Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND KUSINDIKIZA TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA NDANI YA KIOTA CHA...

Mmiliki wa Skylight Band Dk Sebastian Ndege(Jembe ni Jembe) akicheza moja ya nyimbo ya bendi Skylight. Njoo leo Jumamosi kwenye Show ya Fahari ya Mwafrika itakayofanyika kwenye kiwanja cha Escape One...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA LEO NDIYO LEO: PICHA ZA MWANAMUZIKI ROBERTO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI...

Yule Mwanamuziki mkali kutoka nchini Zambia, ambaye yu atamba na single yake Amarula inayopatikana ndani ya album yake yenye nyimbo nyingi kalikali Roberto, amepata fursa ya kuzungumza na vyombo...

View Article


VYAMA VITANO VIMEKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA KUELEKEA UCHAGUZI...

Viongozi wa vyama vya siasa vitano AFP, UMD, CHAHUSTA, JAHAZI ASILIA NA DEMOKRASIA MAKINI kwa pamoja tumeungana kutoa wito kwa wanasiasa wenzetu, viongozi wa dini na wananchi wote kwa jumla kuhusiana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GESI YA BAGAMOYO ITALINUFAISHA TAIFA-MAGUFULI.

Umati wa wakazi wa mji wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi majengo wilayani Bagamoyo wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (hayupo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AFUNIKA NYUMBANI KWA DK. SLAA

Sehemu ya wananchi wa Mji wa Karatu, wakionyesha furaha yao baada ya kuiona Chopa inayotumiwa na Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward...

View Article


HALI YA UPATIKANAJI UMEME NCHINI YAZIDI KUWA TETE.

Hali ya upatikanaji wa umeme nchini yaendelea kuwa tete kufuatia Shirika la umeme nchini Tanesco kuzima baadhi ya mitambo katika bwawa la Kidatu kufuati kupungua kwa kina cha maji.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA APATA MAPOKEZI YA NGUVU MJINI TARIME JANA

Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa...

View Article

RAIS KIKWETE AZINDUA MITAMBO YA GESI, NCHIMBI AWANANGA UKAWA,:- FUATILIA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA LEO KIOTA CHA ESCAPE ONE KATIKA SUNDAY BONANZA,...

Sam Mapenzi ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akitoa burudani na kusindikizwa na waimbaji wenzake.Waimbaji wapya wa Bendi ya Skylight ambao ni Suzy (kushoto) akiimba pamoja na Sarah (kulia) mbele...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea wa Urais wa CCM Dk Shein Awahutubia Wananchi wa Mtambwe: Ahaidi Mwaka...

Kikundi cha Taarabu cha Kangagani Pemba cha Profesa Gogo kikitowa burudani wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, uliofanyika katika Jimbo la Mtambwe Kisiwani Pemba na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALAMU ZA POLE TOKA CHADEMA ARUSHA KUHUSINA NA KIFO CHA MGOMBEA UBUNGE WA...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Arusha Mjini kimesikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Ndugu Estomih Jonas Mallah...

View Article

MARUDIO YA MCHEZO WA WATANI WA JADI Simba 0-2 Yanga.

Hiki ni kipindi cha kwanza.Kipindi cha pili.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YUSUFU MAKAMBA AMLA NYAMA KINGUNGE; “Ukitaka Kumtukana Baba Yako Mshukuru...

Yusufu Makamba, mkongwe wa siasa nchini akiongea na wananchi wa Tabora mjini.Yusufu Makamba akizungumzia upotofu mkubwa dhidi ya Kingunge aliyedai kuwa CCM imekosa pumzi baada ya kuihama CCM huku yeye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI WA TARIME MKOANI MARA ASHINDA SHILINGI MILIONI 20 BAADA YA KUCHEZA...

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya  I&M, Baseev Mohamed (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh.milioni 20, Mkuu wa Idara ya Biashara wa benki hiyo, Svikanth T,  kwa niaba ya mteja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKALIMANI MAARUFU WA FILAMU NCHINI 'RUFUFU' AFARIKI DUNIA.

RIP:- Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkandala Rufufu aliyejipatia umaarufu mkubwa kwa kutafsiri filamu za lugha mbalimbali kiingereza, kihindi, kichina, na hata wakati mwingine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAADHIMISHA MIAKA 20 YA MAANDAMNO YA WANAUME MILIONI MOJA

Maelfu ya watu weusi, wake kwa waume, watoto na wazee, jana walikusanyika katika jiji la Washington kuadhimiasha miaka 20 ya Matembezi Ya Wanaume Milioni Moja (One Million Man March).Maelfu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA KADI YA MALIPO YA AIRTEL MONEY "Tap Tap"

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Airtel Tanzania , Bi. Jane Matinde akionyesha kadi mpya ya malipo inayotumia huduma ya Airtel Money iliyopewa jina la Airtel Money ‘ Tap Tap’ katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND,VANNESA NA OMMY DIMPOZ WALIVYOIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA TANZANIA...

CHANZO:ISSA MICHUZI Diamond Platnumz akiwa na moja ya tuzo alizoshinda pamoja na mchekeshaji kutoka Nigeria Basketmouth.Ommy DimpozTuzo tatu alizoshinda Diamond Platnumz.Inaweza ikawa siyo mara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akikata keki katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kuzinduwa wiki ya huduma kwa wateja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC PAUL MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI YA VYAMA VYA SIASA KUOMBEA NCHI AMANI...

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akihutubia wananchi baada ya kupokea matembezi ya amani ya vyama vya siasa yaliyofanyika kuanzia eneo la Magomeni hadi viwanja vya Kinondoni Biafra...

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>