POLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA...
Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini ambaye ni Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka akisindikizwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya MSD (Kulia) Prof....
View ArticleVICTORIA PRINCE MABINGWA WA SAFARI NYAMA CHOMA 2014 MWANZA.
Mpishi Mkuu wa Victoria Prince Bar ,Godfrey Swai, ya jijini Mwanza akishangilia na Kikombe,cheti na pesa taslimu shilindi 1,000 000/= mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano ya Safari Nyama...
View ArticleSKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR KWENYE 'Nyama Choma Festival' NDANI YA...
Sam Mapenzi wa Skylight Band akishindana na mmoja wa mashabiki kucheza wimbo wa Davido SKELEWU. Kwenye tamasha la Nyama Choma lililofanyika Jumamosi hii kwenye vianjwa vya Posta jijini Dar ambapo...
View ArticleLUGUMI ENTERPRISES LTD YAKABIDHI PUMPU YA MAJI NA SHILINGI MILIONI 10...
Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Lugumi Enterprises LTD inayomiliki makampui ya Ran IT Solutions (EA) LTD na KZ Securty, Eligod Justine Sangawe (kushoto) ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wake Bw. Said...
View ArticleWAFANYAKAZI AIRTEL WACHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOUGUA KANSA.
Wafanyakazi wanawake wa Airtel wakitoa huduma ya chakula kwa wafanyakazi wenzao wakati wa tafrija fupi waliyoiandaa kwa dhumuni la kukusanya fedha ili kuwachangia wagonjwa wa kansa waliopo hospitali ya...
View ArticleKWANINI WANAWAKE HAWAPEANI NAFASI YA KUCHAGUANA LINAPOKUJA SUALA LA UONGOZI?
Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI Ramadhan Masele akiamsha mada katika Kongamano la kuleta Mabadiliko katika jamii lililokuwa likijadili Kwanini Wanawake hawapeani nafasi ya kuchaguana linapokuja suala...
View ArticleSAFARI LAGER YATANGAZA RASMI BAA 5 ZILIZOINGIA FAINALI KATIKA SHINDANO LA...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIToleo la LeoSAFARI LAGER YATANGAZA RASMI BAA 5 ZILIZOINGIA FAINALI KATIKA SHINDANO LA UCHOMAJI NYAMA MKOA WA ARUSHA NA KILIMANJARO KWA MWAKA 2014.Mwanza, Jumatano 12 Machi...
View ArticlePICHA SIO ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA.
Maafisa wa Serikali ya Malaysia waliokuwa wanadadisi picha zilizopigwa na mtambo wa Satelite wa China ikionyesha kinachodhaniwa kuwa mabaki ya ndege iliyotoweka, Jumamosi, wamesema kuwa mabaki hayo...
View ArticleCHEREKO CHEREKO LA HARUSI YA ZAKY NA MARTINA LAFANA.
Ni wakati wa kumtambua je ni yeye! Bwana harusi Zaky Maduhu akifurahia baada ya kumwona Bibi harusi Martina Makinga wakati wa ibada ya ndoa takatifu iliyofungwa tarehe 2 march 2014 katika kanisa la SDA...
View ArticleRIDHIWANI ARUDISHA FOMU ZA UBUNGE CHALINZE
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete leo amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi,...
View ArticleMIYEYUSHO KUZIPIGA NA MUDDY MATUMLA APRIL 26
Promota Ally Mwazoa katikati akiwatambulisha mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Mohamed Matumla wakati wa kutangaza mpambano wao utakaofanyika April 26 katika ukumbi wa PTA Sabasaba.Bondia Fransic...
View ArticleAIRTEL YAKABIDHI MILIONI 50 KWA MSHINDI WA PROMOSHENI YA MIMI NI BINGWA LEO.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya hundi kwa Mshindi wa Promosheni ya Mimi ni Bingwa, aliyejishindia...
View ArticleJACQUELINE WOLPER, DULLY SYKES, LINAH SANGA, SHETA NA GELLY WA RHYMES WAIPA...
Rapa Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku wenzake wakisebeneka ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita pamoja na Ijumaa zingine za kila wiki.Mdau...
View ArticleMANISPAA YA ILEMELA NA DIWANI WA KIRUMBA THIS IS TOO MUCH.
Kirumba hatupumui hii ndiyo hali halisi ya dampo lililo katika uwanja wa Furahisha ambapo hali ni tete,, uchafu huu licha ya kusimikwa kwenye moja ya engo za uwanja huu, ukimega kiwanja cha michezo na...
View ArticleRIDHIWANI AANZA MBIO ZA KUSAKA KURA JIMBO LA CHALINZE
Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM),Ndg....
View ArticleTANZANIA HOSTS HIGH-LEVEL DIALOGUE ON ECONOMIC INTEGRATION
The former president of Tanzania, Benjamin Mkapa (L) speaking to media in Dar es Salaam after finishing the High-level Dialogue which was organised by The Mandela Institute for Development Studies...
View Article