Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA - ZIARA ZA RAIS NJE

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Simu:255-22-2114615, 211906-12Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi:...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIMU HOSEA DANIEL KUTOKA FOLUMA TUITION CENTRE AELEZA UMUHIMU WA MASOMO YA...

Pichani ni Mwalimu Hosea Daniel kutoka Kituo cha Masomo ya Ziada (Tuition) kiitwacho Foluma Tuition Centre kilichopo Tarime Mkoani Mara akiwa darasani.Na:Binagi Media GroupMwl.Daniel anasema kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFARA WA SUGU WASHAMBULIWA KWA MAWE AKIELEKEA KATIKA KAMPENI ZAKE ZA...

Gari la Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu likiwa kituo cha Polisi kati jijini Mbeya mara baada ya kushambuliwa kwa mawe na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa CCM.Sugu akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA WA URAIS CCM DR. ALI MOHAMED SHEIN JIMBO LA...

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEMEKE WATINGA NUSU FAINALI

Mchezaji wa timu ya Ilala Rukia Annaph (kushoto) akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Temeke Christina Daudi katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAGIZA SHULE ZIFUNGWE KENYA

Serikali ya Kenya imeagiza shule zote nchini humo zifungwe kuanzia Jumatatu huku mgomo wa walimu ukiendelea.Walimu wamekuwa wakiishinikiza serikali kuwalipa nyongeza ya mishahara ya asilimia 50 hadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAVY KENZO KUKAMUA LEO NDANI YA CLUB ROCK BOTTOM MWANZA.

Leo Ijumaa ndani ya Club Rock Bottom kutakuwa na Special Game Party ambapo kundi la Navy Kenzo linaloundwa na wakali wawiliAika na Nahreel. Pichani Aika akizungumza katika mahojiano ndani ya kipindi...

View Article

JE WAANDISHI WA HABARI WANAITENDEA HAKI TASNIA YA HABARI KIPINDI HIKI CHA...

Kutana na meneja wa maadili kutoka baraza la habari MCT akielezea mwenendo wa vyombo vya habari kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIZIMBANI KWA KUPELEKA WANAWAKE KENYA KUFANYA BIASHARA YA NGONO.

Picha kutoka maktaba.Na Kulwa Mzee, Dar es SalaamWANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JANET MBENE MALANGALI AWASHA MOTO ILEJE.

Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa songwe Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ALIVYOPOKELEWA MJINI BUKOBA.

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA WA CCM JIMBO LA ULYANKULU AHIDI KWA WANANCHI WAKIMCHAGUA ATAPIGANIA...

Mgombea Ubunge wa Jimbo jipya la Ulyankulu Wilaya ya Mkoa wa Tabora kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Kadutu (kushoto) akitambulishwa na mgombea urais kupitia tiketi ya CCM John Pombe...

View Article

MAGAZETI YA LEO: SIKU ZA OZIL NDANI YA ARSENAL ZAHESABIKA.

Usisite kutazama uchambuzi wa habari motomoto za michezo zilizopewa uzito wa juu katika magazeti ya leo. SIMUtv.

View Article


TANZANIA YAWEKA HISTORIA KUWA MIONGONI MWA NCHI KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA...

Tanzania imeandika historia kwa kuwa miongoni mwa nchi za kusini mwa jangwa la sahara kwa kuzalisha umeme unaotumia nishati ya Gesi.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWETU HOUSE- WASHIRIKI 6 KUYAAGA MASHINDANO USIKU HUU USIKOSE KUANGALIA AZAM...

Msimu wa Pili wa Kwetu House Unaendelea washiriki wanaendelea kuchuana vikali ndani yaNyumba, Vipaji vinaonekana na Ushabiki wa Soka wanaonekana pia. Kama unakumbuka Washiriki waliobahatika kuingia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIYO MAGUFULI ALIVYOTIKISA CHATO JIONI YA LEO

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha  Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo mkubwa wakati akiwahutubia wakazi wa Chato na vitongoji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAMBUKI YA MALARIA YAPUNGUA AFRIKA

Visa takriban 700 milioni vya maambukizi ya malaria vimezuiwa Afrika kutokana na juhudi za pamoja za kukabiliana na ugonjwa huo tangu 2000, utafiti umeonyesha.Matokeo ya utafiti huo yaliyochapishwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUUMINI MWINYIJUMA NA DOUBLE O WAANZA MAONYESHO MSUMBIJI.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAWAWEZESHA WAFUGAJI NYUKI MKOANI MBEYA

Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akiwakabidhi wawakilishi wa kikundi cha MIRANACO mjini Mbeya vifaa mbalimbali vitakavyowasaidia katika biashara yao ya ufugaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA...

Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza katika mkutano huo, Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live