AIRTEL YAINUA KIKUNDI CHA VIJANA WAJASILIAMALI KUPITIA AIRTELA FURSA jijini...
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (Kulia), akikabidhi funguo ya pikipiki aina ya guta kwa mmoja wa wakilishi wa kikundi cha Akilimali Fatuma Rashidi, ikiwa ni sehemu ya msaada wa vifaa...
View ArticleWAWILI WAFARIKI KWA KUFUKIWA MACHIMBONI KAHAMA.
Watu wawili Jumanne Nzumbi na mmoja aliyefahamika kwa jina la Masumbuko, wamethibitika kupoteza maisha baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo madogo ya Dhahabu ya Iselenge yaliyoko katika Kijiji...
View ArticleDAAH PIGO MUZIKI WA BONGO FLEVA> KWAHERI JONI WOKA.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Michael Dennis Mhina ‘John Woka’ Hatunaye tena.Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kwa staili yake ya kuimba kama mlevi, Michael Dennis...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA MSIMU WA PILI WA AIRTEL TRACE MUSIC STAR.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel , Beatrice Singano Mallya akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa msimu wa pili wa shindano la muziki la Airtel Trace Music Stars litakalowapa nafasi...
View ArticleWANANCHI PEMBA WAASWA.
Mh. Balozi Seif awasihi wananchi Zanzibar kutoshiriki katika vitendo vya uvunjifu wa amani na utulivu wakati wa uchaguzi.
View ArticleSIMBA NA YANGA KUCHEZESHWA NA MWAMUZI WA KIKE.
Shirikisho la soka nchini TFF limemtangaza mwamuzi wa kike kutoka kagera atakayechezesha mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga.
View ArticleBIOTEKNOLOJIA YA KILIMO NCHINI KUFANYIWA UTAFITI
Mkuu wa Idara ya Uchumi na Uzalishaji Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Ndaro Kulwijila (katikati), akiwakaribisha mkoani humo watafiti wa kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech),...
View ArticleRUSHWA YAWANG'OA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI 4
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anaye shughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa nchini Tanzania TAMISEMI Mhe. George Simbachawene ame wasimamisha kazi wakurugenzi wa Halmashari nne nchini kwa...
View ArticleAFUKUZWA CCM KWA KUMFANYIA KAMPENI LOWASSA.
Tweets peter mwininga @PMwininga 9 Apr 20140 retweets0 likesReplyRetweet Like Morepeter mwininga @PMwininga 9 Apr 20141 retweet0 likesReplyRetweet 1Like MoreHalmashauri ya CCM Mkoa wa Geita...
View ArticleFUATILIA BBC MOJA KWA MOJA: Uchaguzi mkuu Uganda
09:56 Magazeti ya Uganda yameongoza na habari za uchaguzi.07:45 Upigaji kura katika maeneo mengi umeanza, ingawa kwa kuchelewa. Hapa ni Kalangala watu wakipiga kura.07:44 Kuna ripoti kwamba baadhi ya...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YTA KIDATO CHA NNE MWAKA 2015
Kwa Matokeo ya Shule zote BOFYA HAPA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
View ArticleJUKWAA LA BIOTEKNOLOJIA LATOA MAFUNZO KWA WALIMU WANAFUNZI WA CHUO CHA BUNDA...
Mtafiti Mkuu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania na Mkufunzi wa Mafunzo ya Bioteknolojia , Dk.Emmarold Mneney (kulia), akiwafundisha wanachuo wa Chuo cha Ualimu cha Bunda (BUNDA TTC), kuhusu matumizi...
View ArticleWAZIRI AIAGIZA HALMASHAURI YA BUSEGA KUACHANA NA ANAROGI KATIKA UKUSANYAJI WA...
Mkuu wa wilaya ya Busega Paul Mzindakaya akiwakilisha changamoto za wilaya yake kwa waziri mbarawaWaziri mbarawa akisikiliza ripoti kwa mkuu wa wilaya ya busega Paul MzindakayaNa Shushu...
View ArticleMAOFISA UGANI WADAIWA KUCHANGIA CHANGAMOTO YA KILIMO WILAYANI MAGU MKOANI MWANZA
Mtafiti Mkuu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Dk. Emmarold Mneney (kushoto), akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Salama kilichopo Kata ya...
View ArticleKAULI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU UINGIZWAJI KIHOLELA WA SUKARI NCHINI
Serikali yapiga marufuku uingizwaji wa sukari nchini ili kulinda soko la viwanda vya sukari vya ndani.
View ArticlePAPA FRANCIS>'DONALD TRUMP SI MKRISTO'
Papa Francis.Image copyrightiCHANZO:BBC SWAHILIMkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amesema kuwa wazo la mgombea wa kiti wa chama cha Republican nchini Marekani , Donald Trump la kujenga ukuta...
View ArticleDONDOO ZA MAGAZETI> MAGUFULI KUNA MAJIPU YANAHITAJI TIBA MBADALA> CUF...
Magufuli: Kuna majipu yanahitaji tiba mbadala. CUF kuandamana kupinga uchaguzi Zanzibar. Dk. Kalemani ambana mwekezaji.Wenye mashamba hekari zaidi ya 50 watangaziwa kiama. Polisi yatua bandarini....
View ArticleETIHAD YAPEWA TUZO YA SHIRIKA LA NDEGE LA MWAKA 2016 NA JARIDA LA AIR...
Viongozi kutoka shirika la Ndege la Etihad wakiwa na tuzo ya shirika la Ndege la mwaka 2016 waliyopokea kutoka jarida la Air Transport World (ATW) katika hafla iliyofanyika nchini Singapore. Kutoka...
View ArticleAIRTEL YACHEZESHA DROO YA MWISHO PROMOSHENI YA AIRTEL MKWANJIKA
Haya mmoja wa washiriki huyooooo....Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde akimkabithi mshindi wa Airtel Mkwanjika Diana Samwel na mkazi wa Dar es Saalam pesa taslimu mara baada ya kujinyakulia...
View Article