SAFARI YA MWISHO YA MWENYEKITI WA CCM MTAA WA PWANI KATA YA KUNDUCHI BENEDICT...
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mtaa wa Pwani Kata ya Kunduchi Benedict Tibehenderwa umeagwa leo na mamia ya watu na kuzikwa nyumbani kwao Tegeta jijini Dar es salaa.Mjane wa marehemu...
View ArticleKUELEKEA KOMBE LA DUNIA BRAZIL YAZINDUA MPANGO WA USALAMA.
Brazil imetangaza kwamba wameongeza maafisa wa kulinda usalama 70,000 zaidi watakao toa huduma za usalama katika fainali ya Dimba la Kombe la Dunia mwaka huu.Idadi hii iliyoongezwa ni katika jitihada...
View ArticleMATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013-2014 HAYA HAPA.
MATOKEO YA WATAHINIWA WALIOFANYA MTIHANI OKTOBA MWAKA JANA HAYA HAPA CHINI. BOFYA LINK HIYO HAPO CHINI KUYATAZAMA.MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
View ArticleDIAMOND, MADEE, CHEGE NA TEMBA WAFANYA KWELI TAMASHA LA COCA COLA ZOO.
Diamond Platnum him self akionyesha style yake ya ngololo inavyochezwa mbele ya umati wa mashabiki waliofurika vyakutosha kwenye uwanja wa Furahisha Kirumba jijini Mwanza ambapo msanii huyo alipiga...
View ArticleMJUMBE WA NEC CCM TAIFA NA WAZIRI, SOFIA SIMBA MGENI RASMI KONGAMANO LA...
Na PETER FABIAN.MWANZA. WANAFUNZI wa Vyuo Vikuu kwa kushirikiana na Vyuo vingine wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Cha Mapinduzi (UWT)...
View ArticleAIRTEL YADHAMINI TUZO YA MWANAMAKUKA 2014
Airtel yadhamini Tuzo ya Mwanamakuka 2014Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza kudhamini tuzo za Mwanamakuka zenye lengo la kusaidia wanawake kutoka katika maeneo mbalimbali kujiinua...
View ArticleUSAID YAENDESHA ELIMU YA LISHE WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA
Katibu tawala wilaya Kongwa,Bw Joseph Kisyeli,akimywesha mtoto uji ulioongezwa virutubishi,katika kampeni za uhamasishaji wa chakula cha mtoto chenye virutubishi,katika kata ya ngomai. Zinazoendeshwa...
View ArticleMBUNGE AIRO AMTAKA DC WA RORYA KUACHA KASHFA PIA AWAACHE WATAALAMU WAFANYE...
Na PETER FABIANMBUNGEwa Jimbo la Rorya Bw. Lamerck Airo amemvaa Mkuu wa Wilaya ya Rorya akimtaka kuacha kuwasha kuwashutumu wanasiasa kuwa ndo wanakwamisha ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri ya Rorya...
View ArticleALICHOSEMA SHIBUDA HII LEO KATIKA BUNGE LA KATIBA: APINGA KURA YA WAZI.
SHIBUDA APINGA KURA ZA WAZI BUNGE LA KATIBA."Hapa hatukuja kwa maslahi ya kusema ya kwamba tukisigana tuondoke hapana. Hapa tumekuja kutoka na katiba""Nashauri tuachane na dhana ya uenzetu na si...
View ArticleSAFARI NYAMA CHOMA - ARUSHA NA MOSHI
Jaji kiongozi, Laurent Salvi akitoa maelezo ya mfano wa namna yakukagua nyama iliyoiva kwa washiriki wa warsha ya nyama choma,iliyoandaliwa na waandaaji wa mashindano ya Safri Lager Nyama...
View ArticleTFF YASITISHA MKATABA NA KOCHA KIM POULSEN
Kim Poulsen.Hatimaye Shirikisho la Kabumbu nchini Tanzania TFF limetangaza kuvunja mkataba wake na Kocha mkuu wa Timu ya taifa ya soka ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen kwa kile kilichoelezwa...
View ArticleALILAZIMIKA KUKEKETWA ILI ASOMESHWE.
ESTER CHARLES (16) ambaye anasoma kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Rebu iliyoko wilayani Tarime mkoani Mara, alishindwa kujizuia na kudondosha machozi katika ukumbi wa kantini ya jeshi la...
View ArticleKILA IJUMAA SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO MASHABIKI ZAKE
Joniko Flower akiongoza safu ya Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha Nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.... Ni kila Ijumaa zote za wiki...
View ArticleTOTAL YAZINDUA MPANGO WA KUMALIZA TATIZO LA UPATIKANAJI WA UMEME.
Mgeni rasmi, Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Prof. Sospeter Muhongo akihutubia wageni waalikwa (hawapo pichani) waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa bidhaa za AWANGO uliofanyika ndani ya hoteli...
View ArticleYANGA USO KWA USO NA AL-AHLY LEO.
Yanga ya Tanzania.Al-Ahly ya Misri.Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Mabingwa barani Afrika, Young Africans, maarufu kama "Yanga" leo hii wanakabiliana na mabingwa watetezi wa kombe...
View ArticleTATHIMINI YA MCHEZO WA YANGA DHIDI YA AL AHLY.
Na, Shaffih DaudaMpira umekwisha Yanga wanaondoka na ushindi90' Yanga wanaongoza bado82' Canavaro anaipatia Yanga bao la kwanza - Yanga 1 - 0 Al Ahly70' Zikiwa zimebaki dk 20 mchezo kumalizika milango...
View ArticleLIGI SOKA DARAJA LA KWANZA TZ BARA TOTO YAINYUKA 2-0 POLISI MARA
Ma-Kapteni wa timu za Toto (kulia) na Polisi Mara (kushoto) wakisalimiana mbele ya waamuzi kabla ya mchezo wao wa Ligi Soka Daraja la Kwanza Tanzania Bara, uliochezwa uwanja wa CCM Kirumba jijini...
View ArticleNEW CITY PUB MABINGWA SAFARI NYAMA CHOMA 2014.
Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Dk.Samweli Lazaro (katikati) na jaji Mkuu wa mashindano ya Safari Nyama Choma, Lawrence Salvi (kulia) wakimkabidhi zawadi ya Kombe na fedha taslimu Shilingi milioni...
View ArticleWAZIRI SIMBA: WANAWAKE WASOMI VYUO VIKUU MJITAMBUE, PAMBANENI NA MSIKATE TAMAA.
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Sophia Simba ambaye pia ni Waziri wa Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto akifungua na kuzungumza wakati Kongamano la Maendeleo ya Mwanamke miaka 52...
View Article"KAMATA NUSU UACHE NUSU"
"Kalupilipili mmmaa, kaluchumvi mmmaa inakolea kwa shingo"Maandalizi ya kifungua kinywa.Mambo ya mchemsho wa mahindi.kitu nembe na dagaa wabichi wa kukaanga.Mishemishe za akinamama wapiganaji. Siye...
View Article