JANGILI ALIYETUNGUA HELKOPTA SEREGENTI HUYU HAPA, MCHEKI NA INTEREJENSIA WA...
Njile Gonga (28) Huyu ndiye Jangili anadaiwa kutungua helkopta katika pori la Akiba la Maswa lililopo katika Wilaya ya Meatu Mkoani, ambapo katika tukio hilo rubani wa helkopta hiyo Rodgers Gower (37)...
View ArticleMIKASI WIKI HII BINIFACE MKWASA AFUNGUKA MAISHA YA FAMILIA KUATHIRI SHUGHULI...
BONIFACE MKWASA Juu ya maisha na familia kuathirika na shughuli za kimpira.
View ArticleRAIS MAGUFULI ATEMBELEA WODI YA WAZAZI MUHIMBILI.
Rais John Magufuli atembelea wodi ya wazazi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili na kujionea adha wanayokumbana nayo wazazi huku akiahidi kutatua changamoto zinazowakabili.
View ArticleMZUNGU KICHAA releases ‘RELAX YOUR MIND’ NEWA East African REGGAE VIDEO.
The Tanzanian based singer, Mzungu Kichaa, has released a bonafide reggae tune: RELAX YOUR MIND. The new video features his Tanzanian band Bongo Beat in true show for their renown eclectic...
View ArticleWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MLOGANZILA KISARAWE WAAMUA KUFANYA UTORO...
Diwani wa kata ya Kiluvya Wilayani Kisarawe,Mkoa wa Pwani Idan Kitale (CHADEMA) akizungumza na walimu, wanafunzi na wananchi kabla ya kuzindua rasmi mradi wa maji katika shue ya msingi...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA FEDHA MH.ASHATU KIJAJU AFUNGUA MKUTANO WA MWAKAA WA 25 WA...
Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa 25 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF uliobeba kauli mbiu ya "Uendeshaji wa sekta ya hifadhi ya jamii na umuhimu wa kuzingatia...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA FEDHA MH.ASHATU KIJAJU AFUNGUA MKUTANO WA MWAKAA WA 25 WA...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akitembelea Ujenzi wa Mradi wa Mtaro katika Uwanja wa Mpira Mnazi Mmoja akiwa katika ziara zake Zanzibar kutembelea...
View ArticleWAKULIMA, WAFUGAJI NA WAVUVI WAJADILI NA KUTOA MAONI YA UCHAMBUZI WA MWONGOZO...
Bi Flora Mathias Kutoka Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mkulima mdogo akitoa majumuisho kutoka kipengele cha namna ya kudhibiti Bajeti za Serikali kutoka katika mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya...
View ArticleKAMA ULIKOSA MAGAZETI YA LEO.
Mwanamke Tarime awapokonya majambazi SMG. Waziri ataka wanafunzi wapimwe dawa za kulevya. Kigogo ATCL asimamishwa kazi.
View ArticleTFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MWANAHABARI HAMISI DAMBAYA KWA KUPOTEZA...
Mwandishi wa habari Hamis Dambaya.Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma salamu za rambirambi kwa familia ya mwandishi wa habari za michezo nchini Hamis Dambaya kufuatia kufiwa na mkewe,...
View Article13FEB2016 VALENTINES HII MAMBO YOTE JEMBE BEACH RESORT.
Ni Jembe Beach Resort mkali wa kuwavalisha mabinti Rais wa TMC Bob White Pamba akikagua eneo la tukio.The man.Kiota cha Burudani.Harakati zinaendelea buistanini.Moja ya engo adimu.Kulee....mpaka...
View ArticleWATANZANIA 4 WAUAWA NCHINI MSUMBIJI.
Watanzania 4 wanaodaiwa kuwa ni wafanyabiashara wa madini nchini Msumbiji wauawa na majambazi.
View ArticleHABARI ZA MAGAZETI>HAMAD RASHID KURITHI NAFASI YA MAALIM SEIF ENDAPO CUF...
Hamad Rashid kurithi nafasi ya Maalim Seif endapo CUF watasusia uchaguzi. Majaliwa avamia tena bandarini.
View ArticleKUELEKEA MSIMU WA WAPENDANAO NA DJ TASS.
Fahamu mambo mengi motomoto hasa katika kipindi hiki cha kuelekea msimu wa wapendanao au ukipenda valentine day.
View ArticleZA MWIZI NI AROBAINI MWIGULU NCHEMBA ANASA WAHUJUMU MACHINJIONI JIJINI DAR.
Mhe. Mwigulu Nchemba ameagiza watendaji wote wanaohusika na uhujumu wa mapato kwenye machinjio kuchukuliwa hatua za kisheria.
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MHE.MASAUNI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI...
Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Masauni alipofanya ziara katika Jeshi hilo Zanzibar kujionea Utendaji wake akiwa...
View ArticleMHE. LUHAGA MPINA VUUUUP HADI KITUO CHA AFYA FUONI KIBONDENI.
Kituo cha Afya kilioko Fuoni Kibondeni ambacho kilitembelewa na Mhe Luhaga Mpina katika Jimbo la Dimani kikiwa ni moja ya kero kwa Wananchi wa kituo hicho kwa kudai kiko mbali na njia yake kuwa mbaya...
View Article