KWAHERI NELSON MANDELA.
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ameaga dunia.Mandela amefariki huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliongoza Afrika Kusini kutoka mikononi mwa watawala wa ubaguzi...
View ArticleKIDUMU AWASILI TZ KWA SHOO YA TTC "CLUB E" ITAKAYOFANYIKA LEO MLIMANI CITY
1. Ticket zinauzwa katika vituo vifuatavyo; Samaki Samaki (Mlimani City na Samora), Engen Petrol Station (Mbezi na Mikocheni), TCC Club Chang’ombe, Rose Garden, Shoppers Supermarket (Mikocheni na...
View ArticleAIRTEL BINGWA KUFUNGUKIA MBAGALA ZAKHIEM KESHO
WASANII WAKALI NEY WA MITEGO NA YOUNG KILLER KUONYESHANA NANI BINGWA … KATIKA HIP HOP MBAGALAHaya sasa mabingwa woote WA AIRTEL BINGWA kula bata pamoja wikiendi hii MbagalaaaaaaKama wewe ni bingwa wa...
View ArticleSAKATA LA ZITTO LAWACHOMOA VIJANA 200 CHADEMA
Na Peter Fabian. MWANZA. UMOJA wa Vijana wa Kata ya Mahina Wawapongeza Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Wilaya ya Nzega Hessein Bashe na aliyekuwa Mjumbe wa Baraza kuu...
View ArticleMAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA 2014 YAPATIKANA.
Hapana shaka wapenzi wa soka barani Afrika pamoja na kuomboleza kifo cha Nelson Mandela wamekuwa wanafuatilia Droo ya kombe la dunia kufahamu nani wapinzani wa timu tano zinazowakilisha bara...
View ArticleSTARS YATINGA NUSU FAINALI CECAFA 2013
TIMU ya Kilimanjaro Stars imefanikiwa kusonga mbele hatua ya Nusu Fainali baada ya kuwatoa Mabingwa watetezi wa Kombe hilo Uganda kwa ushindi wa changamoto ya penalti 3-2 katika michuano ya kombe la...
View ArticleMARA MABINGWA MBIO ZA MITUMBWI KANDA YA ZIWA.
Kikundi cha Nahodha Benedicto Chamba kutoka Mara wakishangilia na Kikombe mara baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya mbio za mitumbwi upande wa Wanaume, zilizofanyika jana katika ufukwe wa Mwaloni...
View ArticleVIONGOZI WA BARA LA AFRIKA WAMETAKIWA KUMUENZI MZEE NELSON MANDELA.
Viongozi wa bara la Afrika wametakiwa kuachana na tabia ya ubinafsi wa kujilimbikizia mali, kung`ang`ania madarakani pamoja na kuwa na mioyo ya visasi katika mapambano ya kisiasa, kama njia mojawapo ya...
View ArticleHAPA NA PALE WILAYANI TARIME
Wilaya ya Tarime ina kilometa za mraba 1,791.504 kati ya eneo hilo kilometa za mraba 270 ni eneo la hifadhi ya mbuga ya Akiba ya Lamani (Game Reserve). Eneo linalotumika kwa shughuli za kilimo, ufugaji...
View ArticleBASI TU BINADAMU MJANJA LAKINI NI SEHEMU YA WANYAMA.
WANYAMA ni viumbehai wasio mmea. Jina la kisanyasi ni animalia.Hawapati chakula chao kupitia usanisinuru (nishati ya jua) lakini kutoka kwa viumbehai vingine ama wanyama wengine au mimea. Wanyama...
View ArticleKWA MARA YA KWANZA TANZANIA YASHEREHEKEA MIAKA 52 YA UHURU BENDERA YAKE...
Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo ataongoza mamilioni ya Watanzania katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 52 tangu Tanganyika kupata uhuru ambayo baadaye...
View ArticlePICHA 3 TU ZA MAADHIMISHO SHEREHE ZA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA.
Watoto wa halaiki wakijiandaa kuingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika.Sehemu ya uwanja wa uhuru.Gwaride la heshima likipita mbele ya...
View ArticleAIRTEL YAMWAGA ZAWADI YA MILIONI 40 KATIKA 'MIMI NI BINGWA' promosheni.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando, (aliyeshika kipaza sauti) akiwaonyesha wakazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam –Rashid Ahmed Othman (kati kati) na Peter Elias Magusha (wa pili...
View ArticleHEBU SOMA WARAKA HUU WA TUNDU LISSU KWA WANAMABADILIKO.
Wanamabadiliko,Nina mambo mawili. Moja, kwa kadri mjadala huu ulivyo hadi sasa, inaelekea kuwa kila mmoja wetu anaamini kwamba ni kweli huyu bwana kafanyiwa fujo Kama anavyodai. Hii assumption kwamba...
View ArticleTAMASHA LA UJASIRIAMALI KURINDIMA MWANZA IJUMAA HADI JUMAPILI
Mratibu wa Tamasha la Ujasiriamali, Abdallah Mrisho (wa pili kulia) akiongea jambo na waandishi wa habari leo ndani ya ukumbi wa The Atriums Hotel iliyoko Sinza, Afrika Sana jijini Dar es Salaam.Meneja...
View ArticleKAMPUNI YA VILAINISHI YA ORION YAINGIA UBIA NA KAMPUNI YA CHEVRON KUSAMBAZA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Orion Lublicants, Beny Maregesi akizunumza na wageni waalikwa(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kuchaguliwa kwa kampuni hiyo kuwa wasambazaji wa Oil za Caltex nchini...
View Article