Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

UCHAGUZI MKUU VISA, MATUKIO NA MATOKEO UBUNGE JIMBO LA RORYA.

Vijana 8 Kati Ya 168 Waliojumlisha Matokeo Kusimamishwa Kizimbani. Zanzibar Yarejea Katika Hali Ya Amani Matokeo Ya Uraisi Toka NEC Jimbo La Rorya Mara.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZEC: MAALIM SEIF ANAPASWA KUCHULIWA HATUA ZA KISHERIA KWA KUTANGAZA MATOKEO

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imesikitishwa na kitendo cha mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kujitangazia ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili tarehe 25...

View Article


CCM - TAARIFA KUHUSU MATOKEO YA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARICCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma:MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBOChama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa...

View Article

MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR YAFUTWA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA WA AIRTEL WAENDELEA KUJISHINDIA PESA TASLIM KILA WIKI.

Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana  Isack Willson Mrema   kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAKANUSHA UVUMI WA KUFUTA UCHAGUZI TANZANIA BARA.

 Baada ya Tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC kutangaza kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi Zanzibar, NEC imesema hatua hiyo haito athiri matokeo ya Tz Bara hivyo imeendelea kutoa matokeo na muda mchache...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU KAMA YA LEO CHUMA CHA RELI KIMEUNDWA.

Kikatiba ni sHEMEJi, lakini maisha asilia ni kaka damu damu, kwani umekuwa karibu na familia yangu zaidi ya ndugu... Machungu yako = yangu, Machungu yetu = yako...... Furaha yako = yetu, Furaha yetu =...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAWASILISHA HATI YA PINGAMIZI UCHAGUZI MKUU 2015.

PICHANI juu:- Barua rasmi ya PETITION na kuondoa participation ya CHADEMA katika utangazwaji wa matokeo tume na kuondoa uwakilishi #jembefamilyWAKATI ukiendelea kupata matokeo ya uchaguzi mkuu 2015...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB MOSHI WATOA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC .Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA AWAMU YA TANO NI MAGUFULI.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA NDEGE YA FASTJET KUISAFIRISHA TIMU YA TAIFA STARS KWENDA ALGERIA

Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu timu ya taifa Taifa Stars kwenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) YAPELEKA WANAFUNZI 65 KUSOMA VYUO VIKUU NCHINI...

 Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasindikiza wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEMBELI AKANUSHA TAARIFA ZINAZOZUSHWA JUU YAKE.

James Lembeli (kushoto) akiwa na Mchungaji Peter Msigwa.Na Emmanuel Mlelekwa,Oktoba 29,2015.JEMBE FM KAHAMA.Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama mjini kupitia CHADEMA James Lembeli amekanusha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA KWANZA YA MBUNGE WA KWIMBA MARA BAADA YA KUCHAGULIWA NA WANANCHI.

 Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kwimba mkoani Mwanza Bi. Pendo Malabeja (kushoto) akimkabidhi Mhe. Mansoor Shanif hati cha kuchaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Kwimba kwa kipindi kingine cha miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE MAGUFULI AKABIDHIWA HATI YA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO...

Hafla ya kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam;  Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WHO SAYS CANCER REPORT NOT A CALL FOR PEOPLE TO GIVE UP MEAT

Butcher shops like this one in Godewaersvelde, France, need not fret overmuch: the World Health Organization stressed October 29, 2015 that its recent cancer warning wasn't a call to stop eating meat...

View Article

Dj KFLIP AACHIA MIXTAPE NYINGINE KWA YOUTUBE ISIKILIZE KWA MARA YA KWANZA.

Breakfast mix is a radio show mixed by DJ K FLIP Every Monday to Friday 7am to 10am (EAT)... Download JEMBE FM APP on GOOGLE PLAYSTORE to listen worldwide. Akizungumza na Gsengo Blog DJ huyo anayepiga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI KAHAMA YAWASHIKILIA 10 KWA MAKOSA YA KUVURUGA UCHAGUZI

Na Emmanuel Mlelekwa Oktoba 30,2015. KAHAMA Jeshi la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga linawashikilia zaidi ya watu 10 kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya wakati wa zoezi la upigaji kura katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI WA URAIS WA TANZANIA...

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia), akimkabidhi cheti cha Urais Rais Mteule wa Tanzania Dk.John Magufuli katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Diamond...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LINI MAGUFULI ATATEUA MAWAZIRI? MAGUFULI AWAPASHA WANAFIKI, HALI TETE...

Magufuli awapasha wanafiki, Vijana wa UKAWA waachiwa kwa dhamana, Tume ya uchaguzi yamaliza kazi rasmi. Pitia dondoo za magazeti;GAZETI LA MWANANCHISATURDAY, OCTOBER 31, 2015Kaa chonjo, saa mbayaRais...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live