Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO YA OSCAR YATINGA KENYA.

Kama ilivyokuwa imetarajiwa na wengi mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscar la mwigizaji msaidizi wa kike kwa jukumu lake la kuelezea masaibu ya Patseh katika filamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF WAWAFUNDA VIJANA ILI KUWA WANASOKA WA KIMATAIFA MASHINDANO YA ALLIANCE...

Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Vijana na mjumbe wa Kamati ya Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bw. Ayuob Nyenzi akipiga penati kufungua  rasmi Mashindano ya Alliance Schools...

View Article


BOB HAISA AJA NA SAFARI YA UTALII.

BAADAya kimya kirefu katika fani hatimaye yule mkali wa masongi ya Kimahaba (slows jams), Miduara, Ragga pamoja na Bongo fleva mbalimbali zenye mahadhi na mirindimo ya Kiafrika Bob Haisa, hatimaye...

View Article

MAN UTD KATIKA UTATA NDANI NA NJE YA UWANJA.

Sir Alex Ferguson ameweka historia ya kuwa kocha mwenye mafanikio makubwa kuliko wote waliowahi kuifundisha klabu ya Manchester United, kwani kwa kipindi chake cha miaka 26 akiwa kizigoni ndani ya timu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA BREAKING NEWS KUPITIA SIMU.

Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Mwananchi, Francis Nanai akiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania, Sunil Colaso wakati wa uzinduzi wa huduma ya kuwapasha habari wananchi kwa njia ya...

View Article


MGOGORO WA ARDHI UZIDHIBITIWE KABLA YA KULETA MAAFA BWIRU MWANZA.

MGOGORO WA ARDHI UZIDHIBITIWE KABLA YA KULETA MAAFA BWIRU MWANZA.Na .Peter Fabian.                                                                    05/03/2014MWANZA.WALIMU wa Shule ya Sekondari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKEKE YA SALIM KIKEKE.

Muasisi wa kipindi cha Dira ya Dunia toka Idhaa ya Kiswahili ya BBC London Salim Kikeke ameonekana katika picha ya ukurasa wake wa face book  akiwa ana drive usafiri muhimu wa wananchi wa kawaida mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NDIZO BAA 5 ZILIZOTINGA FAINALI YA SAFARI NYAMA CHOMA MWANZA.

Meneja Matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kanda ya Ziwa, Erick Mwaye (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tukio la shindano la Safari Nyama Choma linalotarajiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWELI AISeee!!

Mpango mzima PIGA *150*60#

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"I'M A LESBIAN", SAYS MUSEVENI'S DAUGHTER

 ANTI GAY PRESIDENT YOWERI MUSEVENI'S DAUGHTER DIANA KAMUNTU DECLARES "IAM GAY" "I am a lesbian", she said..PRESIDENT Yoweri Museveni's daughter Diana Kamuntu has sent shock waves across Uganda by...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA MECHI ZOTE KIRAFIKI: URENO, BRAZIL ZAUA, UFARANSA YAINYOOSHA...

FT Namibia 1 – 1 TanzaniaFT England 1 – 0 DenmarkFT Japan 4 – 2 New ZealandFT Portugal 5 – 1 CameroonFT South Africa 0 – 5 BrazilMATOKEO YA MICHEZO MINGINE:-FT India 2 – 2 BangladeshFT Malawi 1 – 4...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIKO LA GESI LATEKETEZA NYUMBA MISUNGWI.

Mwananchi juu ya paa la nyumba ya mtu mmoja maarufu kwa jina la Mama Mayunga, akijaribu kurusha vifuko vya mchanga katika moja ya majengo ya nyumba iliyozuka moto hii leo majira ya saa 5 asubuhi mtaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI- UBUNGE CHALINZE

6 MACHI, 2014                                         CHADEMA JIMBO LA CHALINZE                                   TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIChama cha Demokrasiana Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA ILEMELA AZINDUA KITUO CHA KUWAONDOSHA VIJANA NA MATUMIZI YA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUMWAGA RAHA KWA MASHABIKI WAKE, NI IJUMAA HII TENA @...

Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani Ijumaa iliyopita kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar... Burudani inaendelea kama kawaida tukutane tena leo jioni......ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKUU WA MAMLAKA ZA BIMA AFRIKA MASHARIKI WAKUBALIANA KUWA NA BIMA MOJA.

Mwenyekiti wa EAST ARFICA INSUARANCE SUPERVISORS ASSOCCIATION (EAISA) na Kamishina wa Bima wa Uganda, Alhaj Ibrahim Lubega Kaddunabbi akiongoza kikao cha wakuu wa Mamlaka za Bima kutoka nchi tano za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB WAJA NA LIPIA 30% PATA KITU KIPYAaaa!!

Yawezekana hujapata nafasi ya kusoma mabango yanayopatikana kandokando mwa barabara, lakini kwa ufupi ni kuwa Benki ya NMB hivi sasa inaendesha zoezi la kutoa mkopo kwa wateja wake walio au wanaohitaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITU VYA HUMU HUMU MAZEE!!!

Matayarisho ya Migebuka, katika soko la Msufini mkini Kigoma.Juu kwa juu Kigoma.Engo nyingine mji wa Kigoma.Sasa safiri kuelekea kisiwa cha Saa Nane ndani ya ziwa Victoria jijini Mwanza njiani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LTD. KONYAGI WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE...

Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd. | Konyagi wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa march 8 kila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AZUNGUMZA NA WANAHABARI MJINI IRINGA LEO KUHUSU

 Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini,Bwa.Sistyl Nyahoza akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari  (hawapo pichani) mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa Ruaha International,mkoani Iringa...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>