Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEKNO NA SEYI SHAY WAFANYA ZIARA JEMBE FM KUELEKEA MKESHA WA KUIKARIBISHA...

Mkali wa muziki toka nchini Nigeria Tekno anayetamba na ngoma yake kali 'Duro', bigger than the rest and least of more to come akiwa katika studio za Jembe Fm Mwanza tayari kwa mahojiano na kituo hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA TRL WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ES...

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Shirika la Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwafikishwa  katika  mahakama ya  Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Dalaam tayari kwa kusomewa mashitaka 9 yanayo wakabili likiwemo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFISADI WA SHILINGI MILIONI 20 WAZUA TAFRANI MSIKITINI.

Waumini wa dini ya Kiislam wakizozana nje ya Msikiti wa Masjidi Pelapela uliopo eneo la Mtakuja Vingunguti jijini Dar es Salaam katika swala ya Ijumaa leo mchana, baada ya kutokea tafrani ya waumini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIKI NDICHO ALICHOANDIKA MHE. PROF JAY MARA BAADA YA KUFUTWA KESI YA UCHAGUZI...

UKWELI UNA TABIA YA KUSHINDA SIKU ZOTE!!! Ndugu zangu wote wapenda HAKI na UKWELI napenda kuwatangazia rasmi kuwa ile kesi ya kupinga matokeo yangu ya ubunge wa jimbo la Mikumi IMEFUTWA RASMI baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY VALENTINES YOU ALL.

He!! Ndugu dam dam hawapendani? Msifanye hivyooo.Ijumaa kama hii tukielekea siku kuu ya wapendanao duniani, Tarehe 14FEB2016 Enyi marafiki ndugu, jirani, wapenzi, waungwana tunaotakiana mema basi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"KAMA UNAMPANGO WA KUACHANA NA MWENZI WAKO SIKUSHAURI" LEMUTUZ AFUNGUKA NDANI...

Natty E Brand na DvJ Benny Ndiyo wahusika wakuu wa kipindi cha KIKWETU ndani ya Jembe Fm Mwanza.MAELEZO YA PICHA NYINGINE YAJA....... 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA AWALI MUZIKA FESTIVAL ILIVYOFANA JEMBE BEACH MWANZA RED CARPET NANI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA KANISA WAADVENTISTA WASABATO MTAA WA MANZESE ZAFANA

 Jeshi la vijana Watafuta Njia (PFC) wakionesha programu maalum katika sherehe ya kumuaga Mch. Amosi Lutebekela (hayupo pichani) iliyofanyika katika kanisa la waadventista wasabato Manzese jana.Kwaya...

View Article


MKUU WA MKOA WA ARUSHA ATOA RAI KWA WANANCHI.

Mkuu wa mkoa wa Arusha atoa wito kwa watanzania kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kufanya kazi kwa bidii na kuepuka matumizi mabaya ya fedha.

View Article


MUFTI ARUHUSIWA MUHIMBILI.

Mufti mkuu wa Tanzania aruhusiwa kutoka katika taasisi ya moyo ya Dr.Jakaya Kikwete ya Muhimbili jijini Dar es salaam baada ya kulazwa na kufanyiwa upasuaji huku akimshukuru rais Magufuli na madaktari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA WAPENDANAO

Na Mwandishi wetu Washington Kila ifikapo tarehe 14 Februari nchini Marekani na sehemu nyengine Duniani husherehekewa Siku Ya Wapendanao "Valentine's Day", au kama ijulikanavyo kwa jina jengine "Siku...

View Article

AKA & Diamond Platnumz - Make Me Sing (Official Video)

This is the Official Collablo of AKA from South Africa and Diamond Platnumz From Tanzania, the song produced by Tudd Tomas from Tanzania and the Video was shot in Joburg South Africa by Director...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NATURE AMFUNIKA TEKNO MUZIKA FESTIVAL MWANZA

MAELEZO YAJA....Chungulia alichokifanya Tekno jijini Mwanza.aaa

View Article


MAGAZETI YA LEO> CUF YAMKOSOA JAJI MKUU ZANZIBAR, MBUNGE, WENJE WANUSURIKA...

 CUF yamkosoa jaji mkuu Zanzibar. Amri ya Magufuli yatikisa Muhimbili. Polisi wazua balaa kwa kutwangana chupa za bia.Mbunge, Wenje wanusurika ajali.  Katibu mkuu afya,aongoza kusomba meza Muhimbili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA MAFURIKO RUFIJI MKOANI PWANI

Mbunge wa jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa akizungumza na waandihi wa habari hawapo pichani juu ya maafa ya maruriko yaliyotokea kutokana na mvua kubwa kunyesha.Mbunge wa Jimbo la rufiji Mohamed...

View Article


KADA WA CCM JAMAL ACHAGULIWA MRITHI MPYA WA MASHA UJUMBE WA HALMASHAURI KUU...

FULL HABARI YAJANa PETER FABIAN, MWANZA.HALMASHAURIKuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyamagana kwa niaba ya Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya hiyo wamemchagua kwa kishindo, Kada Jamal Abdul “Babu” kuwa...

View Article

SEYI SHAY @JEMBE BEACH MWANZA LIVE

Seyi Shay toka nchini Nigeria akimiliki vyema jukwaa la Muzika Festival lililofanyika mwishoni mwa wiki Jembe Beach Resort.Tambasha hilo limekuja ikiwa ni moja ya matukio ya burudani yatakayo tawala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAHAMISHA WAFANYAKAZI 104 DAR ES SALAAM.

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imefanya mabadiliko makubwa baada ya kuwahamisha wafanyakazi 104 waliokuwa Mkoa wa Dar es Salaam na kuwapeleka mikoa mbalimbali nchini.Mbali na wafanyakazi hao,...

View Article

MAGAZETI FEB 16> WAZIRI ATUMBUA JIPU VIGOGO MSD. CCM ZANZIBAR WAIBANA ZEC...

Waziri atumbua jipu vigogo MSD. CCM  Zanzibar waibana ZEC itangaze vyama shiriki. Polisi wapigana risasi Dar Es Salaam.Dk.Migiro, Chikawe.Dk.Dau waingia tanuru la Magufuli. TCC yalimwa faini ya mil.15....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREHEMU CLARA PIUS MSEKWA ALIVYOPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE.

Jeneza lenye mwili wa marehemu Clara Pius Msekwa likiwasili nyumbani kwa Mama yake mkubwa Kimara , Korogwe kabla ya ibada ya kumuombea marehemu na kupelekwa kuzikwa katika makaburi ya Mburahati Jijini...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>