NA MAABARA...

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akipata maelezo kuhusu ujenzi unaoendelea wa jengo la maabara na maktaba ya chuo kikuu cha Sayansi na Tiba za Afya cha Bugando (CUHAS) kulia ni Prof. William Mahalu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NKABAAAaaa...'MWANA BONGO STAA SACHI'

Kuna kitu alikuwa anakishangaa.....!!!!"dUH NiNakipaji uspime kunisikia nikiimba!!"Zoezi la kumsaka mwakilishi wa mkoa wa Mwanza limefanyika leo jijini hapa, jamaa huyu ambaye hakujulikana kuwa anatoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA NA PALE KWETU ZOO.

Mjengo wa Hotel Gold Crest jijini Mwanza.Paking na jengo la Kariua opposite na New Mwanza Hotel. Eneo la kileleni muda si mrefu litakuwa kivutio cha utalii wa watu wa Kijerumani.Ni kitambo sasa tangu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OH MAMAaa... JICHO LA TATU KATIKA PICHA

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL NA UNESCO KUZINDUA RADIO JAMII KARAGWE BUKOBA

Airtel na UNESCO kuzindua radio jamii  Karagwe Bukoba·         Mawasiliano ya radio yaboreshwa kufikia vijiji vingi zaida kulinganishwa na awali·         Zaidi ya radio 8 kuzindua chini ya mradi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWINYI KAZIMOTO AINGIA MITINI WAKATI TAIFA STARS IKIINGIA KAMBINI MWANZA...

Taifa stars wako jijini Mwanza eneo ambalo si mara ya kwanza kulitumia kama sehemu ya kambi ya mazoezi.Katika mazoezi ya leo Kocha mkuu wa timu hiyo Kim Poulsen pamoja na benchi lake la ufundi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGA KHAN HEALTH CENTRE MBEZI BEACH NOW OPEN at Shamo Towers

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPANGO MZIMA WA DROO YA KWANZA YA AIRTEL YATOSHA

Meneja Uhusiano wa Airtel  Bw, Jackson Mmbando akionyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) jinsi droo ya Airtel Yatosha inavyochagua mshindi wa kila siku wakati wa droo ya kwanza ya   promosheni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI WATEMBELEA MRADI WA URANIUM ULIO CHINI YA KAMPUNI YA Manrta...

 Afisa wa Kitengo cha Usalama wa Kampuni ya Mantra Tanzania inayoshughulika na Mradi wa Uchimbaji Madini aina ya Uranium,uliopo kwenye Kijiji Mkuju,Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma,Fredrick Kriel akitoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY YA 95 NELSON MANDELA

Nelson Mandela is spending his 95th birthday in hospital in Pretoria, as events take place around the world and in South Africa in his honour.South Africans are being urged to mark the former president...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ECOBANK YAFUNGULIWA RASMI TAWI LAKE JIJINI MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Injinia Evarist Ndikilo akikata pazia la jiwe la msingi kuashiria ufunguzi rasmi wa Ecobank Tawi la Mwanza katika shughuli iliyofanyika jana jioni kwenye jengo la benki hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WOTE WA AIRTEL DAR WAINGIA MITAANI KUTOA SOMO JINSI YA KUJIUNGA...

Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi, Adriana Lyamba akijipanga na mmoja wa afisa mauzo wa Airtel wa Dar es salaam Bi, Violet Kajubili muda mfupi kabla ya wafanyakazi wote  kuelekea katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADHAMINI TBL WASHIRIKI CHAKULA CHA PAMOJA NA TAIFA STARS USIKU HUU HOTEL...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIRECTOR "JOHN KALLAGHE" ALIFANYA KWA TID, JAY DEE, MATONYA NA SASA KWA "AMA G"?

Director John Kalage.Ama G.Muandaaji wa video wa kampuni ya Kalla pics amejikuta akikataa au kuzungusha kukabidhi video mpya ya msanii AMA G ambaye alifanya poa kupitia video ya NENDA SALAMA siku za...

View Article
Browsing all 12416 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>