KIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA, KUFUNGUA KESI YA UCHAGUZI.
Highness Kiwia akionyesha moja ya karatasi yenye makosaNa:George Binagi-GB PazzoAliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleTAARIFA YA ZADIA KUHUSU KUFUTWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR
Logo ya ZadiaJumuiya ya Wazanzibari Waishio Nchini Marekani (ZADIA), imekuwa ikifuatilia kwa karibu na makini zaidi zoezi zima la Uchaguzi Mkuu visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Kwa kiasi...
View ArticleMFANYABIASHARA DAVIS MOSHA ATANGAZA KUTOGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI.
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,mfanyabiashara Davis Mosha akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Penfold kwa lengo la kuwashukuru wana CCM waliompigia...
View ArticleMAMBO YALIVYOKUWA KWENYE HAFLA YA KUKABIDHIWA CHETI CHA URAIS DKT MAGUFULI NA...
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa...
View ArticleJOSE CHAMELEONE AWAPA SURPRISE YA NGUVU MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND, USIKOSE...
Muimbaji kutoka nchiniUganda Jose Chameleone akiimba kwenye stage ya bendi ya Skylight mara baada ya kupanda kwenye stage hiyo na kuwaacha mashabiki awa bendi hiyo wakitoa shangwe ya nguvu.Muimbaji wa...
View ArticleSUPPORT YENU KWA ALBUM MPYA YENYE JINA LA TUTAMUONA BWANA KUTOKA KWA...
Ndugu wapendwa napenda kumtambulisha dada agness nkugwe muimbaji wa nyimbo za injili hapa nchini tanzania mwenye maskani yake jijini mwanza hivi karibuni amtoa nyimbo zake nyingi za injili. hii ikiwa...
View ArticleTANGAZAO KWA WASAMALIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA
Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba zimebana kiasi hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India...
View ArticlePUMZIKA WA AMANI MAREHEMU ANNETH CHRISTIAN KAJURA
Mume wa marehemu akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mke wake Anneth Christian mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach - SalaSala Jijini Dar es Salaam na baadae maziko...
View ArticleMTAZAMO WA VIJANA BAADA YA UCHAGUZI MKUU.
Je vijna wa Kitanzania ana mtazamo gani baada ya uchaguzi mkuu uliyofanyika mwishoni mwa mwezi Octoba mwaka huu?
View ArticleWATAHINIWA KIDATO CHA 4, WASIMAMIZI WAONYWA UDANGANYIFU WA MATOKEO
Wanafunzi wa kidato cha nne Tanzania, pamoja na wasimazi watakiwa kutojihusisha na udanganyifu ili kuepusha kufutiwa matokeo yao.
View ArticleMABULA AWATOA HOFU WAMACHINGA JUU YA TUHUMA ZINAZOENEZWA KUWA AMEINGIA...
Mbunge Mteule wa Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Stanslaus Shing’oma Mabula, amewahakikishia Machinga Jijini Mwanza kuwa wataendelea kufanya biashara zao katika maeneo...
View ArticleTP MAZEMBE 2-1 USM ALGER KLABU BINGWA AFRIKA.
TP Mazembe wameweka mkono mmoja kwenye kombe la klabu bingwa barani Afrika baada ya kushinda mkondo wa kwanza wa fainali dhidi ya USM Alger ya Algeria.Mazembe iliilaza USM Alger ya Algeria mabao 2-1...
View ArticleFULL STOP ZA LEO JIJINI HAOA.
GSENGO BLOG 2015mOJA KATI YA KAYA. GSENGO BLOG 2015Akina mama Sendemaaa...Karibu Airport Mwanza.cHALI....Hasara bin Sheht.....Ahadi ni deni. The geundUjamaa mbele...
View ArticleRAIS KIKWETE APEWA SOMO.
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad.Rais Kikwete apewa somo.RAIS Jakaya Kikwete ameshauriwa kuingilia kati...
View ArticleKANU BALOZI MPYA WA STARTIMES BARANI AFRIKA
Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes nchini Naigeria, Bw. Jack Liu (wa pili kulia) akiwa ameshikilia sare ya kampuni hiyo pamoja na mabalozi wapya Jonathan Akpoborie (wa kwanza kushoto) na Kanu Nwankwo...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AANZA KAZI RASMI NA...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi mara baada ya kuanza kazi rasmi katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni...
View ArticleVYUMBA VYA KUPIMIA NGUO KABLA YA KUNUNULIWA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI...
Wawezeshaji wa Sheria katika soko la Mchikichini katika Manispaa ya Ilala, wakiwa na mabango ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi baada ya kuzungumza na waaandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA HAKUNA AFISA MSAIDIZI TUNAYEMSHIKILIA KWA...
Sehemu ya waandishi wa habari mkoani Mwanza ambao waliwakilisha vyombo vyao kuripoti masuala ya uchagzuzi.NA PETER FABIAN, MWANZA. JESHIla Polisi Mkoa wa Mwanza limeleleza kwamba hakuna Afisa msaidizi...
View ArticleKIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF WA ZANZIBAR
Kikwete afanya mazungumzo na Maalim Seif Hamad wa Zanzibar.Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa kwanza kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia...
View ArticleRAIS KIKWETE AITANGAZA KESHO KUWA SIKU YA MAPUMZIKO
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tzFax: 255-22-2113425PRESIDENT'S...
View Article