Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU: PAMOJA NA KUPATA MZINGA WA KUTISHA WAKUTWA WAKIWA HAI

Mwananamke mmoja pamoja na dereva wamenusurika kifo kufuatia tukio la ajali mbaya ya kutisha mara baada ya kugonga nyuma ya roli lililokuwa likiendeshwa mbele yao.Dereva pamoja na mwanamke huyo ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER D ATOA DVD NYINGINE TATU MPYA, TYSON VS HOLYFIELD NDANI

DVD hizi kwa sasa zinapatikana katika makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi au unaweza kuzipata jengo la Azam lililopo mtaa wa Msimbazi karibu na kituo cha Polisi Post Gelezani wasiliana na kocha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI BWIRU WASHIRIKI MCHAKATO WA KUFANYA TATHIMINI YA MAPOKEO YA KAMPENI...

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari wavulana Bwiru wakiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa zoezi la Mchakato wa kufanya tathinimi ya jinsi kampeni ya Malaria  Haikubaliki imeleta mabadiliko gani kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA MWANZA KUWA MGENI RASMI FAINALI ZA BALIMI NGOMA FESTIVAL...

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Balimi Extra Lager leo imetangaza kuwa fainali za mashindano ya Ngoma za asili kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa inayojumuisha Tabora, Shinyanga, Kagera, Mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEMBEZA MACHO NA PICHA ZA UDIFERENTI SOKO LA KIMATAIFA KIRUMBA MWALONI

Ile unaingia tu katika soko la Kimataifa la samaki Mwaloni Kirumba jijini Mwanza pembeni kushoto langoni kuna wachuuzi wa kuni lakini sikujua zinakotoka.Mitumbwi hii licha ya kufanya shughuli za uvuvi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"CHAMA LANGU USPIME MUPOoooooooO!"

Mie (L) na Mwenyekiti wa Mwanza Kwanza Philbert Kabago(R).Jua lileeeee.... Nitaendelea kuwashukuru sana watu wangu kila pande mnaofuatilia matukio kila kuchwao kupitia blogu hii. Kimsingi mnanipa jeuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA KUSOMA QURAN TUKUFU YAMALIZIKA

Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Seif Salim Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali zake janaNa Mwandishi WetuMASHINDANO ya kitaifa ya kuhifadhi Quran tukufu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI OFISI YA UHAMIAJI MKOANI RUVUMA

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKISALIMIANA NA KAMISHINA WA UTAWALA NA FEDHA  IDARA YA UHAMIAJI PINIEL  MGONJA KABLA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI  OFISI YA UHAMIAJI MKOA WA RUVUMA,KULIA AFIASA UHAMIAJI WA MKOA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AFUNGUA RASMI CHUO CHA VETA SONGEA

Mkuu wa chuo cha Veta Songea Gidion Ole Lairumbe (kulia) akimkaribisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda chuoni hapo kufungua rasmi chuo hicho, Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Veta Enock Kibendera.Kaimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAINALI ZA BALIMI NGOMA ASILI ZILIVYONOGA KATIKA PICHA

Kiongozi wa kundi la ngoma la Mwana Lyaku akicheza na nyoka wawili, kundi hili ndilo liliibika washindi wa Balimi Ngoma Festival lililofanyika jana jumapili uwanja wa Polisi Mabatini, na kupeleka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WATEMBELEANYUMBA YA AIRTEL YATOSHA- KIGAMBONI

Pichani ni baadhi ya waandishi wa vyombo vya habari nchini walipotembelea i moja kati ya Nyumba 3  zinazotarajiwa kutolewa katika promosheni ya AIRTEL YATOSHA  mwishoni mwa mwezi huu. Nyumba hizi ziko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA ISERE SPORTS YASAIDIA VIFAA TIMU YA FRESH NIGA YA KILWA MASOKO

Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Isere Sports inayoshuhulika na uagizaji na uuzaji wa vifaa vya michezo,Abbas Isere (kulia) akimkabidhi jezi Katibu Mipango wa timu ya Fresh Niga ya Kilwa Masoko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel, UNESCO WAZINDUA MRADI WA KUZIWEZESHA RADIO ZA KIJAMII NCHINI

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Masawe akisalimiana na baadhi ya watoto wa mtandao wa wanahabari alipowasili kwenye uzinduzi wa kurusha matangazo ya Redio FADECO kwenye mnara wa Airtel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMO MPYA WA USAJILI WA VIZAZI NA VIFO KUPITIA MKAKATI WA USAJILI WA WATOTO...

Picha ya pamoja mara baada ya  kuuzinduliwa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi  na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARS YAMALIZA KAMBI YAKE JIJINI MWANZA KUONDOKA KESHO KUELEKEA UGANDA, KIM...

MAELEZO NA SAUTI KUWAJIA HIVI PUNDE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI ALIYEUWAWA DARFUR AZIKWA SONGEA

 Asikari wa JWTZ wakiwa wamebeba mwili wa Rodney NdunguruAliye kaa katikati ni mama wa marehemu Rodney NdunguruMarehemu Rodney Ndunguru Askari wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Rodney Ndunguru wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

G

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMANZI: MWANDISHI JACLINE WANNA AFARIKI DUNIA

Mwandishi wa habari mzoefu wa Kanda ya ziwa Mwanamama Jackline Wanna (kulia) amefariki dunia jana.ITAENDELEA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MSIBA LONDON

Familia ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa MAIMUNA FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK. Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako wa dhati unahitajika ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAWAHI KUPARA SAMAKI AU KUPARA MIWA?

Siyo kisu pekee hutumika kupara, bali hata jiwe lahusika kupara samaki aina ya Sangara na akatakata swadaktar!...!!.

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live