Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MAGUFULI AOMBWA KUSHUGHULIKIA UJENZI WA BARABARA, MAJI NA NYUMBA ZA...

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, akimkabidhi ilani ya ya uchaguzi CCM, mgombea ubunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga alipokuwa akiomba kura kwa wananchi na kumnadi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI ALIVYOTIKISA MJINI TABORA LEO

 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi.Dkt Magufuli alisema kuwa Serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AENDEKEA NA ZIARA YA KAMPENI MKOANI SHINYANGA LEO, AAHIDI KUUNDA...

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Hamis Mngeja wakiwapungia...

View Article

TANZANIA WENYEJI MICHUANO YA AFRIKA U17 MWAKA 2019

Katika kujiandaa na Fainali za soka Michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 zitakazo fanyika kwa mara ya kwanza hapa nchini, Shirikisho la kandanda nchini Tanzania TFF kupitia Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAHA MJINI AAHIDI KUWATENGEA WAJASIRIAMALI...

Mgombea ubunge jimbo la kibaha mjini Silvesry Koka kushoto kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM, akipokea ilani ya chama hicho kutoka kwa Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya kibaha kulia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati...

View Article

FAINALI YA PEPSI KOMBE LA MEYA YAMALIZIKA MNADANI FC NDIYO MABINGWA WAPYA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI WILAYA YA SIKONGE,KALIUA,ULYANKULU

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA TATHIMINI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA KWA TIKETI YA CCM.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITumewaita kuwaomba mtusaidie kufikisha ujumbe ufuatao kwa Watanzania:MWENENDO WA KAMPENI ZA CCMHadi jana, tarehe 16 September 2015, Mgombea Urais wa CCM, Dr. John Pombe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASK YA ASALI, NDIZI MBIVU na NDIMU kwa WALE WENYE USO WA MAFUTA

MASK YA ASALI, NDIZI MBIVU na NDIMU kwa WALE WENYE USO WA MAFUTA Kama mlivyoomba wadau kwa wale wenye USO wenye MAFUTA mengi hii ni MASK unayoweza kutumia ukiwa nyumbani na ikakuaaidia. Nini cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA YAIADHIBU MOROGORO AIRTEL RISING STARS

Mchezaji wa timu ya  Kinondoni Seleman Mbwezi (Kulia) akijaribu kumtoka mchezaji wa timu ya Morogoro Nickson Kibabage katika mechi ya Airtel Rising Stars iliyochezwa  jana katika uwanja wa kumbukumbu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONDAKTA APOTEZA MAISHA WAKATI AKIDANDIA BASI LAKE.

Picha na maktaba.Na Emmanuel MlelekwaKAHAMAMtu mmoja aliyekuwa kondakta wa basi la Prince linalofanya safari zake kati ya Shinyanga na Dar es salaam amefariki dunia baada ya kukanyagwa na gari wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOTO YALEWA MIWA YA MTIBWA NYUMBANI CCM KIRUMBA MWANZA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOITEKA KIGOMA UWANJA WA KAWAWA

MAGUFULI APOKELEWA KAMA MFALME KIGOMA, WANANCHI WAKIRI WAZI ATOSHA KUWA RAIS Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia  maelfu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGI WAJITOKEZA UZINDUZI WA AWAMU YA PILI KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI...

 Ofisa Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMBA REFU ZAIDI AFRIKA MASHARIKI LAFUNGULIWA TZ.

Jengo refu Afrika Mashariki lazinduliwa Tanzania.Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.PSPF Towers ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIUNGE NA WAMBURA BABU BLOG KUPATA TAARIFA MBALIMBALI ZLIZOJILI DUNIANI

Hello, Habari zenu wamburababu blog yenye maskani yake jijini Mwanza inapenda kuwakaribisha wadau wote kutembelea blog yetu kwa na kupata taarifa mbali mbali za kitaifa kimataifa na habari za michezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARCIANO FASHION DASH KUTIMUA VUMBI REGENCY PARK HOTEL 26, SPT 2015

MARCIANO FASHION DASH KUTIMUA VUMBI REGENCY PARK HOTEL 26, SPT 2015Saleem Siwila ni mmoja kati ya wadada wenye vipaji vya ku-design mitindo mbalimbali ya mavazi hapa home Tz, ambaye ameona ni vyema...

View Article

UZINDUZI WA VIDEO YA ELIZAYO HB.

Huyu ni msanii wa muziki wa kizazi kipya anayechipukia kutoka Mwanza, ndani ya kipindi kifupi sana akipiga show za mitaa kwa mitaa kila aliyemkaribia alisema YeeeeessssSSsss.Ndani ya Club Rock Bottom...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AENDELEA NA ZIARA ZAKE ZA KAMPENI, BARIADI MKOANI SIMIYU LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa Bariadi (hawapo pichani) wakati alipowasili kwenye...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>