Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MWANA MFALME WA UINGEREZA PRINCE CHARLES...

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles wakati wa mkutano uliojadili  vita dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori huko Clarence House London nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PART ONE YA RED CARPET YA SKYLIGHT BEACH RESORT MWANZA NA FOOLMOON YA...

FlowerZ.Ma Broo Victor with my shemejiiiiii.Mikato dizaini.G's thing.'We Prizenhe'Jembe ni Jembe brothers.Chichii.White n' Black.Yep..!Shingo feni'''' dizain.hip hop.Mafuvu line'Where to....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU KWENYE KONGAMANO KUBWA LA DIVINE HERITAGE HOTEL YA MIDLAND MWANZA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA SERA YA MTANDAO WA VIKUNDI VYA MAADILI NA UCHUMI...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu kitabu baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA)  akiwa na mwasisi wake  Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STOOOoooooooP!!!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDAMANO KUELEKEA UZINDUZI WA KANISA KUU USHIRIKA WA IMANI KKKT MWANZA.

Yakitokea katika uwanja wa Furahisha Kirumba jijini Mwanza, Maandamano yakiongozwa na Maaskofu, Wachungaji na wakuu wa makanisa toka maeneo mbalimbali ya Kanisa KKKT kanda ya ziwa yalikoma hapa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONDIA TWALIBU MCHANJO AMSAMBALATISHA ELIYA NGOZI KWA POINT

Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde zito ambalo lilimpeleka mpaka sakafuni na kuhesabiwa hata hivyo alirudi uringoni kupambana Mchanjo alishinda kwa pooint picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWF KUANDAA HAFLA YA FAMILY DAY MACHI 15 ESCAPE ONE JIJINI DAR,WANAWAKEA...

Mchoro wa tuzo ya Mwanamakuka kama uonekanavyo pichaniKushoto ni Meneja wa Mradi wa Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Umoja wa Wanawake Marafi (Unit of Women Friends).Bi Maryam Shamo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DALADALA ZA MWANZA ZAGOMA KUTOA HUDUMA HII LEO.

Jiji la Mwanza kwa siku ya leo limekuwa kwenye hali tete katika suala la usafiri mara baada ya daladala za njia kuu za Airport-Igoma, Airport-Kisesa na Airport-Buhongwa kugoma kwa madai ya kunyanyaswa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAREHE ZA JUBILEE YA MIAKA 25 YA KKKT - DMZV ZILIVYOFANA JANA JIJINI MWANZA.

Askofu mkuu wa Dayosisi ya Mwanza Ziwa Victoria (DMZV) Andrew Gulle kabla ya kufunua jiwe maalum la Jubilee alikata utepe kuashiria safari ya maadhimisho hayo kuanza rasmi, ambapo kilele chake kitakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"FOOLMOON YA VALENTINE'S DAY NA SKYLIGHT BEACH RESORT MWANZA ILIKUWA NI NOWMA"

On the one n' two ni Dj Mafuvu akishusha mvua ya burudani kwenye Fool Moon Party iliyofanyika siku ya Valentine 14/feb/2014 Skylight Beach Resort Malimbe Mwanza.Eneo lilikuwa POA XANA kwa FrendZ...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTANA NA MWANADADA BETHA, MCHORAJI WA KAMPUNI YA COCACOLA MWANZA.

Mwanadada Betha Zabron ni msanii wa sanaa ya Uchoraji ambaye ameajiriwa kwa sasa na kampuni ya vinywaji baridi ya Nyanza Botling Company Limited ya jijini Mwanza (watengenezaji wa vinywaji vya jamii ya...

View Article

ANDRADA LIVE - SUPER KAMANYOLA VILLA PARK MWANZA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGUVU YA MCHEZO WA BAO KATIKA JAMII YETU.

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza ambaye pia ni diwani wa kata ya Mkolani jijini Mwanza Mhe. Stanslaus Mabula akikabidhi zawadi ya mbuzi kwa  nahodha wa washindi wa pili wa mashindano ya mchezo wa draft...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHOMA NYAMA MWANZA WAPIGWA MSASA.

Jaji mkuu wa Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2014 Laurent Patrick Salvi akiwapa darasa wachoma nyama wa baa mbalimbali za jijini Mwanza, kuinua uwezo wa wataalam hao ili kuboresha uwezo wao...

View Article


AMA G "CHOTARA" - UMENIVUTIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUBANJULIWA KWA ARSENAL, JE NI KIELELEZO CHA MSIMU WA KUCHEMSHA KWA TIMU ZA...

TIMU za Uingereza zimezidi kuandikisha matokeo mabaya katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Arsenal ilipigwa mabao mawili kwa bila na Beyern Munich ya Ujerumani katika mchuano wa robo fainali....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI LAGER NYAMA CHOMA NDANI YA MBEYA NI TAREHE 2 MACHI 2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOME SHOPPING CENTRE SASA YAFUNGUWA RASMI TAWI LAKE JIJINI MWANZA

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa mwanza Christopher Fuime (kushoto) akifanya matembezi katika duka la Home Shopping Centre kujionea uwekezaji uliofanyika sambamba na mali za majumbani zinazo patikana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI ZA KINYONYAJI ZAIBUKA MIGODINI YA TANZANIA.

CHAMA CHA WAFANYAKAZI MIGODINI (NUMET),CHAISHAURISERIKALI IWACHUNGUZE WAGENI.NA PETER FABIAN.MWANZA.KUMEKUWEPO Makampuni  ya Kitapeli na kinyonyaji yaliyoibuka kama Uyoga nayotumiwa na waajiri...

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>