Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATOA GAWIO LA Tshs bilioni 5.3 KWA WATEJA WA AIRTEL MONEY

Airtel yatoa gawio la Tshs bilioni 5.3 kwa wateja wa Airtel Money Dar es Salaam, Jumatano 30 Septemba 2015, Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza kugawa zaidi ya shilingi bilioni 5 kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZETRIDA EZEKIEL ATOKA NA NARINGA NA YESU!

Zetrida Ezekiel ni mwanamuziki mahiri wa muziki wa injili aishiye mkoani Kigoma, amekuwa mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mwana kwaya wa  kikundi maarufu na kikongwe cha nyimbo za injili cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AAHIDI KUKOMESHA MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI NCHINI

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI USO KWA USO NA WAPIGA KURA WAO MUFINDI , WAULIZWA...

       Ndg Patrick Lalika, akiuliza Swali kuhusu Mazingira hatarishi kwa Watoto katika mdahalo uliofanyika katika Shule ya Msingi Igowole wilayani Mufindi, ambao ulishirikisha wanafunzi kutoka Shule za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA FRANCIS AKUTANA NA KARANI ALIYEKATAA NDOA ZA JINSIA MOJA.

Papa Francis                                                                                  Kim DavisCHANZO:BBC SWAHILIKiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameripotiwa kukutana na Kim...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO YATOA MCHANGO WA MADAWATI 700 KWA SHULE ZA UMMA MKOANI MBEYA.

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo nchini, Diego Gutierrez, (kushoto) akimkabidhi madawati yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, Tigo imetoa msaada wa madawati 700 yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO ACHOMWA MOTO KWA TUHUMA ZA KUIBA RIMOTI.

Na Emmanuel Mlelekwa KAHAMAMTOTO Julias Makoye (5) mkazi wa Mwendakulima wilayani Kahama mkoani Shinyanga amenusurika kifo mara baada ya kuchomwa moto na Edina Peter 20, kwa tuhuma ya kuiba simu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA ELIMU YA JUU LAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA

Afisa Masoko wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) wa Tawi la Arusha, Regina Lema akitoa maelezo kwa mmoja ya wageni waliofika katika maonyesho yaliyoandaliwa na wizara ya Elimu na Mafunzo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Allegro Moderato presents Ekaterina Mechetina in Dubai - October 24, 2015

Allegro Moderato presents Ekaterina Mechetina in Dubai - October 24, 2015Tickets are available with starting prices from AED 250. For more information and to purchase tickets, please visit...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMAMOSI HII JEMBE BEACH HAPATOSHI .....!!

Ilikuwa mwezi, hatimaye wiki, na sasa siku ooooooh men!! Ni saa kadhaa zimesalia tukutane na Bonge moja la shoW pale jEMBe BEACH RESORT.... Kiingilio 10,0000/= na VIP 50,000/= unaanzaje kukosa 🎹🚁🚁🚁...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI WA MSIKITI KIMBANGULILE , MKURANGA PWANI.

 Msikiti mpya wa Kitongoji cha Kimbangulile, Mkuranga Pwani Msikiti wa zamani wa Kitongoji cha Kimbangulile Wilaya ya Mkuranga mkoni Pwani.Tunamshukuru Mungu kwa wale wote walio tuunga mkono katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO KANDA YA ZIWA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.

Mwanasheria wa tume ya uchaguzi Bw.Mtibora Seleman akifafanua jambo wakati wa semina hiyo.Wanasemina wakifatilia kwa karibu mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA SABA LA ELIMU YA JUU LAENDELEA JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Awadh Mawenya, ambaye ni mgeni rasmi katika kongamano la saba la elimu ya juu linalofanyika jijini Arusha akiongea machache mara baada ya kumaliza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKALI WA SONGI LA 'AMARULA' ROBERTO TOKA ZAMBIA AWASILI NCHINI TANZANIA, ATUA...

Mtangazaji wa Jembe FM host wa kipindi cha HIT ZONE kinachoruka hewani siku za Jumatatu hadi Ijumaa saa saba mchana hadi saa kumi jioni Timoth Ngalula aka 'Mbaba' akifanya mahojiano na mwanamuziki toka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI SINGIDA,KESHO KUUNGURUMA SINGIDA...

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani),alipokuwa akielekea mkoani Singida...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA...

Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrase Investment Limited Godfrey mkunde kushoto akipokea ncheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa viwango nchini TBS Bw. Joseph...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SULUHU HASSANI 'ATETEMESHA' JIMBO LA ITILIMA, SIMIYU.

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye mkutano wa hadhara wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA UBUNGE KIBAHA AWAHAKIKISHIA WANANCHI KUZILINDA ML.50 ZITAKAZOTOLEWA...

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kibaha mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Silvestry Koka akiwawahutubia wananchi wa kata ya picha ya ndege katika mkutano wa hadhara.Mwenyekiti wa chama cha...

View Article

TCRA, JESHI LA POLISI KUKABILIAN NA WAHALIFU WA MTANDAONI.

TCRA, Jeshi La Polisi Kukabiliana Na Wahalifu Wa Mtandaoni.

View Article

MAWAZIRI WA ZAMANI NCHINI TANZANIA WAPUNGUZIWA KIFUNGO.

Mawaziri wa zamani Bazir Mramba, na Yona wapunguziwa adhabu ya kifungo kutoka miaka mitatu hadi miwili baada ya kukata rufaa.Mawaziri hao walipatikana na hatia ya kutumia madaraka vibaya na...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>